Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 14,516
- 50,658
Waulize watajibu waoNa hilo tukio la kugawanyika kwa mwezi wale wanasayansi waliokwenda mwezini nao waliuona mwezi ukiwa na ufa uliogawanywa na
Mtume
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waulize watajibu waoNa hilo tukio la kugawanyika kwa mwezi wale wanasayansi waliokwenda mwezini nao waliuona mwezi ukiwa na ufa uliogawanywa na
Mtume
Category zote jamaa alitafuna; kuanzia mishangazi overage hadi vigoli size ya vitukuu hakubakiza kitu mzee! Size za kati ndio alitapanya hasa akijidai anawasaidia ambao waume zao waliuliwa vitani!Mimi naomba kujua tu je ni kweli alitembea na mtoto wa miaka tisa?! Au ni uzushi
wanasayansi wakina Socrates,Plato, walikuwepo kabla ya mudi na walishasema nadharia nyingi na mudi alizikuta watu wakifundishwa.Qur'an wewe huishuhudii leo hii?
MIUJIZA YA QURAN
Karne kumi na nne zilizopita, Mungu aliteremsha Qur'ani kwa wanadamu kama kitabu cha mwongozo. Aliwataka watu waongozwe kwenye ukweli kwa kufuata kitabu hiki. Kutoka siku ya ufunuo wake hadi siku ya hukumu, kitabu hiki cha mwisho cha Mungu kitabaki kuwa mwongozo pekee kwa wanadamu.
Hekima ya Qur'an na Qur'an ni ushahidi wa wazi kwamba ni neno la Mwenyezi Mungu. Kwa kuongezea, Qur'an ina sifa nyingi za miujiza zinazothibitisha kwamba ni ufunuo kutoka kwa Mungu. Moja ya sifa hizi ni ukweli kwamba ukweli kadhaa wa kisayansi ambao tumeweza kuufunua kwa teknolojia ya karne ya 20 ulielezwa katika Qur'an miaka 1,400 iliyopita.
-
Najua.Hiko hivi sio kila mtume lazima apewe muujiza.Na hiyo miujiza inayosemwa kwa Moses na wengine haikuwa ata miujiza ila ilikuwa tu Mungu anaonyesha alivyo mkuu kwa walio na mioyo migumu.Mbona hoja iko very clear na mleta mada katoa hadi mifano? Labda swali liulizwe kwa namna unayotaka wewe;
Je, ni miujiza upi ambao Mungu ambaye habari zake zilifunuliwa kwetu na mtumishi wake Mudi ulitendwa na Mungu huyo kupitia mtumishi wake?
Simple!
Of course hoja ya mleta mada ni kuoneshwa japo kamuujuza kamoja tu alikotenda au kalikodhihirika kupitia au kwa uwepo wa Mudi. Naona hii hoja ni as if inakosa majibu ya maana.Najua.Hiko hivi sio kila mtume lazima apewe muujiza.Na hiyo miujiza inayosemwa kwa Moses na wengine haikuwa ata miujiza ila ilikuwa tu Mungu anaonyesha alivyo mkuu kwa walio na mioyo migumu.
Mwenyezi Mungu hana sababu ya kumtendea mwanadamu miujiza ikiwa imani yake ni nzuri bali ulazimika kufanya hivyo kwa wasioamini uwepo wake na ukuu wake.Mtume Muhammad(S.A.W) peace be upon him anaweza kuwa hana hiyo miujiza(sina uhakika, wenye kujua watasaidia) lakini hiyo haiwezi kuondoa utume wake.Mwenye kutoa utume kwa mtu ni mwenyezi Mungu bila kujali atampa nguvu hipi au kipi nasio wanadamu
Naeleweka kaka.Ndio maana nkasema hivi kuwa mtume sio lazima uwe ni miujiza.Nikasema pia hayo yaliyotendeka kwa mitume waliotangulia haikuwa ata miujiza bali Mungu alikuwa anaonyesha tu alivyo na mamlaka juu ya kila kitu.Of course hoja ya mleta mada ni kuoneshwa japo kamuujuza kamoja tu alikotenda au kalikodhihirika kupitia au kwa uwepo wa Mudi. Naona hii hoja ni as if inakosa majibu ya maana.
