Ufafanuzi kuhusu shambulio la gari la watumishi wa TRA eneo la Tegeta, Dar es Salaam

Hao WALIO shambuliwa walikuwa wanakimbiza magendo yaliyotokea wapi mpaka yafike Tegeta?tegeta Kuna namdari
Tena yakiwa kwenye gari dogo la abiria watano, inafikirisha, anyway tumwache Mungu aamue ugomvi
 
Wenye mamlaka wako wapi? Wanafanya nini? Vyombo vya usalama vipo vina kila kitu vimeshindwa nini kudhibiti hizo bandari? Kwanini wasiseme wazi kuwa hizo ndiyo back offices zao?
 
Kama haujaishi mikoa ya mipakani au inayopakana na bahari mleta mada hauwezi elewa! Rushwa nje nje
 
Hujitambui
 
Watekaji yeah.

Kama hawakuwa watekaji jibu swali la msingi
Swali la msingi ni lipi ulilouliza wakati umepuyanga? Umeambiwa walipiga pin gari hata kama walikuwa watekaji hawakuwa wamefukuzia madumu ya mafuta!
 
Hao WALIO shambuliwa walikuwa wanakimbiza magendo yaliyotokea wapi mpaka yafike Tegeta?tegeta Kuna namdari?
Wale ni watekaji sio MAAFISA wa Tra
Tufuatilie jambo, ukiona yule marehemu na wafanyakazi wale wamelipwa mafao ya kuumia kazini basi huenda walitumwa, ila ukiona wanapgwa danadana ujue kuna taratibu za uondokaji kwenda doria zina walakini
 
R.i.p MTRA
umefanya operation wakati maji yamekorogeka lazma yatapita na wewe tu
 
Taifa linalowaza Uchaguzi tu jua limedumaa sana..
 
Swali la msingi ni lipi ulilouliza wakati umepuyanga? Umeambiwa walipiga pin gari hata kama walikuwa watekaji hawakuwa wamefukuzia madumu ya mafuta!
Swali la msingi
Watekaji walijitambulisha kama wafanyakazi wa TRA, je wakati wanaigiza kumkamata target wao walionesha hati ya mahakama kuruhusu wafanye hivyo?

Je waliambatana na polisi mwenye sare?

Mmeanza kupunguzwa na sasa mmepaniki. Na bado mkisogeza pua zenu tutadeal nanyi kibingwa hadi muishe
 
Kila mbuzi ale urefu wa kamba tafadhali bandari yetu ya kunduchi iacheni inatusaidia kupata mkate wa watoto kwani hao Tiss na Jwtz hapo hawalioni hilo?
Achana na hiyo habari
 
Nafikiri unaanza kuwa mwenda wazimu swali liko wapi?rudia kusoma bandiko lako na hiki ulichoandika hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…