Wewe ujielewi usiaibishe wenzako kitu kama ukijui uliza usiwe kama debe tupuHata sijui umeandika nini? Ni ujinga ambao haupo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ujielewi usiaibishe wenzako kitu kama ukijui uliza usiwe kama debe tupuHata sijui umeandika nini? Ni ujinga ambao haupo.
Umeteleza hapo,,, mwaka 2019/2020 SIMBA alikuwa na POINT O kwahiyo hakuna point atakayokatwa ila zile COEFFICIENT ndo zitabadilika kwa POINT husika...Zinashuka kwasababu kuna msimu mmoja nyuma umefutwa na msimu mmoja mbele umeongezeka na huo msimu uliongezeka Simba imejikuta wapo kwenye mashindano ya akina mama
Na wanakosa hiyo nafasi Jumamosi Utopwinyo.Lengo lenu lipi? Kuongeza point au kwenda robo?
Huna akili utamuoneaje wivu mtu anayecheza kombe dogoIla hakuna kitu kinawanyima furaha Utopolo kama kuiona Simba pale ilipo.
Wazee wa calculator hadi kwenye rankingsNimeona mtu mtandaoni kapost kitu halafu watu wamemchapa maswali kisha kashindwa kujitetea.
Post yake ni
Rekodi muhimu Yanga akishinda 18.01
• Kuingia top 5 ya vilabu bora Afrika
• Timu ya kwanza kufika 5 bora kutoka Tanzania
• Kufikisha alama 39 za CAF
• Ramovich kuwa kocha wa kwanza kuifikisha Yanga 5 bora CAF
• Timu ya kwanza kukusanya alama nying za CAF kutoka Tanzania
swali kubwa ambalo ameulizwa au kitu ambacho walichomkosoa ni kwamba wa juu yake nao wataongeza point kama ambavyo Yanga ameongeza point hivyo wataendelea kuwa juu ya Yanga.
Ufafanuzi kuhusu hili;
Kwasasa Yanga inashika nafasi ya 10 ikiwa na point 34 kwa kushika nafasi ya 3 kwenye kundi lake hivyo wameambulia point 2. Timu ambazo zipo juu ya Yanga ni ( nafasi ya 5 hadi ya 9) ni
5) Wydad point 39 hashiriki mashindano
6)Simba point 38 baada ya kufuzu robo fainali
7) USMA point 37 baada ya kufuzu robo fainali
8) Berkane point 37 baada ya kufuzu robo fainali
9) Belouizdad point 36 kaishatolewa mashindanoni
Kwenye matokeo ya mchezo wa raundi ya mwisho katika mashindano yote ya CAFCC na CAFCL katika timu zote 10, ni Yanga pekee ndiye anayeweza kuongeza point 5 kama ikitokea wameshinda mchezo wao, hizo timu 9 zilizobakia timu 7 tayari zimeshafuzu hivyo point zao zime include hadi michezo ya mzunguko wa mwisho. Wydad wao hawako katika mashindano hivyo hakuna atakachoongeza na Belouizdad wameshatolewa mashindanoni.
ivi akina mama mnatuchukuliaje lakini kwenye hilo swala🤣Zinashuka kwasababu kuna msimu mmoja nyuma umefutwa na msimu mmoja mbele umeongezeka na huo msimu uliongezeka Simba imejikuta wapo kwenye mashindano ya akina mama
Akishinda nini labda? Point zake zishajumlishwa baada ya kufuzu robo sasa unataka ashinde point Gani Tena,,labda akifika nusu ndio litaongezeka Tena na yanga point zake bado azijajumlishwa ni mpaka aingie robo kwasasa anazo 34 akiingia robo atafikisha 39, na kitu ambacho amkielewi walio wengi ni kwamba point za klabu bingwa ni tofauti na za kombe la ushirikishwaji mlijue hilo!Kwahiyo Simba akishinda point zake haziongezeki?
