vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 2,474
- 4,726
Nimeona mtu mtandaoni kapost kitu halafu watu wamemchapa maswali kisha kashindwa kujitetea.
Post yake ni
Rekodi muhimu Yanga akishinda 18.01
• Kuingia top 5 ya vilabu bora Afrika
• Timu ya kwanza kufika 5 bora kutoka Tanzania
• Kufikisha alama 39 za CAF
• Ramovich kuwa kocha wa kwanza kuifikisha Yanga 5 bora CAF
• Timu ya kwanza kukusanya alama nying za CAF kutoka Tanzania
swali kubwa ambalo ameulizwa au kitu ambacho walichomkosoa ni kwamba wa juu yake nao wataongeza point kama ambavyo Yanga ameongeza point hivyo wataendelea kuwa juu ya Yanga.
Ufafanuzi kuhusu hili;
Kwasasa Yanga inashika nafasi ya 10 ikiwa na point 34 kwa kushika nafasi ya 3 kwenye kundi lake hivyo wameambulia point 2. Timu ambazo zipo juu ya Yanga ni ( nafasi ya 5 hadi ya 9) ni
5) Wydad point 39 hashiriki mashindano
6)Simba point 38 baada ya kufuzu robo fainali
7) USMA point 37 baada ya kufuzu robo fainali
8) Berkane point 37 baada ya kufuzu robo fainali
9) Belouizdad point 36 kaishatolewa mashindanoni
Kwenye matokeo ya mchezo wa raundi ya mwisho katika mashindano yote ya CAFCC na CAFCL katika timu zote 10, ni Yanga pekee ndiye anayeweza kuongeza point 5 kama ikitokea wameshinda mchezo wao, hizo timu 9 zilizobakia timu 7 tayari zimeshafuzu hivyo point zao zime include hadi michezo ya mzunguko wa mwisho. Wydad wao hawako katika mashindano hivyo hakuna atakachoongeza na Belouizdad wameshatolewa mashindanoni.