Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani alishuhudia?Alienda the seventh heaven na kiumbe aliyembeba kutoka hijaz mpaka falastini katika usiku mmoja, kiumbe huyu aliitwa Buraq ,hakuna aliyewahi kumpanda kiumbe hiyo.
kwa bahati mbaya ndugu mhaya, hajawahi kuwa na uwezo huo wala mungu wake hana uwezo kama Mungu wa Israel. angejitahidi walau kidogo angefanya kama ile ya Misri ya kutengeneza nyoka wanamezwa na nyoka ya Musa, nadhani ndio maana aliamini majini ni viumbe muhimu na wazuri kwasababu alihitaji msaada toka kwao. na hata wafuasi wake, ukimsema kidogo tu wanapata hasira wanataka wakuchinje kwasababu yeye mwenyewe hana nguvu ya kujitetea, anatewa na wanadamu.Manabii na Mitume wengi walikuwa ni watu wa Kutenda miujiza mikuu ya kudhihirisha uwepo wa MUNGU mkuu.
Mfano;
1. Musa: Alitenganisha Bahari kuwaokoa wanaisraeli.
2. Eliya: Alifufua mtu aliyekufa
3. Elisha: Alifufua mtu aliyekufa na kuponya waliugua
4. Yesu: Huyu alifanya makuu mengi sana, mnayafahamu
5. Nuhu: alitengeneza Safina kuokoa viumbe dhidi ya gharika
6. Paulo: aliponya walougua
7. Daniel: alitupwa kwenye banda la Simba wenye njaa na kutoka hai.
8. Shadrack, Meshaki, na Abednego: walitupwa kwenye tanulu la moto mkali kiasi kwamba hata walinzi walioenda kuwatupa walifariki kwa joto la moto ule, lakini cha kushangaza hao jamaa hawakuungua wala kupata jeraha la moto. Mfalme Nebukadineza akaduwaa na kuamini kweli Mungu yupo.
9. Yona: alimgomea mwenyezi Mungu baada ya kuambiwa aende akahubiri, lakini yeye akaamua kutoroka na kupanda jahazi ambalo badae lilipigwa na dhoruba ikabidi wenzake wamtupe Yona kwenye maji hili dhoruba litulie, na kweli lilitulia, Yona akamezwa na Samaki mkubwa na akaishi tumboni mwa samaki na siku kadhaa akaenda kutapikwa na samaki huyo nchi kavu. Badae akatii kwenda kuhubiri.
10: Lutu: MUNGU alitenda muujiza wa kuunguza miji ya Sodoma na Gomorrah baada ya Ushoga, mapenzi ya jinsia moja na dhambi za kila aina kukithiri katika miji hiyo, ambapo Lutu aliwapokea Malaika ambao walitumwa kwa kazi maalumu ya kuokoa familia ya lutu.
Hao ni wachache baina ya yaliyomengi yaliyotendwa au kukumbwa na watumishi wa Mungu.
Katika mapokeo ya Kiislamu, Mtume Muhammad kwa ujumla hahusiani na kufanya miujiza kama vile manabii wengine, kama vile Musa au Yesu, wanavyoelezewa katika Biblia. Badala yake, Waislamu wanaamini kwamba Quran, kitabu kitakatifu cha Uislamu, kinachukuliwa kuwa muujiza wake mkuu. Quran inaaminika kuwa neno halisi la Mwenyezi Mungu kama ilivyoteremshwa kwa Mtume Muhammad kwa kipindi cha miaka 23. Sifa zake za kiisimu na kifasihi, pamoja na mwongozo unaoutoa, huonwa kuwa wa miujiza na Waislamu.
Kuna baadhi ya matukio na matukio yaliyoripotiwa katika Hadith za Kiislamu ambayo yanachukuliwa kuwa ni miujiza, kama vile Isra na Miraj, ambayo ni Safari ya Usiku na Kupaa kwa Mtume, ambapo inasemekana alisafiri kutoka Makka kwenda Yerusalemu na. akapanda mbinguni. Hata hivyo, haya kwa kawaida hayasisitizwi kama kipengele kikuu cha utume wake kwa jinsi miujiza inavyosisitizwa katika hadithi za manabii wengine katika baadhi ya mapokeo mengine ya kidini.
