mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
DuhMbowe ndiye mtu sahihi kabisa kuendelea kuiongoza CHADEMA.Lissu Amefanya ukurupukaji tu katika nafasi ambayo hana kabisa Uwezo nayo
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuhMbowe ndiye mtu sahihi kabisa kuendelea kuiongoza CHADEMA.Lissu Amefanya ukurupukaji tu katika nafasi ambayo hana kabisa Uwezo nayo
Kwani ni lazima hiyo nafasi akae Mbowe? Mgawanyiko ni wa nini wakati chama ni cha demokrasia na anachotaka kufanya Lisu ni kudhibitisha jina la chama?MIMI NI MPENZI WA LISU, TENA SANA. LAKINI KITENDO CHA KULETA ISSUE AMBAYO ANAJUA FIKA ITALETA MGAWANYIKO.....
I HAVE TO BE CAUTIOUS WITH HIS DEALINGS! SAS HIVI CHADEMA, MY FAVORITE PARTY IS IN A BLINK OF DISINTERGRATION.......
Ingawa Mimi si mfuasi wa huko Chama chenu lakini hapa umemjibu kitaalamu mno na inaonyesha amehemkwa sana na hii hatua ya lissu (sijui Kuna nini'?). Pia, huwa na,shusha mtu anayekimbilia kuwalaumu na kuwasingizia watu bila ushahidi Huku akiziepuka hoja za msingi. Kumlaumu lissu anatumika na Dola, tena kutoka kwa mtu ambaye watu walidhani Yuko smart, linachekesha kidogo.Kwahiyo ina maana Mbowe ataishi milele? Yaani unaamini hakuna chadema bila Mbowe? Succession plan ikoje? Hivi leo Mbowe akifariki (God forbid) huoni power struggle itakua kubwa sana maana kutakua na vacuum kubwa.
Hapana, Tsvangirai hakuandaa successor alipofariki kukatokea vita ya madaraka hadi kusababisha Chamisa kuhama na wafuasi wengi na hivyo kuiua MDC-T. Same will happen Mbowe akifariki ghafla. Kuhusu Besigye, nguvu ya Bobi wine ndio ilikiua. Kumbuka Besigye ni jamii moja na Museveni ila Bobi Wine ni mugganda hivyo kura zikapigwa kikabila na ndio unaona Bobi wine akaizoa central yote ambayo zamani ilikua ngome ya Besigye. Nilitegemea unajua siasa za kimataifa kumbe upo shallow kiasi hiki!!
Kwamba dola Inamuogopa Mbowe ambaye yupo moderate? Unachekesha. Kama kuna chochote basi dola itafanya kila kitu kumdhoofisha Lissu ili kiendelee kuiburuza chadema maana wanajua Mbowe ni moderate sio radical kama Lissu ambaye ataleta serious opposition.
Nadhani mkuu ungekaa kimya tu, the more unaropoka unashusha credibility yako. Nilikua nakuheshimu sana ila tokea Lissu achukue fomu nimekushusha sana heshima yako. Acheni demokrasia iamue lissu akifeli si mtamtoa kwa kura 2029 why umuite anatumika na dola kisa kachukua fomu?
Mkuu tokea Lissu achukue fomu nimegundua kuna wanafiki wengi sana wamejificha chadema. Yaani hawa hawa walipinga JPM kuongezewa miaka na walipinga "fomu moja" ya urais kutolewa 2020 kwa JPM. Cha ajabu wao tena hawataki mtu achukue fomu wala kugombea uenyekiti ndani ya Chadema. Ni ajabu sanaKwani ni lazima hiyo nafasi akae Mbowe? Mgawanyiko ni wa nini wakati chama ni cha demokrasia na anachotaka kufanya Lisu ni kudhibitisha jina la chama?
Yaani ni bonge la aibu, kila siku tulikuwa tunalia mabadiliko, kumbe wenzetu wana mabadiliko ya mdomoni. Leo mabadiliko yanatakiwa yaanzie kwetu watu hawataki. Kumbe mabadiliko ni kwa wengine kwao haiwezekani!Mkuu tokea Lissu achukue fomu nimegundua kuna wanafiki wengi sana wamejificha chadema. Yaani hawa hawa walipinga JPM kuongezewa miaka na walipinga "fomu moja" ya urais kutolewa 2020 kwa JPM. Cha ajabu wao tena hawataki mtu achukue fomu wala kugombea uenyekiti ndani ya Chadema. Ni ajabu sana
Nakazia kuanzia leo ni yericko nyegereKuanzia leo wewe sio Yericko Nyerere tena, bali ni Yericko Mengere.
