UFAFANUZI: Mtume Mohamad amewahi kutenda muujiza gani?

UFAFANUZI: Mtume Mohamad amewahi kutenda muujiza gani?

Mwenzako amesema tukasome Suna na Hadithi ili tuone miujiza ya Quran kwa sababu Quran haijaandika miujiza.

Kumbe Quran kuna vitu imeacha inabidi tukafungue vitabu vingine ili kusoma!!

Huwa mnachekeshaga sana
Alipoulizwa yeye mwenyewe, aliionesha Qur'an.

Qur'an ni muujiza unaoishi. Siyo wa kuhadithiwa tu kama mingine yote.
 
Umetaja manabii 10 na miujiza yao.

Swali: Unamwambia nini mtu ambae haoni kuwa hiyo uliyoitaja ni miujiza, bali anaona ni stori tu zakutunga?
 
Swali jengine; Pale ambapo hao manabii walifanya hiyo miujiza ili kuthibitisha unabii wao, je wale wote walio ishuhudia hiyo miujiza waliamini?
 
Alipoulizwa yeye mwenyewe, aliionesha Qur'an.

Qur'an ni muujiza unaoishi. Siyo wa kuhadithiwa tu kama mingine yote.
Kitabu ambacho hata yeye mwenyewe hajawahi kukiona kinakuwaje Muujiza?

Nikifungua Quran, ninaweza kuona miujiza iliyofanywa na Mohamad?
 
Mkitaka kumuumbua fanyeni muujiza wa kuandiaka kitabu chenye hekima za kufanana na Quraan au baadhi ya aya zake, kwa mpangilio utakaonyesha uongo wake wowote.
Aliemtuma kawapa huo mtihani mpaka leo hamna huo ni muujiza tosha. miujiza yake ipo mingi saana. Mfano muujiza mkubwa alimwambia Ami yake abu Lahabi,baada ya kushuka sura Al masad (111) silimu ili uikanushe Quraani na mimi nionekane muongo. hakusilimu akafa kafiri.. Tatizo hamji kwa hoja bali kwa kejeli na matusi.
 
Huu Ukristo wa mwendokasi ndio unaotuharibia kufanya imani yetu ionekane ya kikanjanja.

Miujiza si muhuri wa kumfanya mtu aonekane ndio mtumishi wa kweli wa Mungu! Miujiza Mungu huruhusu kwa sababu maalum sio matakwa ya mtumishi wake.

Sasa kwa taarifa yako, Yesu ambaye ni Mungu anatuambia HAKUNA aliye mkuu au atayekuja kuwa mkuu katika binadamu kuliko Yohane Mbatizaji! Nitajie muujiza mmoja wa Yohana mbatizaji?

Kibinadamu tunamuona Yohana Mbatizaji wa kawaida ndio maana hata kwenye list yako hujamtaja ila kwa jicho la Mungu huyo ndio mkuu kuliko wote!

Tusipende kukosoa imani za wengine tusizozifahamu vizuri. Tukomae na imani yetu maana bado tu wachanga tu!
Kuzaliwa kwake tu kulikuwa kwa miujiza.baba yake alifumbwa macho au kipofu mpk alipozaliwa yahane ndo akaanza kuona tena
 
Kupitia Quran... Tuoneshe haya au mistari inayoonesha haya maneno yako kwenye kila muujiza
Shida inakuja unafananisha Quran na Biblia. Kwenye Biblia kuna historia ya Yesu iliyoandikwa na wakina Mark na wengineo. Kinda of masimulizi.
Quran haina masimulizi ya maisha ya Muhammad. Hata kuzaliwa kwake hakupo.
Itoshe kusema hayo aliyoyataja hayapo kwenye Quran.
 
Nilichokujibu na unachouliza inaonekana Hujui kujenga hoja bado huna maarifa hata maswali unayouliza hujui unauliza kwa lengo gani zaid ya kubishana bila hoja
Usikimbie. Twende taratibu.

Umesema Alah amesema mjikinge na WANAOWADHURU.

Hao wachoma Quran wamewahi kuwadhuru?
Wachoma Quran wa Sweeden na Denmark wamemdhuru nani?
 
Shida inakuja unafananisha Quran na Biblia. Kwenye Biblia kuna historia ya Yesu iliyoandikwa na wakina Mark na wengineo. Kinda of masimulizi.
Quran haina masimulizi ya maisha ya Muhammad. Hata kuzaliwa kwake hakupo.
Itoshe kusema hayo aliyoyataja hayapo kwenye Quran.
Kwa hiyo Quran haina miujiza ya Mohamad?
 
Back
Top Bottom