Ufafanuzi kwanini Yanga akimfunga Mc Alger anaweza kuingia top 5 kwenye CAF 5 years ranking

Hakika walimu wapewe pongezi kwa kazi wanayoifanya ukikutana na kichwa kama hiki aseeh. Mkuu mbona hivi vitu rahisi sana sijui ni nini kinakushinda kuelewa hapo? Nakuomba usipanic chukua hizi data zote unazoleta humu unganisha na kilicho andikwa naamini taratibu utaelewa.

Walimu wapewe maua yao aseeh
 
Utopolo bhana!!! Maisha siyo mrahisi hivyo 😀 😀
 
Yaani wewe hesabu zako zinawezekana tu kama points za Simba zitakua haziongezeki, kitu ambacho si kweli kwan Simba nayo imeshavuzu kuingia robo
Mbona una unaji dhaliliaha hivyo.... Simba kuingia robo tayari point zake ameshajumlishiwa.... Labda aende nusu ndio zitaongezeka hapo alipoingia robo tayari keshapewa point zake hana anachodai ...
 
Daah ...na una kaza fuvu kabisaaaa ...na formula unayo .!?? Rage apewe sifa na utukufu Kwa kuwaita mbumbumbu.. .
 
Hii ni maajabu....hivi hata kabla haujapost haujaona hiyo ni ranking ya miaka mi5 ya 2019/20 - 2023/24!? Sasa hesabu za miaka mitano zinaanzia 2020/21 - 20024/25..... Mbona mnapenda kufanya Rage aonekane nabii Kwa kuwaita mbumbumbu.
Naendelea kusema. Utopolo wenye akili ni wawili tu. Kwikwikwikwi.
hata kwa macho yako huoni nilichopost? Unajitoa ufahamu eeh!!
 
Daah ...na una kaza fuvu kabisaaaa ...na formula unayo .!?? Rage apewe sifa na utukufu Kwa kuwaita mbumbumbu.. .
😀 😀 Dunia yote inajua utopolo ni vichaa. Tunajua mlienda shule kusomea ujinga.
 
Daah ...na una kaza fuvu kabisaaaa ...na formula unayo .!?? Rage apewe sifa na utukufu Kwa kuwaita mbumbumbu.. .
Nafasi ya 5 utakaa kwa muda tu coz berkane,zamalek,simba,usm alger wakifika nusu tu we ukaishia robo unarudi kuwa wa 10 kumbuka berkane na zamalek fainali lazima wafike na kombe lazima wachukue.
 
 
Zinashuka kwasababu kuna msimu mmoja nyuma umefutwa na msimu mmoja mbele umeongezeka na huo msimu uliongezeka Simba imejikuta wapo kwenye mashindano ya akina mama
Teh teh 😃 😃 ongeza sauti hawajakusikia....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…