UFAFANUZI: Mtume Mohamad amewahi kutenda muujiza gani?

Alimzalisha mtoto wa miaka minne kabla hajavunja ungo
 
Huu Ukristo wa mwendokasi ndio unaotuharibia kufanya imani yetu ionekane ya kikanjanja.

Miujiza si muhuri wa kumfanya mtu aonekane ndio mtumishi wa kweli wa Mungu! Miujiza Mungu huruhusu kwa sababu maalum sio matakwa ya mtumishi wake.

Sasa kwa taarifa yako, Yesu ambaye ni Mungu anatuambia HAKUNA aliye mkuu au atayekuja kuwa mkuu katika binadamu kuliko Yohane Mbatizaji! Nitajie muujiza mmoja wa Yohana mbatizaji?

Kibinadamu tunamuona Yohana Mbatizaji wa kawaida ndio maana hata kwenye list yako hujamtaja ila kwa jicho la Mungu huyo ndio mkuu kuliko wote!

Tusipende kukosoa imani za wengine tusizozifahamu vizuri. Tukomae na imani yetu maana bado tu wachanga tu!
 
Asante sana Faiza kwa ufafanuzi... Kwa maana hiyo Mtume Mohammad (SAW) hakutenda muujiza wowote bali alileta kitabu chenye kuielezea Dunia na vilivyomo, hayo nimenukuu kulingana na maelezo yako hapo juu.

Pili kama Quran imeelezea Sayansi na Jiografia na Biolojia... Mbona bado sayansi inatuambia watu kama kina Galileo Galilei ndio waliogindua Dunia ni Duara na mambo mengine mengi, kina Newton kuhusu Gravitational Force, kina Gregor Mendel aliyekuwa wanabaiolojia na aligundua kuhusu urithishwaji wa Vinasaba (DNA inheritence) na mambo kadha wa kadha...

Kwa nini hawakutumia Quran kutatua nadharia hizi za kisayansi....

Mwisho hata Biblia pia imeelezea kuhusu, namna binadamu anavyopaswa kuishi na mazingira yake, mbingu anga, maji na kadharika.

Na nimekuuliza Mbona hiyo hiyo Quran ina maandiko ya kwenye Biblia, imeshushwa kiaje wakati maandiko yake mengi ni kutoa kwenye injili, Torati, Zaburi ambavyo ni vitabu vilikuwepo toka Mwanzo.... Yani ni sawa useme umeshushiwa kitu wakati tayari kilikuwepo
 
Ohooo
Usimseme mtume ws mnyaaz pls pls🀣
 
Asante sana Kaka, umenifafanulia vyema... Sikujua kama majini ni mabaya kwa waisilamu, nilijua majini ni sehemu ya Dini ya kiislamu kwa sababu utakuta mpaka mtu wa Dini hiyo ukizinguana naye anasema anakutupia jini au kukusomea alibadili ambayo wengi tuliamini ni kutupiwa jini likumalize.... Pia wengi wetu bado unaona na kuamini kuwa asilimia kubwa ya Waganga ni waislamu kwa sababu nimewahi kuona familia moja ya kiislamu mjini mwanza, baba yao akiwa mganga wa Jadi, pia tunaona kwenye TV watu kama Sheikh Majini akielezea majini na mambo mengine mpaka unasema kimoyo moyo huu si ni ushetani.

Maana kwenye Dini ya kikristo tunaambiwa malaika waliohasi walitupwa Duniani, ndio hawa majini
 
Hapa nazungumzia muujiza uliotendwa watu wa Mungu ulioambatana na kudhihirisha ukuu wa MUNGU... Ukizungumzia watu wa Mungu ambao hawakutenda Miujiza sio Yohana mbatizaji pekee, wapo wengi ambao kuanzia Abrahamu mwenyewe, na hiyo list nimeweka wacheche tu, sasa wewe unataka niweke kila mtu? Wapo ambao walichaguliwa na Mungu kutenda miujiza na wapo ambao hawakuchaguliwa kutenda miujiza.... Lakini kwa namna ambavyo Mtume Mohammad anavyotajwa basi nikataka kujua katenda muujiza hupi kudhihirisha ukuu wa Mungu
 