Kwenye Quran hakuna, na kwenye Quran imeandikwa yeye ni binadamu wa kawaida na ni muonyaji tu.Ndio tunataka uthibitisho kutoka kwenye Quran, haya gani zinazotaja miujiza hiyo?
Neno la Mungu lazima liende kwa evidence, na nyie uwa mnasema Quran haitakiwi kuchakachukiliwa, kwamba kila kitu kimo kama kilivyo toka mwanzo
Salman RushdieAlipoulizwa yeye mwenyewe, aliionesha Qur'an.
Qur'an ni muujiza unaoishi. Siyo wa kuhadithiwa tu kama mingine yote.
Mkuu unasahau Musa na Kina haruni kwenye Bible walijichagulia Vigoli waliowateka vitaniYaani Mnamzungumzia Moody na dini yake ya Mnyeeezi mungu!!!! Huyo chenga tupu full pichapicha fikiria mtu anabaka vibinti huyo ni nabii kweli????
Huyo jamaa bila shaka alikuwa mvuta jani la arusha.
Kama nimekuelewa unamaanisha Mungu hakuchagua kutenda miujiza kupitia Mtume wake Mudi; Yes/No?Naeleweka kaka.Ndio maana nkasema hivi kuwa mtume sio lazima uwe ni miujiza.Nikasema pia hayo yaliyotendeka kwa mitume waliotangulia haikuwa ata miujiza bali Mungu alikuwa anaonyesha tu alivyo na mamlaka juu ya kila kitu.
Kama kuwa na miujiza ndio utume hao manabii na mitume mbona hawakuchagua waifanye wapi na lini(except Jesus ndio alikuwa anaweza kuamua kufanya jambo bila ya kuwa ameambiwa na Mungu fanya hivi.Lakini na yeye had to pray to God before he did everything and he called it faith and not miracles coz he knew only God can do miracles)
Miujiza yofmte imeonueshwa na nimeona mingi piaNaeleweka kaka.Ndio maana nkasema hivi kuwa mtume sio lazima uwe ni miujiza.Nikasema pia hayo yaliyotendeka kwa mitume waliotangulia haikuwa ata miujiza bali Mungu alikuwa anaonyesha tu alivyo na mamlaka juu ya kila kitu.
Kama kuwa na miujiza ndio utume hao manabii na mitume mbona hawakuchagua waifanye wapi na lini(except Jesus ndio alikuwa anaweza kuamua kufanya jambo bila ya kuwa ameambiwa na Mungu fanya hivi.Lakini na yeye had to pray to God before he did everything and he called it faith and not miracles coz he knew only God can do miracles)
Na tayar majibu yameshatolewa mkuu labda ubishi au ulitaka jibu jingine au umekuwa proggramed kukataa majibu na kuamini majibu yako ulonayo ndo bora zaidiOf course hoja ya mleta mada ni kuoneshwa japo kamuujuza kamoja tu alikotenda au kalikodhihirika kupitia au kwa uwepo wa Mudi. Naona hii hoja ni as if inakosa majibu ya maana.
Amefanya miujiza mingi sanaKama nimekuelewa unamaanisha Mungu hakuchagua kutenda miujiza kupitia Mtume wake Mudi; Yes/No?
watu wa enzi hzo walikuwa wakubwa kwer kwer, unakuta mtu mrefu zaid ya fut 12, inawezekana kalikuwa katoto kiumri ila kiumbo kalikuwa kanafaa kwa matumizi.1.alioa katoto ka miaka 9
2.aligundua jua linazama kwenye matope
3.alikopi vitabu vya wayahudi na wakristo
Inawezekana lakini nani anajua Mungu anajua zaidiKama nimekuelewa unamaanisha Mungu hakuchagua kutenda miujiza kupitia Mtume wake Mudi; Yes/No?