Je Mohamad alifanya muujiza upi wa kuonekana au alikumbwa na muujiza hupi kuzihirisha ukuu wa MUNGU?
umeulizw amuujiza, unaleta kitabu. huo ndio muujiza?Qur'an wewe huishuhudii leo hii?
MIUJIZA YA QURAN
Karne kumi na nne zilizopita, Mungu aliteremsha Qur'ani kwa wanadamu kama kitabu cha mwongozo. Aliwataka watu waongozwe kwenye ukweli kwa kufuata kitabu hiki. Kutoka siku ya ufunuo wake hadi siku ya hukumu, kitabu hiki cha mwisho cha Mungu kitabaki kuwa mwongozo pekee kwa wanadamu.
Hekima ya Qur'an na Qur'an ni ushahidi wa wazi kwamba ni neno la Mwenyezi Mungu. Kwa kuongezea, Qur'an ina sifa nyingi za miujiza zinazothibitisha kwamba ni ufunuo kutoka kwa Mungu. Moja ya sifa hizi ni ukweli kwamba ukweli kadhaa wa kisayansi ambao tumeweza kuufunua kwa teknolojia ya karne ya 20 ulielezwa katika Qur'an miaka 1,400 iliyopita.
-
Kumbe tabia ya hawa ustaz wa madrasa wamejifunza udhalili kwa mudyMuujiza aliofanya Ni kumuweka kinyumba au kuoa binti mdogo chini ya umri wa miaka kumi bila kuchukuliwa hatua za kisheria na mamlaka za wakati huo
Wewe wacha UONGO. Utasemaje Mohammad alifanya miujiza wakati Quran Ayat 17:59 ALLAH anasema aliacha kuleta miujiza kwa sababu kila alipowatuma mitume wake wa zamani kufanya hiyo miujiza wanadamu hawakuiamini? Na kwamba miujiza wa mwisho ilikuwa pale alipowaletea A SHE CAMEL. Ukija kusoma Ayat 7:73-75 unaona miujiza huu wa she camel uliletwa na nabii Salih
Labda muujiza huu aliosaidiwa kutafsiriwa na Zakir NaikManabii na Mitume wengi walikuwa ni watu wa Kutenda miujiza mikuu ya kudhihirisha uwepo wa MUNGU mkuu.
Mfano;
1. Musa: Alitenganisha Bahari kuwaokoa wanaisraeli.
2. Eliya: Alifufua mtu aliyekufa
3. Elisha: Alifufua mtu aliyekufa na kuponya waliugua
4. Yesu: Huyu alifanya makuu mengi sana, mnayafahamu
5. Nuhu: alitengeneza Safina kuokoa viumbe dhidi ya gharika
6. Paulo: aliponya walougua
7. Daniel: alitupwa kwenye banda la Simba wenye njaa na kutoka hai.
8. Shadrack, Meshaki, na Abednego: walitupwa kwenye tanulu la moto mkali kiasi kwamba hata walinzi walioenda kuwatupa walifariki kwa joto la moto ule, lakini cha kushangaza hao jamaa hawakuungua wala kupata jeraha la moto. Mfalme Nebukadineza akaduwaa na kuamini kweli Mungu yupo.
9. Yona: alimgomea mwenyezi Mungu baada ya kuambiwa aende akahubiri, lakini yeye akaamua kutoroka na kupanda jahazi ambalo badae lilipigwa na dhoruba ikabidi wenzake wamtupe Yona kwenye maji hili dhoruba litulie, na kweli lilitulia, Yona akamezwa na Samaki mkubwa na akaishi tumboni mwa samaki na siku kadhaa akaenda kutapikwa na samaki huyo nchi kavu. Badae akatii kwenda kuhubiri.
10: Lutu: MUNGU alitenda muujiza wa kuunguza miji ya Sodoma na Gomorrah baada ya Ushoga, mapenzi ya jinsia moja na dhambi za kila aina kukithiri katika miji hiyo, ambapo Lutu aliwapokea Malaika ambao walitumwa kwa kazi maalumu ya kuokoa familia ya lutu.
