Ufafanuzi: Kwanini tuliona Lissu anafaa urais 2020 na sasa hafai Uenyekiti?

MIMI NI MPENZI WA LISU, TENA SANA. LAKINI KITENDO CHA KULETA ISSUE AMBAYO ANAJUA FIKA ITALETA MGAWANYIKO.....
I HAVE TO BE CAUTIOUS WITH HIS DEALINGS! SAS HIVI CHADEMA, MY FAVORITE PARTY IS IN A BLINK OF DISINTERGRATION.......
Kwani ni lazima hiyo nafasi akae Mbowe? Mgawanyiko ni wa nini wakati chama ni cha demokrasia na anachotaka kufanya Lisu ni kudhibitisha jina la chama?
 
Ingawa Mimi si mfuasi wa huko Chama chenu lakini hapa umemjibu kitaalamu mno na inaonyesha amehemkwa sana na hii hatua ya lissu (sijui Kuna nini'?). Pia, huwa na,shusha mtu anayekimbilia kuwalaumu na kuwasingizia watu bila ushahidi Huku akiziepuka hoja za msingi. Kumlaumu lissu anatumika na Dola, tena kutoka kwa mtu ambaye watu walidhani Yuko smart, linachekesha kidogo.
 
Kwani ni lazima hiyo nafasi akae Mbowe? Mgawanyiko ni wa nini wakati chama ni cha demokrasia na anachotaka kufanya Lisu ni kudhibitisha jina la chama?
Mkuu tokea Lissu achukue fomu nimegundua kuna wanafiki wengi sana wamejificha chadema. Yaani hawa hawa walipinga JPM kuongezewa miaka na walipinga "fomu moja" ya urais kutolewa 2020 kwa JPM. Cha ajabu wao tena hawataki mtu achukue fomu wala kugombea uenyekiti ndani ya Chadema. Ni ajabu sana
 
Yaani ni bonge la aibu, kila siku tulikuwa tunalia mabadiliko, kumbe wenzetu wana mabadiliko ya mdomoni. Leo mabadiliko yanatakiwa yaanzie kwetu watu hawataki. Kumbe mabadiliko ni kwa wengine kwao haiwezekani!
 
Kaka yangu unaonesha una uwezo mdogo sana wa kiakili kumbe.

Lissu unaempinga kuwa mwenyekiti ila unakubali awe makamu mwenyekiti.Hauoni kama ni shida ipo palepale.

Maana mfano Mbowe akitutoka ghafla kwa mujibu wa katiba yenu nani anakuwa mwenyekiti wa muda hadi pale uchaguzi wa mwenyekiti utakapoitishwa.

Ili nione kama Lissu akiwa makamu mwenyekiti ni nzuri kuliko mwenyekiti.
 
Pamoja na maelezo marefu sana ya ndoto unazoziota.

Lisu ni tishio kwa machawa wote.

Hiki unachokifanya unalipa fadhila
 
kaeni chini mzungumze kama madaraka ya chama mnagombana mkipewa nchi nyinyi mnaweza kuleta vita
 
Makala ndefu imejaa upuuzi.

Hivi vile vitabu vyako wanaosoma unauza kwa bei ile ile au akija mtu unamuuzia kwa bei aliyopanga yeye?
 
Hakika mmeshapanda mtumbwi wa vibwengo na mmeshazama
 
Reactions: K11
Umeshapona majeraha ya Moyo?
 
Mshenzi wewe yeriko waombe mods wakusaidie kuufuta huu uzi Wako maana unazidi kukutia aibu lissu ameshashinda halafu liuzi lako ulilomtabiria bwana wako mbowe kushinda bado lipo.Kwa aibu uliyoipata naamini ungekuwa unaweza kufuta hii thread hakika ungefanya hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…