Ufafanuzi kuhusu NTA level 5 technician certificate

jokielias

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
1,203
Reaction score
359
Habari wanajukwaa,

Nilikuwa nauliza kuhusu NTA level 5 technician certificate hii cheti unapataje kwasababu mimi navyojua nta level 5 ni diploma first year na ni vigumu kuona mwanafunzi wa diploma kuacha chuo first year na akapata nta level 5 certificate. mara nyingi mwanafunzi wa diploma anasoma miaka 2 anamaliza anachukua nta level 6 certificate.

Wakuu naomba mnisaidie hapo kwasababu nimeona matangazo ya kazi katika halmashauri mbali mbali wanataka watu wenye qualifications za nta level 5. naomba ufafanuzi hapo.
 
duh naona wadau wa elimu hawana muda wa kujibu uzi wangu basi ngoja nikaulize vijiweni nadhani ntapata majibu zaidi.
 
Umeandika kabisa unasema level 5 technician certificate alafu unasema ni diploma mwaka wa kwanza...

habari wanajukwaa
nilikuwa nauliza kuhusu NTA level 5 technician certificate hii cheti unapataje kwasababu mimi navyojua nta level 5 ni diploma first year na ni vigumu kuona mwanafunzi wa diploma kuacha chuo first year na akapata nta level 5 certificate. mara nyingi mwanafunzi wa diploma anasoma miaka 2 anamaliza anachukua nta level 6 certificate. wakuu naomba mnisaidie hapo kwasababu nimeona matangazo ya kazi katika halmashauri mbali mbali wanataka watu wenye qualifications za nta level 5. naomba ufafanuzi hapo.
 
nta level 5 ni mwanafunzi wa diploma mwaka wa kwanza.

sasa ina maana nta level 5 ina cheti ???

kwasababu nimeona tangazo la kazi wanataka vigezo hivyo. mtaalamu wa elimu aje kunielemisha
 
Mkuu mwanzo mtu akisoma hio foundation aliesabiwa yupo cheti yaani bisic NTA 4 alafu cheti cha diploma kilikuwa ni NTA5&6 sasa wakaja badili kila mwaka watoe cheti maana vyuma vilikaza wakaacha ajiri diploma wakawa wanaajiri cheti sasa ikabidi cheti iwe ni NTA level 5
 
Mwaka mmoja ni Basic technician ambayo ni Nta level 4
Miaka miwili ni Technician certificate ambayo ndio Nta level 5 na
Miaka mitatu ndio diploma ambayo ni Nta level 6
Bado mkuu Haijakaa sawa kwangu mimi, navyofahamu
ukifaulu cheti nta level 4 una apply diploma na kozi ya diploma ni miaka 2. ndani ya diploma kuna nta level 5 ambayo ni mwaka mmoja unasoma na mwaka wa pili wa diploma tunaita nta level 6.

Sasa Technician certificate nta level 5 inatoka wapi???? hilo ndio swali langu.
 
Mkuu mwanzo mtu akisoma hio foundation aliesabiwa yupo cheti yaani bisic NTA 4 alafu cheti cha diploma kilikuwa ni NTA5&6 sasa wakaja badili kila mwaka watoe cheti maana vyuma vilikaza wakaacha ajiri diploma wakawa wanaajiri cheti sasa ikabidi cheti iwe ni NTA level 5

kusema kweli mkuu kwa nafasi za chini kabisa katika halmashauri zote walikuwa wanaweka vigezo vya nta level 4 basic technician certificate, lakini naona kuanzia mwaka huu mfumo umebadilika naona vigezo wameongeza wameweka technician certificate level 5. sasa hapo panachanganya kwasababu kozi ya diploma ni miaka 2. labda usaidie kunifafanulia hapo ina maana kwasasahivi mtu ukisoma diploma unaweza kusoma mwaka mmoja unapewa cheti cha nta level 5 na mwaka wa pili unapewa nta level 6 certificate???
 
Ndio boss unapewa
 
Bado mkuu Haijakaa sawa kwangu mimi, navyofahamu
ukifaulu cheti nta level 4 una apply diploma na kozi ya diploma ni miaka 2. ndani ya diploma kuna nta level 5 ambayo ni mwaka mmoja unasoma na mwaka wa pili wa diploma tunaita nta level 6.

Sasa Technician certificate nta level 5 inatoka wapi???? hilo ndio swali langu.
Diploma sio miaka miwili, ila kuifikia diploma ndo inakupasa upitie hatua 2.

NTA level 5( technician certificate) mwaka mmoja then baadae NTA level 6 ( diploma)

Kuna baadhi ya vyuo, kila mwaka wa masomo wanatoa vyeti ikiwa mwanafunzi atataka.

Basic certificate (NTA 4) unapewa cheti.

Technician certificate (NTA 5) unapewa cheti.

Diploma (NTA 6) unapewa cheti.
 
habari wanajukwaa
nilikuwa nauliza kuhusu NTA level 5 technician certificate hii cheti unapataje kwasababu mimi navyojua nta level 5 ni diploma first year na ni vigumu kuona mwanafunzi wa diploma kuacha chuo first year na akapata nta level 5 certificate. mara nyingi mwanafunzi wa diploma anasoma miaka 2 anamaliza anachukua nta level 6 certificate. wakuu naomba mnisaidie hapo kwasababu nimeona matangazo ya kazi katika halmashauri mbali mbali wanataka watu wenye qualifications za nta level 5. naomba ufafanuzi hapo.
NACTE walifanya mabadiliko kwenye mfumo wa elimu ya kati yani kila mwaka sasa ni exit term na Kuna cheti chake NTA level 4 basic certificate , NTA level 5 technician certificate, NTA level 6 ordinary diploma
 
CBET, muuliza swali akishaelewa huu mfumo wa CBET hatasumbuka kuelewa hizo NTA levels

Sijafuatilia sana utaratibu wa CBET Ila ninachokijua hawa huwa ni wanapeleza kuwa D nne ili wasome chini ya NACTE so ndo wanapiga hiyo CBET ila hawa huwa nwanafundishwa vitu vingi sana aiseee akijipanga vizuri mtu aliye pata kwanzia D nne hawezi mchomoa huyu mtu kwenye ujuzi sema ndo ivyo wanakulaga bata tu hawanaga time na pindi kihivyoo

sijajua kama nipo sahihi
 
Mkuu kwa ambae ndio anataka aanze cirtficate anaitwaje hapo?
Level 4 - Basic technician certificate.

Level 5 - Technician certificate.

Level 6 - Ordinary diploma.

Level 7 - Advanced diploma.
 
Back
Top Bottom