Ufafanuzi kwanini Yanga akimfunga Mc Alger anaweza kuingia top 5 kwenye CAF 5 years ranking

Ufafanuzi kwanini Yanga akimfunga Mc Alger anaweza kuingia top 5 kwenye CAF 5 years ranking

nadhani jibu lepesi ni kuwa UTOPOLO pont zake zote alizokusanya katika misimu mitatu mfululizo na huu wa nne ziko alive na zinaongezeka

KOLOWIZARD katika misimu yake mitano alofanya vizuri point zimepungua
huu msimu wa sita KOLOWIZARD anatinga robo fainal laki jambo baya msimuul huu yupo kombe la UMITASHUTA lina pont chache
na bahat mbaya zaidi msimu wake wa kwnza akiwa CHAMPION alipochukua point zimepotea hazitahesabiwa
ndio maana unaona KOLOWIZARD inashuka kwa kasi na inaongeza point kwa mwendo wa kobe

wakati UTOPWANX VYURA FC wanajiongezea point kutokana na kufanya vizuri katika misimu mitatu na huu wanne bado wapo championi wanakusanya point nyingi zaidi kuliko KOLOWIZARD a.k.a WANG'OA VITI

CAF wanakusanya POINT kutokana na mafanikio katika misimu mitano mfululizo
so msimu mmoja wakufanya vizuri simba umefutwa katika kukusanya POINT na msimu huu simba yupo CAFCC so anakusanya POINT chche sana tofauti na YANGA point zake zipo vilevike na bado yupo CHAMPION anapata point nyingi zaidi

umenielewa hapo KOLOWIZARD a.k.a WANG'OA VITI
Huu mpepe wa mwakaleli sio bure 😂😂😂😂😂
 
nyie vyura acheni mahesabu mtachanganyikiwa...
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Ila hakuna kitu kinawanyima furaha Utopolo kama kuiona Simba pale ilipo.
Mwaka huu hicho kichaka tumeapa kukifyelea mbali.
Maana ndio kichaka pekee munacho tamba nacho mjini.
 
Nimeona mtu mtandaoni kapost kitu halafu watu wamemchapa maswali kisha kashindwa kujitetea.

Post yake ni

Rekodi muhimu Yanga akishinda 18.01

• Kuingia top 5 ya vilabu bora Afrika
• Timu ya kwanza kufika 5 bora kutoka Tanzania
• Kufikisha alama 39 za CAF
• Ramovich kuwa kocha wa kwanza kuifikisha Yanga 5 bora CAF
• Timu ya kwanza kukusanya alama nying za CAF kutoka Tanzania

swali kubwa ambalo ameulizwa au kitu ambacho walichomkosoa ni kwamba wa juu yake nao wataongeza point kama ambavyo Yanga ameongeza point hivyo wataendelea kuwa juu ya Yanga.

Ufafanuzi kuhusu hili;

Kwasasa Yanga inashika nafasi ya 10 ikiwa na point 34 kwa kushika nafasi ya 3 kwenye kundi lake hivyo wameambulia point 2. Timu ambazo zipo juu ya Yanga ni ( nafasi ya 5 hadi ya 9) ni
5) Wydad point 39 hashiriki mashindano
6)Simba point 38 baada ya kufuzu robo fainali
7) USMA point 37 baada ya kufuzu robo fainali
8) Berkane point 37 baada ya kufuzu robo fainali
9) Belouizdad point 36 kaishatolewa mashindanoni

Kwenye matokeo ya mchezo wa raundi ya mwisho katika mashindano yote ya CAFCC na CAFCL katika timu zote 10, ni Yanga pekee ndiye anayeweza kuongeza point 5 kama ikitokea wameshinda mchezo wao, hizo timu 9 zilizobakia timu 7 tayari zimeshafuzu hivyo point zao zime include hadi michezo ya mzunguko wa mwisho. Wydad wao hawako katika mashindano hivyo hakuna atakachoongeza na Belouizdad wameshatolewa mashindanoni.
Yanga kesho anatoa droo,mwarabu anapita.
 
Akishinda nini labda? Point zake zishajumlishwa baada ya kufuzu robo sasa unataka ashinde point Gani Tena,,labda akifika nusu ndio litaongezeka Tena na yanga point zake bado azijajumlishwa ni mpaka aingie robo kwasasa anazo 34 akiingia robo atafikisha 39, na kitu ambacho amkielewi walio wengi ni kwamba point za klabu bingwa ni tofauti na za kombe la ushirikishwaji mlijue hilo!
Ndiyo maana nimeuliza.
 
