Hapana, Dar es Salaam kumbuka ni mkoa. Kwa maana ya Mkoa, ina idadi ile ile ya watu, kwa maana ya Jiji la Dar es Salaam ( Urban Proper eneo la Ilala) kweli itakua na watu wachache. Kwa sasa kama watu wanaoboresha taarifa za Google inatakiwa ukiingia uone hivi:... kwa maana hiyo ni sahihi kusema ifuatavyo?
- ... kwamba eneo la jiji la Dar-es-Salaa (city proper) ni eneo la iliyokuwa Manispaa ya Ilala? Kwamba kieneo Dar-es-Salaam ya sasa ni ndogo kuliko Dar-es-Salaam ya kabla ya jana?
- ... kwamba kwa idadi ya watu, Dar-es-Salaam ya kuanzia jana idadi yake ya watu ni sawa na idadi ya watu wa Ilala?
- ... kwamba Dar-es-Salaam ambayo ilikuwa miongoni mwa majiji yanayokuwa kwa kasi zaidi duniani uanzia jana sifa hiyo imekoma? Petro E. Mselewa
Dar es Salaam City
Capital- Ilala
Population- Itapaswa iwekwe watu wote wakaazi wa iliyokua Manispaa ya Ilala. Metro- Inatakiwa idadi ya watu wote wa Manispaa zilizobaki zinazounda mkoa wa Dar es Salaam kwa kuwa ziko kwenye mji mmoja(tofauti na kama Mbeya, Dodoma, Arusha na Tanga)
Hapo nyuma kimuundo, google iliweka watu wote wa mkoa wa Dar es Salaam kuwa ni wakazi wa jiji bila Metropolitan Areas.
Ukiingia google miji mingi duniani hata kama ulipaswa uwe na Manispaa zaidi ya 2, 3 na kuendelea, wanatenganisha eneo moja kuwa jiji na mengine kufanya Metro Area(kwa pamoja).
Angalia Kinshasa City na Kinshansa Province, Paris na Andorissment(Municipalities) London na Gretar London, Lagos na Metro kuifanya Corbunation, Los Angeles na Greater Los Angeles kutaja mifano michache. Ingia google utajifunza miji wenzetu walivyoitofautisha ingawa ni eneo moja ila lililo kubwa.