Ufafanuzi kwanini Yanga akimfunga Mc Alger anaweza kuingia top 5 kwenye CAF 5 years ranking

Huu mpepe wa mwakaleli sio bure 😂😂😂😂😂
 
nyie vyura acheni mahesabu mtachanganyikiwa...
 
Reactions: Tsh
Ila hakuna kitu kinawanyima furaha Utopolo kama kuiona Simba pale ilipo.
Mwaka huu hicho kichaka tumeapa kukifyelea mbali.
Maana ndio kichaka pekee munacho tamba nacho mjini.
 
Yanga kesho anatoa droo,mwarabu anapita.
 
Ndiyo maana nimeuliza.
 
Waliofuzu robo fainali tayari point zao zimeshaongezewa na Yanga kawekea point zake kwa jinsi msimamo wa kundi lake lilivyo, hivyo ana nafasi ya kuongeza point kama itafuzu robo fainali
Nashukuru kwa ufafanuzi.
 
Calculation hii hapa. Hiyo ya kwako utakuwa umeitoa kwa Manara




 
Yaani haujajistukia tu kuwa wewe ndiye unaonekana mjinga? Maana hauna hoja ila umejawa na hasira tu. Na hata kilichoandikwa kimekuzidi upeo, hujui kitu
kuna watu wajinga sana., achana naye mkubwa
 
Kwenye hiyo hiyo source uliyotumia angalia walipoandika club ranking for 2025/2026 usiwe brother 'K'
Unatumia nguvu kubwa sana kutetea ujinga. 🤣 🤣 🤣 🤣 CAF siyo wapumbavu kama wewe.

Formula hii hapa. Nje ya hapa unachoandika ni upuuzi

 
Unatumia nguvu kubwa sana kutetea ujinga. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] CAF siyo wapumbavu kama wewe.

Formula hii hapa. Nje ya hapa unachoandika ni upuuzi

View attachment 3204547
Wewe jamaa unaelewa unachokiandika kweli au unakurupuka tu? Kwahiyo kipi kilichoandikwa hapo kilichokuwa tofauti na hiyo formula?
 
Wewe jamaa unaelewa unachokiandika kweli au unakurupuka tu? Kwahiyo kipi kilichoandikwa hapo kilichokuwa tofauti na hiyo formula?
🤣 🤣 🤣 🤣 Wewe unajadili akili umezificha mfukoni, Mahaba umeyaweka kichwani.
Quater Final Simba anaongeza 2, wewe Unaongeza 3. Kabla ya Group Stage Simba alikuwa na Point 39 wewe ulikuwa na point 31.

Mahaba yakizidi akili, ni wenda wazimu​

 
Wewee kweli bogus, kwahiyo zile 39 za Simba na 31 za Yanga kwa mawazo yako zinajumuishwa katika msimu mpya? Coefficient inabadilika na pia mashindano ya msimu huu yanajumuishwa hivyo 5 years ranking itaanzia msimu wa 2020/2021
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…