Waliofuzu robo fainali tayari point zao zimeshaongezewa na Yanga kawekea point zake kwa jinsi msimamo wa kundi lake lilivyo, hivyo ana nafasi ya kuongeza point kama itafuzu robo fainaliKwahiyo Simba akishinda point zake haziongezeki?
Yaani wewe hesabu zako zinawezekana tu kama points za Simba zitakua haziongezeki, kitu ambacho si kweli kwan Simba nayo imeshavuzu kuingia roboNimeona mtu mtandaoni kapost kitu halafu watu wamemchapa maswali kisha kashindwa kujitetea.
Post yake ni
Rekodi muhimu Yanga akishinda 18.01
• Kuingia top 5 ya vilabu bora Afrika
• Timu ya kwanza kufika 5 bora kutoka Tanzania
• Kufikisha alama 39 za CAF
• Ramovich kuwa kocha wa kwanza kuifikisha Yanga 5 bora CAF
• Timu ya kwanza kukusanya alama nying za CAF kutoka Tanzania
swali kubwa ambalo ameulizwa au kitu ambacho walichomkosoa ni kwamba wa juu yake nao wataongeza point kama ambavyo Yanga ameongeza point hivyo wataendelea kuwa juu ya Yanga.
Ufafanuzi kuhusu hili;
Kwasasa Yanga inashika nafasi ya 10 ikiwa na point 34 kwa kushika nafasi ya 3 kwenye kundi lake hivyo wameambulia point 2. Timu ambazo zipo juu ya Yanga ni ( nafasi ya 5 hadi ya 9) ni
5) Wydad point 39 hashiriki mashindano
6)Simba point 38 baada ya kufuzu robo fainali
7) USMA point 37 baada ya kufuzu robo fainali
8) Berkane point 37 baada ya kufuzu robo fainali
9) Belouizdad point 36 kaishatolewa mashindanoni
Kwenye matokeo ya mchezo wa raundi ya mwisho katika mashindano yote ya CAFCC na CAFCL katika timu zote 10, ni Yanga pekee ndiye anayeweza kuongeza point 5 kama ikitokea wameshinda mchezo wao, hizo timu 9 zilizobakia timu 7 tayari zimeshafuzu hivyo point zao zime include hadi michezo ya mzunguko wa mwisho. Wydad wao hawako katika mashindano hivyo hakuna atakachoongeza na Belouizdad wameshatolewa mashindanoni.
Tatizo umesoma bila kuelewa, Simba na timu zingine zote zilizo juu ya Yanga zimeshajumlishiwa point zao za kufuzu robo fainali hivyo hakutakuwa na mabadiliko mpaka pale watakapofuzu kucheza nusu fainali, ila Yanga hajafuzu ndio maana point zake ni 34 ila akifuzu tarehe 18 inamaana ataongeza point 5 na kuwa na point 39 na kupanda hadi nafasi ya 5 kwenye rankYaani wewe hesabu zako zinawezekana tu kama points za Simba zitakua haziongezeki, kitu ambacho si kweli kwan Simba nayo imeshavuzu kuingia robo
Kuna watu mna vichwa vigumu sana, waalimu walipata shida sanHizi points za Simba zinashuka kulingana na vyanzo vyenu ?
Elimu yako tafadhaliHata sijui umeandika nini? Ni ujinga ambao haupo.
Duh kuna watu mna vichwa vigumu balaa! Hapo usichokielewa ni kipi? Au haupp tayari kuelewa? Yanga kabla ya msimu alikuwa na 24, mpaka sasa hata akitolewa robo fainali ataishia nafasi ya tatu ambayo ni alama 2 ukizidisha kwa 5 ni 10, ukijumlisha na ile 24 ni 34. Endapo atafuzu robo ni alama 3 ukizidisha kwa 5 ni 15, ukijumlisha na 24 alizonazo inakuwa 39Hizi point za yanga bado sielewi zinapanda vipi hizi rank mnatumia ni za wapi?