Hao ni wachache baina ya yaliyomengi yaliyotendwa au kukumbwa na watumishi wa Mungu.
Katika mapokeo ya Kiislamu, Mtume Muhammad kwa ujumla hahusiani na kufanya miujiza kama vile manabii wengine, kama vile Musa au Yesu, wanavyoelezewa katika Biblia. Badala yake, Waislamu wanaamini kwamba Quran, kitabu kitakatifu cha Uislamu, kinachukuliwa kuwa muujiza wake mkuu. Quran inaaminika kuwa neno halisi la Mwenyezi Mungu kama ilivyoteremshwa kwa Mtume Muhammad kwa kipindi cha miaka 23. Sifa zake za kiisimu na kifasihi, pamoja na mwongozo unaoutoa, huonwa kuwa wa miujiza na Waislamu.
Kuna baadhi ya matukio na matukio yaliyoripotiwa katika Hadith za Kiislamu ambayo yanachukuliwa kuwa ni miujiza, kama vile Isra na Miraj, ambayo ni Safari ya Usiku na Kupaa kwa Mtume, ambapo inasemekana alisafiri kutoka Makka kwenda Yerusalemu na. akapanda mbinguni. Hata hivyo, haya kwa kawaida hayasisitizwi kama kipengele kikuu cha utume wake kwa jinsi miujiza inavyosisitizwa katika hadithi za manabii wengine katika baadhi ya mapokeo mengine ya kidini.
Je Mohamad alifanya muujiza upi wa kuonekana au alikumbwa na muujiza hupi kuzihirisha ukuu wa MUNGU?
Muujiza wake mkuu ni hiyo qur,aan kama uamini jikusanyeni muandike inayo fanana hii iliopo pia iaminiwe na watu kama wanavyo iamini pia watu hao wawe na ibada 1 dunia kote inayo fwananaManabii na Mitume wengi walikuwa ni watu wa Kutenda miujiza mikuu ya kudhihirisha uwepo wa MUNGU mkuu.
Mfano;
1. Musa: Alitenganisha Bahari kuwaokoa wanaisraeli.
2. Eliya: Alifufua mtu aliyekufa
3. Elisha: Alifufua mtu aliyekufa na kuponya waliugua
4. Yesu: Huyu alifanya makuu mengi sana, mnayafahamu
5. Nuhu: alitengeneza Safina kuokoa viumbe dhidi ya gharika
6. Paulo: aliponya walougua
7. Daniel: alitupwa kwenye banda la Simba wenye njaa na kutoka hai.
8. Shadrack, Meshaki, na Abednego: walitupwa kwenye tanulu la moto mkali kiasi kwamba hata walinzi walioenda kuwatupa walifariki kwa joto la moto ule, lakini cha kushangaza hao jamaa hawakuungua wala kupata jeraha la moto. Mfalme Nebukadineza akaduwaa na kuamini kweli Mungu yupo.
9. Yona: alimgomea mwenyezi Mungu baada ya kuambiwa aende akahubiri, lakini yeye akaamua kutoroka na kupanda jahazi ambalo badae lilipigwa na dhoruba ikabidi wenzake wamtupe Yona kwenye maji hili dhoruba litulie, na kweli lilitulia, Yona akamezwa na Samaki mkubwa na akaishi tumboni mwa samaki na siku kadhaa akaenda kutapikwa na samaki huyo nchi kavu. Badae akatii kwenda kuhubiri.
10: Lutu: MUNGU alitenda muujiza wa kuunguza miji ya Sodoma na Gomorrah baada ya Ushoga, mapenzi ya jinsia moja na dhambi za kila aina kukithiri katika miji hiyo, ambapo Lutu aliwapokea Malaika ambao walitumwa kwa kazi maalumu ya kuokoa familia ya lutu.
Hao ni wachache baina ya yaliyomengi yaliyotendwa au kukumbwa na watumishi wa Mungu.
