Ufafanuzi kuhusu shambulio la gari la watumishi wa TRA eneo la Tegeta, Dar es Salaam

Ufafanuzi kuhusu shambulio la gari la watumishi wa TRA eneo la Tegeta, Dar es Salaam

Hao WALIO shambuliwa walikuwa wanakimbiza magendo yaliyotokea wapi mpaka yafike Tegeta?tegeta Kuna namdari
Tena yakiwa kwenye gari dogo la abiria watano, inafikirisha, anyway tumwache Mungu aamue ugomvi
 
Kutoka kunduchi pwani hadi bagamoyo kuna bandari babu nyingi sana. Pale kunduchi ni kama makao makuu. Madumu ya mafuta, sukari nk vinapitishwa hadi kwa magendo hadi aibu. Tena aibu kubwa kabisa. Polisi wanajua, TRA wanajua na hata huyo waziri anajua na mgao unamfikia.
Wenye mamlaka wako wapi? Wanafanya nini? Vyombo vya usalama vipo vina kila kitu vimeshindwa nini kudhibiti hizo bandari? Kwanini wasiseme wazi kuwa hizo ndiyo back offices zao?
 
Kama haujaishi mikoa ya mipakani au inayopakana na bahari mleta mada hauwezi elewa! Rushwa nje nje
 
kwani wewe unavyokuaga unamendea wake za watu huwa unakwenda kwa kunyapia nyapia au unaenda kichwa kichwa? ukinyakwa unasema umetekwa right?


kusema haisaidii chochote you must take actions in comparations with specified authorities, na huo ndio uzalendo, na sio kumbwelambwela humu kinafiki, alaaaa 🐒
Hujitambui
 
Watekaji yeah.

Kama hawakuwa watekaji jibu swali la msingi
Swali la msingi ni lipi ulilouliza wakati umepuyanga? Umeambiwa walipiga pin gari hata kama walikuwa watekaji hawakuwa wamefukuzia madumu ya mafuta!
 
Hao WALIO shambuliwa walikuwa wanakimbiza magendo yaliyotokea wapi mpaka yafike Tegeta?tegeta Kuna namdari?
Wale ni watekaji sio MAAFISA wa Tra
Tufuatilie jambo, ukiona yule marehemu na wafanyakazi wale wamelipwa mafao ya kuumia kazini basi huenda walitumwa, ila ukiona wanapgwa danadana ujue kuna taratibu za uondokaji kwenda doria zina walakini
 
R.i.p MTRA
umefanya operation wakati maji yamekorogeka lazma yatapita na wewe tu
 
maeneo yote uliyoyataja hali ya kiusalama ni shwari, hakuna uhalifu wala ukiukaji wa sheria eneo hilo, na kwahiyo hakuna haja ya yeyote kwenda sijui kufanya nini.

Kama taifa tumemaliza uchaguzi wa serikali za mitaa salama, na maandalizi ya uchaguzi mkuu 2025 yameanza.

Kwa Neema na Baraka za Mungu nao utafanyika kwa amani 🐒
Taifa linalowaza Uchaguzi tu jua limedumaa sana..
 
Swali la msingi ni lipi ulilouliza wakati umepuyanga? Umeambiwa walipiga pin gari hata kama walikuwa watekaji hawakuwa wamefukuzia madumu ya mafuta!
Swali la msingi
Watekaji walijitambulisha kama wafanyakazi wa TRA, je wakati wanaigiza kumkamata target wao walionesha hati ya mahakama kuruhusu wafanye hivyo?

Je waliambatana na polisi mwenye sare?

Mmeanza kupunguzwa na sasa mmepaniki. Na bado mkisogeza pua zenu tutadeal nanyi kibingwa hadi muishe
 
Kila mbuzi ale urefu wa kamba tafadhali bandari yetu ya kunduchi iacheni inatusaidia kupata mkate wa watoto kwani hao Tiss na Jwtz hapo hawalioni hilo?
Achana na hiyo habari
 
Swali la msingi
Watekaji walijitambulisha kama wafanyakazi wa TRA, je wakati wanaigiza kumkamata target wao walionesha hati ya mahakama kuruhusu wafanye hivyo?

Je waliambatana na polisi mwenye sare?

Mmeanza kupunguzwa na sasa mmepaniki. Na bado mkisogeza pua zenu tutadeal nanyi kibingwa hadi muishe
Nafikiri unaanza kuwa mwenda wazimu swali liko wapi?rudia kusoma bandiko lako na hiki ulichoandika hapa!
 
Back
Top Bottom