Watu wanaforce rizki
hao na wauza snake oil makanisani ni fungu Moja.
Usihukumu dini Kwa matendo ya waumini
Hapo nimekumanya vyema.... Haya turudi kwenye swali letu "Je Mohamad alitenda miujiza gani ukilinganisha na predecessors wake kama Musa"
 
Hatujui hataa alifanyaga nini,tunasali tu
 
Hivi wewe huwa huna bwana? Kutwa nzima uko humu kuandika upuuzi tu na kubishana na wanaume
Hii kauli sio sawa... Kuwa na bwana akumzuii mwanamke kujibu hoja, wapo wanawake wenye mawazo na Akili kuliko wanaume wengi... Tusiwanyike uhuru wanawake kisa tu eti kubishana na wanaume, mbona mama Samia umwambii hivyo

FaizaFoxy huyo jamaa asikutishe
 
Soma Surat Al-Qamar utaona muujiza wa kugawanyika kwa mwezi
Mwezi uligawanyika na dunia ikaendelea kutulia, bahari ikaendelea kutulia? Weather na climate zikabaki kawaida bila extreme changes πŸ˜πŸ˜„?
 
Mungu hadhihirishwi kwa kutenda miujiza tu! Lengo lako udhibitishe nini?
 
Mwezi uligawanyika na dunia ikaendelea kutulia, bahari ikaendelea kutulia? Weather na climate zikabaki kawaida bila extreme changes πŸ˜πŸ˜„?
Ndiyo
Eehe unasemaje?
 
Kiarabu ni lugha tu ambayo mtu yeyote anaweza kufundishwa na akameza maandiko.... Mbona watoto wanafundishwa kwa kiingereza wanaelewa, ata wakristo wangekuwa wanafundisha watoto biblia kwa kiebrania na kigiriki bado na wao wadingeshindwa.... Kwa muktadha huo kusoma biblia ya kiarabu sio muujiza, kusoma na kuelewa lugha tangu lini ikawa ni muujiza?

Biblia yenyewe Vipofu wanaiweka kichwani... Kipofu anafundishwa kwa kusikia na kugusa nukta nundu, hivyo huo sio muujiza
 
Imekaa hivi.
Unaamini Nyerere alipata degree Makerere.?
Wapi imeandikwa ?πŸ˜†
Si kupitia vyeti alivyopewa, na chuo chenyewe kinadhihirisha hilo na ndugu zake na yeye Nyerere mwenyewe kwa kina chake amewahi kusema
 
Mungu hadhihirishwi kwa kutenda miujiza tu! Lengo lako udhibitishe nini?
Mitume wengi wenye majina makuu kwenye vitabu vya Dini walitenda miujiza, Elewa neno majina makuu, inakuwaje waislamu wanasema Mohammad ana jina kuu na hakuna ukuu wa Mungu aliodhihirishwa kupitia yeye ukiachia mbali kushushiwa Quran
 
Weka ushahidi hatutaki maneno matupu. Masuala ya kuropoka hatutaki hapa. We hauoni yale mashindano ya Qur'an nchi tofauti tofauti. Hicho kiswahili kuweza kuweka kichwani kurasa 600 ikawa kazi ila Qur'an ikawa rahisi.
Masuala ya maneno matupu hatutaki. Na wala miujiza ya story ambayo hatujaona hatutaki. Sie tunazungumzia kusoma Qur'an dunia nzima. Niwekee ushahidi hapa. Masuala ya kuropoka hatutaki kama upo bar.
 
Mwezi uligawanyika na dunia ikaendelea kutulia, bahari ikaendelea kutulia? Weather na climate zikabaki kawaida bila extreme changes πŸ˜πŸ˜„?
Yes uko sawa kabisa... Mwezi unachangia kwa asilimia kubwa climate na Weather ya Dunia ukijumuisha Tides za bahari... Sasa huyu anasema mwezi ulipasuka bila kutokea madhara kidunia au hajui Dunia na Mwezi kuna utegemeano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…