Katika mapokeo ya Kiislamu, Mtume Muhammad kwa ujumla hahusiani na kufanya miujiza kama vile manabii wengine, kama vile Musa au Yesu, wanavyoelezewa katika Biblia. Badala yake, Waislamu wanaamini kwamba Quran, kitabu kitakatifu cha Uislamu, kinachukuliwa kuwa muujiza wake mkuu. Quran inaaminika kuwa neno halisi la Mwenyezi Mungu kama ilivyoteremshwa kwa Mtume Muhammad kwa kipindi cha miaka 23. Sifa zake za kiisimu na kifasihi, pamoja na mwongozo unaoutoa, huonwa kuwa wa miujiza na Waislamu.
Kuna baadhi ya matukio na matukio yaliyoripotiwa katika Hadith za Kiislamu ambayo yanachukuliwa kuwa ni miujiza, kama vile Isra na Miraj, ambayo ni Safari ya Usiku na Kupaa kwa Mtume, ambapo inasemekana alisafiri kutoka Makka kwenda Yerusalemu na. akapanda mbinguni. Hata hivyo, haya kwa kawaida hayasisitizwi kama kipengele kikuu cha utume wake kwa jinsi miujiza inavyosisitizwa katika hadithi za manabii wengine katika baadhi ya mapokeo mengine ya kidini.
Je Mohamad alifanya muujiza upi wa kuonekana au alikumbwa na muujiza hupi kuzihirisha ukuu wa MUNGU?
Qur,an kama sio muujiza nawe andika kama hii iliopo tuioneFaiza kitabu hakiwezi kuwa muujiza... Muujiza ni Tukio linaloshuhudiwa na wengi na lisilo la kawaida. Mfano Musa alivyogawa Bahari...
Nataka tukio lililoshuhudiwa na watu likitendewa na Mtume Mohamad (SAW)
Alipoulizwa yeye mwenyewe, aliionesha Qur'an.
Qur'an ni muujiza unaoishi. Siyo wa kuhadithiwa tu kama mingine yote.
Qur'an wewe huishuhudii leo hii?
MIUJIZA YA QURAN
Karne kumi na nne zilizopita, Mungu aliteremsha Qur'ani kwa wanadamu kama kitabu cha mwongozo. Aliwataka watu waongozwe kwenye ukweli kwa kufuata kitabu hiki. Kutoka siku ya ufunuo wake hadi siku ya hukumu, kitabu hiki cha mwisho cha Mungu kitabaki kuwa mwongozo pekee kwa wanadamu.
Hekima ya Qur'an na Qur'an ni ushahidi wa wazi kwamba ni neno la Mwenyezi Mungu. Kwa kuongezea, Qur'an ina sifa nyingi za miujiza zinazothibitisha kwamba ni ufunuo kutoka kwa Mungu. Moja ya sifa hizi ni ukweli kwamba ukweli kadhaa wa kisayansi ambao tumeweza kuufunua kwa teknolojia ya karne ya 20 ulielezwa katika Qur'an miaka 1,400 iliyopita.
-
Ndio maana nilisema sijawahi kusoma Quran hivyo, sijui muujiza wa mtume husika
Ila kuona visomo vikifanya maajabu kawaida sana unless hujawahi ishi uswazi kwenye waislamu wengi ndio utaona ni vitu vya kusadikika.
Kuna watu wamepooza au wamepigwa shirki, huwa wanasomewa visomo na wanakaa sawa, japo hii haipo common sana kwa sababu kwa ndugu zetu, watu wenye uwezo wa kufanya haya ni kama masheikh walio vizuri, Ila kwa makanisa ya kiroho, mtu akishakuwa deep kiimani, anaweza kufanya vitu vingi mwenyewe tu
Ndio muujiza wenyewe
Ni from Animal kingdom ,ni mnyama wa miguu minne na pia ana mbawa.
Msikilize mwanasayansi mkubwa duniani wa mambo ya kizazi, (embrology) anasema nini:Soga za mzawa hizi
Msikilize mwanasayansi mkubwa duniani wa mambo ya kizazi, (embrology) anasema nini:
View: https://youtu.be/J_Dllu42eEA?si=DEgu1dhoFcIMaiF-
Hongera Kwa mwalimu wako ,It’s kingdom Animalia.
Kama hujui Biology kaa utulie acha ujuaji