Waliofuzu robo fainali tayari point zao zimeshaongezewa na Yanga kawekea point zake kwa jinsi msimamo wa kundi lake lilivyo, hivyo ana nafasi ya kuongeza point kama itafuzu robo fainali
Nashukuru kwa ufafanuzi.
 
Nimeona mtu mtandaoni kapost kitu halafu watu wamemchapa maswali kisha kashindwa kujitetea.

Post yake ni

Rekodi muhimu Yanga akishinda 18.01

• Kuingia top 5 ya vilabu bora Afrika
• Timu ya kwanza kufika 5 bora kutoka Tanzania
• Kufikisha alama 39 za CAF
• Ramovich kuwa kocha wa kwanza kuifikisha Yanga 5 bora CAF
• Timu ya kwanza kukusanya alama nying za CAF kutoka Tanzania

swali kubwa ambalo ameulizwa au kitu ambacho walichomkosoa ni kwamba wa juu yake nao wataongeza point kama ambavyo Yanga ameongeza point hivyo wataendelea kuwa juu ya Yanga.

Ufafanuzi kuhusu hili;

Kwasasa Yanga inashika nafasi ya 10 ikiwa na point 34 kwa kushika nafasi ya 3 kwenye kundi lake hivyo wameambulia point 2. Timu ambazo zipo juu ya Yanga ni ( nafasi ya 5 hadi ya 9) ni
5) Wydad point 39 hashiriki mashindano
6)Simba point 38 baada ya kufuzu robo fainali
7) USMA point 37 baada ya kufuzu robo fainali
8) Berkane point 37 baada ya kufuzu robo fainali
9) Belouizdad point 36 kaishatolewa mashindanoni

Kwenye matokeo ya mchezo wa raundi ya mwisho katika mashindano yote ya CAFCC na CAFCL katika timu zote 10, ni Yanga pekee ndiye anayeweza kuongeza point 5 kama ikitokea wameshinda mchezo wao, hizo timu 9 zilizobakia timu 7 tayari zimeshafuzu hivyo point zao zime include hadi michezo ya mzunguko wa mwisho. Wydad wao hawako katika mashindano hivyo hakuna atakachoongeza na Belouizdad wameshatolewa mashindanoni.
Calculation hii hapa. Hiyo ya kwako utakuwa umeitoa kwa Manara

1737118024782.png

Yaani haujajistukia tu kuwa wewe ndiye unaonekana mjinga? Maana hauna hoja ila umejawa na hasira tu. Na hata kilichoandikwa kimekuzidi upeo, hujui kitu
kuna watu wajinga sana., achana naye mkubwa
 
Kwenye hiyo hiyo source uliyotumia angalia walipoandika club ranking for 2025/2026 usiwe brother 'K'
Unatumia nguvu kubwa sana kutetea ujinga. 🤣 🤣 🤣 🤣 CAF siyo wapumbavu kama wewe.

Formula hii hapa. Nje ya hapa unachoandika ni upuuzi

1737122933411.png
 
Unatumia nguvu kubwa sana kutetea ujinga. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] CAF siyo wapumbavu kama wewe.

Formula hii hapa. Nje ya hapa unachoandika ni upuuzi

View attachment 3204547
Wewe jamaa unaelewa unachokiandika kweli au unakurupuka tu? Kwahiyo kipi kilichoandikwa hapo kilichokuwa tofauti na hiyo formula?
 
Wewe jamaa unaelewa unachokiandika kweli au unakurupuka tu? Kwahiyo kipi kilichoandikwa hapo kilichokuwa tofauti na hiyo formula?
🤣 🤣 🤣 🤣 Wewe unajadili akili umezificha mfukoni, Mahaba umeyaweka kichwani.
Quater Final Simba anaongeza 2, wewe Unaongeza 3. Kabla ya Group Stage Simba alikuwa na Point 39 wewe ulikuwa na point 31.

Mahaba yakizidi akili, ni wenda wazimu​

[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Wewe unajadili akili umezificha mfukoni, Mahaba umeyaweka kichwani.
Quater Final Simba anaongeza 2, wewe Unaongeza 3. Kabla ya Group Stage Simba alikuwa na Point 39 wewe ulikuwa na point 31.

Mahaba kazidi akili ni wenda wazimu​

Wewee kweli bogus, kwahiyo zile 39 za Simba na 31 za Yanga kwa mawazo yako zinajumuishwa katika msimu mpya? Coefficient inabadilika na pia mashindano ya msimu huu yanajumuishwa hivyo 5 years ranking itaanzia msimu wa 2020/2021
IMG_20250117_172248.jpg
 
Back
Top Bottom