Habari wanajukwaa,
Nilikuwa nauliza kuhusu NTA level 5 technician certificate hii cheti unapataje kwasababu mimi navyojua nta level 5 ni diploma first year na ni vigumu kuona mwanafunzi wa diploma kuacha chuo first year na akapata nta level 5 certificate. mara nyingi mwanafunzi wa diploma anasoma miaka 2 anamaliza anachukua nta level 6 certificate.
Wakuu naomba mnisaidie hapo kwasababu nimeona matangazo ya kazi katika halmashauri mbali mbali wanataka watu wenye qualifications za nta level 5. naomba ufafanuzi hapo.