Kaka yangu unaonesha una uwezo mdogo sana wa kiakili kumbe.Ipo hoja inaendelezwa kutoka kwenye Makala yangu ya juzi licha ya kuijibu vizuri katika makala ile ya kwanini Tundu Lissu hana sifa ya kuwa Mwenyekiti wa Chadema taifa,
Wanajenga hoja ya kujirudia Kwamba Lissu chama kilionw anafaa kuwa Rais wa Jamhuri yenye Majeshi JWTZ, Usalama wa Taifa, TRA, TPA n.k ila mimi Yericko naona atapwaya kuwa Mwenyekiti wa chama chenye kanda 10 na majimbo kadhaa?
Wajibu wangu ni kutoa shule ya siasa na utawala bure kabisa, Narudia kuwajibu nikisema,
“Exactly, I can say, the methods za kuongoza chama cha upinzani Afrika ni tofauti kabisa na kugombea Urais kupitia chama cha upinzani Afrika ndio maana chadema imedumu licha ya vyama 28 vilivyosajiliwa kuanzia 1992 vimekufa vyote ikiwemo vyama vya juzi kama ACT kimeshindwa kujiendesha kimeamua kujisalimisha mikononi mwa Dola.
Urais kwa chama cha upinzani Afrika ni unpredictable kuupata ni 50/50 na ni tukio la siku 60 tu baada yapo mnarudi kujenga chama kwaajili ya miaka mitano ijayo, Hivyo uhakika wa uimara wa chama unatakiwa usijaribiwe, Ukuu wa chama ulindwe for Unlimited and Unwaveringly high standards, So we will protect the party with a much higher strength than anything.
Kwamaoni yangu Lissu hana sifa na ubora wa kuongoza chama kulingana na mapungufu yake mengi sana ambapo mengine niliyaeleza katika makala ile, Anayo nafasi ya kukua huko mbele akabadilika na kufaa kukiongoza chama cha siasa kinachokaribia kushika madaraka kama Chadema! Niwape siri, ndiomaana Chama kilikuwa tayari kumpa Lowasa kugombea Urais lakini KAMWE kisingeweza kumpa Lowasa uenyekiti wa Chama abadani…., Now i can tell you, Sir Mbowe will lead this party until CCM comes out of power and then its mission will be completed….
Mwezi August mwaka huu wa 2024 Lissu alitangaza kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Mwezi October mwaka huu 2024 Lissu akatangaza kuwa atagombea Urais kwa tiketi ya Chadema, Mwezi wa 12 mwaka huuhuu 2024 Lissu katangaza kugombea nafasi na Mwenyekiti wa Chadema na kuondoa nia yake ya kugombea Umakamu Mwenyekiti wa Chadema, yaani hajui hata anataka nini?
Soma Pia: Tundu Lissu: Nimewasilisha kusudio la kugombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA
Tumejifunza makosa ya vyama vilivyokuwa na viongozi imara lakini vikaingia kwenye mtengo wa wanaharakati uchwara wakishirikiana na wapambe wa dola walioanzisha nyimbo za kuweka ukomo wa uongozi, Sasa vimekufa, Chama cha Morgan Tvangirai Zimbabwe kimekufa, Chama cha Besyge Uganda kimekufa kwasababu ya ujinga wa mitego kwamba kiongozi huyu kakaa sana aondoke aje mwingine, bila kuangalia uimara wa kiongozi huyo namna anavyopamba na dola!
Dola inatulazimisha tufanye kosa la karne kwa kumuondoa Mbowe ili wao wanywe mvinyo kwa furaha pale Mbweni na Viunga vyake! Hatutafanya kosa hilo, sahauni kabisa!
Kisu hakionjwi kwa ulimi!
View attachment 3178483
Pamoja na maelezo marefu sana ya ndoto unazoziota.Ipo hoja inaendelezwa kutoka kwenye Makala yangu ya juzi licha ya kuijibu vizuri katika makala ile ya kwanini Tundu Lissu hana sifa ya kuwa Mwenyekiti wa Chadema taifa,

kaeni chini mzungumze kama madaraka ya chama mnagombana mkipewa nchi nyinyi mnaweza kuleta vitaIpo hoja inaendelezwa kutoka kwenye Makala yangu ya juzi licha ya kuijibu vizuri katika makala ile ya kwanini Tundu Lissu hana sifa ya kuwa Mwenyekiti wa Chadema taifa,
Wanajenga hoja ya kujirudia Kwamba Lissu chama kilionw anafaa kuwa Rais wa Jamhuri yenye Majeshi JWTZ, Usalama wa Taifa, TRA, TPA n.k ila mimi Yericko naona atapwaya kuwa Mwenyekiti wa chama chenye kanda 10 na majimbo kadhaa?
