Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 1,831
- 5,489
- Thread starter
- #81
Sasa mbona unataka kufanya kiswahili kigumu... Umeshasema ni mashindano, kwa maana ya kwangu watu walifanya mazoezi ya kujaribu mara kadhaa, hawakuzaliwa tu wakaanza kusoma... Kwa maana ya kwamba wengi wanakariri hususani wale ambao Kiarabu sio lugha yao...Weka ushahidi hatutaki maneno matupu. Masuala ya kuropoka hatutaki hapa. We hauoni yale mashindano ya Qur'an nchi tofauti tofauti. Hicho kiswahili kuweza kuweka kichwani kurasa 600 ikawa kazi ila Qur'an ikawa rahisi.
Masuala ya maneno matupu hatutaki. Na wala miujiza ya story ambayo hatujaona hatutaki. Sie tunazungumzia kusoma Qur'an dunia nzima. Niwekee ushahidi hapa. Masuala ya kuropoka hatutaki kama upo bar.
Kudhihirisha kuwa wamesoma Quran yote kwa kukariri ukiwatikisa kuhusu maswali kadhaa hawakujibu kwa ufasaha wanazunguka tu... Mimi nimeuliza swali Mohammad alitenda miujiza hipi lakini sipati majibu ya kufanana kutoka kwa waislamu, kila mtu anazunguka kivyake... Lakini sisi Wakristo sio watu wakufanya mashindano ya biblia, lakini ukiuliza Yesu au nabii yeyote kwenye biblia alitenda muujiza hupi wote tutakuletea Jibu moja