Wajibu wangu ni kutoa shule ya siasa na utawala bure kabisa, Narudia kuwajibu nikisema,
“Exactly, I can say, the methods za kuongoza chama cha upinzani Afrika ni tofauti kabisa na kugombea Urais kupitia chama cha upinzani Afrika ndio maana chadema imedumu licha ya vyama 28 vilivyosajiliwa kuanzia 1992 vimekufa vyote ikiwemo vyama vya juzi kama ACT kimeshindwa kujiendesha kimeamua kujisalimisha mikononi mwa Dola.
Urais kwa chama cha upinzani Afrika ni unpredictable kuupata ni 50/50 na ni tukio la siku 60 tu baada yapo mnarudi kujenga chama kwaajili ya miaka mitano ijayo, Hivyo uhakika wa uimara wa chama unatakiwa usijaribiwe, Ukuu wa chama ulindwe for Unlimited and Unwaveringly high standards, So we will protect the party with a much higher strength than anything.
Kwamaoni yangu Lissu hana sifa na ubora wa kuongoza chama kulingana na mapungufu yake mengi sana ambapo mengine niliyaeleza katika makala ile, Anayo nafasi ya kukua huko mbele akabadilika na kufaa kukiongoza chama cha siasa kinachokaribia kushika madaraka kama Chadema! Niwape siri, ndiomaana Chama kilikuwa tayari kumpa Lowasa kugombea Urais lakini KAMWE kisingeweza kumpa Lowasa uenyekiti wa Chama abadani…., Now i can tell you, Sir Mbowe will lead this party until CCM comes out of power and then its mission will be completed….
Mwezi August mwaka huu wa 2024 Lissu alitangaza kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Mwezi October mwaka huu 2024 Lissu akatangaza kuwa atagombea Urais kwa tiketi ya Chadema, Mwezi wa 12 mwaka huuhuu 2024 Lissu katangaza kugombea nafasi na Mwenyekiti wa Chadema na kuondoa nia yake ya kugombea Umakamu Mwenyekiti wa Chadema, yaani hajui hata anataka nini?
Soma Pia: Tundu Lissu: Nimewasilisha kusudio la kugombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA
Tumejifunza makosa ya vyama vilivyokuwa na viongozi imara lakini vikaingia kwenye mtengo wa wanaharakati uchwara wakishirikiana na wapambe wa dola walioanzisha nyimbo za kuweka ukomo wa uongozi, Sasa vimekufa, Chama cha Morgan Tvangirai Zimbabwe kimekufa, Chama cha Besyge Uganda kimekufa kwasababu ya ujinga wa mitego kwamba kiongozi huyu kakaa sana aondoke aje mwingine, bila kuangalia uimara wa kiongozi huyo namna anavyopamba na dola!
Dola inatulazimisha tufanye kosa la karne kwa kumuondoa Mbowe ili wao wanywe mvinyo kwa furaha pale Mbweni na Viunga vyake! Hatutafanya kosa hilo, sahauni kabisa!
Kisu hakionjwi kwa ulimi!
View attachment 3178483
Makala ndefu imejaa upuuzi.Ipo hoja inaendelezwa kutoka kwenye Makala yangu ya juzi licha ya kuijibu vizuri katika makala ile ya kwanini Tundu Lissu hana sifa ya kuwa Mwenyekiti wa Chadema taifa,

Hakika mmeshapanda mtumbwi wa vibwengo na mmeshazamaIpo hoja inaendelezwa kutoka kwenye Makala yangu ya juzi licha ya kuijibu vizuri katika makala ile ya kwanini Tundu Lissu hana sifa ya kuwa Mwenyekiti wa Chadema taifa,

Mbowe ndiye mtu sahihi kabisa kuendelea kuiongoza CHADEMA.Lissu Amefanya ukurupukaji tu katika nafasi ambayo hana kabisa Uwezo nayo
Umeshapona majeraha ya Moyo?Ipo hoja inaendelezwa kutoka kwenye Makala yangu ya juzi licha ya kuijibu vizuri katika makala ile ya kwanini Tundu Lissu hana sifa ya kuwa Mwenyekiti wa Chadema taifa,