UFAFANUZI: Mtume Mohamad amewahi kutenda muujiza gani?

Faiza hadi mtume anakufa hakukuwa na Quran kama unavyoiona leo.
Hao watu aliwaonesha nini?
Qur'an ilikuwepo, nani alikudanganya haikuwepo?

Labda useme kulikua hakuna makaratasi na machapisho kama ya hii leo.
 
Duuu hauna kina cha kuto surprises; kama ni hivyo hata leo basi hiyo kitabu yenu ya sh*tn basi si muiweke tu mioyoni mwenu? Kuna haja gani ya makaratasi? Tena mungetupunguzia shida maana kila leo wanakichoma
 
Sasa hivi kipo kwenye moyo wa mtandao siyo mioyoni mwetu tu.

Hulijuwi hilo?
 
miujiza ni Quraan maneno hayajabadilishwa na yanawasumbua wakristo sana
 
Labda useme kulikua hakuna makaratasi na machapisho kama ya hii leo.
Kulikuwa na nini kama hakukuwa na makaratasi?

Kumbe huwa mnasema urongo mtupu mnasema Quran ilishushwa nzima nzima toka peponi kwa Allah (SW)
 
Manabii na Mitume wengi walikuwa ni watu wa Kutenda miujiza mikuu ya kudhihirisha uwepo wa MUNGU mkuu.
Mfano;
1. Musa: Alitenganisha Bahari kuwaokoa wanaisraeli.

2. Eliya: Alifufua mtu aliyekufa

3. Elisha: Alifufua mtu aliyekufa na kuponya waliugua

4. Yesu: Huyu alifanya makuu mengi sana, mnayafahamu

5. Nuhu: alitengeneza Safina kuokoa viumbe dhidi ya gharika

6. Paulo: aliponya walougua

7. Daniel: alitupwa kwenye banda la Simba wenye njaa na kutoka hai.

8. Shadrack, Meshaki, na Abednego: walitupwa kwenye tanulu la moto mkali kiasi kwamba hata walinzi walioenda kuwatupa walifariki kwa joto la moto ule, lakini cha kushangaza hao jamaa hawakuungua wala kupata jeraha la moto. Mfalme Nebukadineza akaduwaa na kuamini kweli Mungu yupo.

9. Yona: alimgomea mwenyezi Mungu baada ya kuambiwa aende akahubiri, lakini yeye akaamua kutoroka na kupanda jahazi ambalo badae lilipigwa na dhoruba ikabidi wenzake wamtupe Yona kwenye maji hili dhoruba litulie, na kweli lilitulia, Yona akamezwa na Samaki mkubwa na akaishi tumboni mwa samaki na siku kadhaa akaenda kutapikwa na samaki huyo nchi kavu. Badae akatii kwenda kuhubiri.

10: Lutu: MUNGU alitenda muujiza wa kuunguza miji ya Sodoma na Gomorrah baada ya Ushoga, mapenzi ya jinsia moja na dhambi za kila aina kukithiri katika miji hiyo, ambapo Lutu aliwapokea Malaika ambao walitumwa kwa kazi maalumu ya kuokoa familia ya lutu.

Hao ni wachache baina ya yaliyomengi yaliyotendwa au kukumbwa na watumishi wa Mungu.

Katika mapokeo ya Kiislamu, Mtume Muhammad kwa ujumla hahusiani na kufanya miujiza kama vile manabii wengine, kama vile Musa au Yesu, wanavyoelezewa katika Biblia. Badala yake, Waislamu wanaamini kwamba Quran, kitabu kitakatifu cha Uislamu, kinachukuliwa kuwa muujiza wake mkuu. Quran inaaminika kuwa neno halisi la Mwenyezi Mungu kama ilivyoteremshwa kwa Mtume Muhammad kwa kipindi cha miaka 23. Sifa zake za kiisimu na kifasihi, pamoja na mwongozo unaoutoa, huonwa kuwa wa miujiza na Waislamu.

Kuna baadhi ya matukio na matukio yaliyoripotiwa katika Hadith za Kiislamu ambayo yanachukuliwa kuwa ni miujiza, kama vile Isra na Miraj, ambayo ni Safari ya Usiku na Kupaa kwa Mtume, ambapo inasemekana alisafiri kutoka Makka kwenda Yerusalemu na. akapanda mbinguni. Hata hivyo, haya kwa kawaida hayasisitizwi kama kipengele kikuu cha utume wake kwa jinsi miujiza inavyosisitizwa katika hadithi za manabii wengine katika baadhi ya mapokeo mengine ya kidini.

Je Mohamad alifanya muujiza upi wa kuonekana au alikumbwa na muujiza hupi kuzihirisha ukuu wa MUNGU?
Miujiza ni nini?
 
Qur'an wewe huishuhudii leo hii?

MIUJIZA YA QURAN​

Karne kumi na nne zilizopita, Mungu aliteremsha Qur'ani kwa wanadamu kama kitabu cha mwongozo. Aliwataka watu waongozwe kwenye ukweli kwa kufuata kitabu hiki. Kutoka siku ya ufunuo wake hadi siku ya hukumu, kitabu hiki cha mwisho cha Mungu kitabaki kuwa mwongozo pekee kwa wanadamu.

Hekima ya Qur'an na Qur'an ni ushahidi wa wazi kwamba ni neno la Mwenyezi Mungu. Kwa kuongezea, Qur'an ina sifa nyingi za miujiza zinazothibitisha kwamba ni ufunuo kutoka kwa Mungu. Moja ya sifa hizi ni ukweli kwamba ukweli kadhaa wa kisayansi ambao tumeweza kuufunua kwa teknolojia ya karne ya 20 ulielezwa katika Qur'an miaka 1,400 iliyopita.

-
Aliishusha ikiwa katika Lugha gani. Je Lugha nyingine imeumbwa na nani?
 
Manabii na Mitume wengi walikuwa ni watu wa Kutenda miujiza mikuu ya kudhihirisha uwepo wa MUNGU mkuu.
Mfano;
1. Musa: Alitenganisha Bahari kuwaokoa wanaisraeli.

2. Eliya: Alifufua mtu aliyekufa

3. Elisha: Alifufua mtu aliyekufa na kuponya waliugua

4. Yesu: Huyu alifanya makuu mengi sana, mnayafahamu

5. Nuhu: alitengeneza Safina kuokoa viumbe dhidi ya gharika

6. Paulo: aliponya walougua

7. Daniel: alitupwa kwenye banda la Simba wenye njaa na kutoka hai.

8. Shadrack, Meshaki, na Abednego: walitupwa kwenye tanulu la moto mkali kiasi kwamba hata walinzi walioenda kuwatupa walifariki kwa joto la moto ule, lakini cha kushangaza hao jamaa hawakuungua wala kupata jeraha la moto. Mfalme Nebukadineza akaduwaa na kuamini kweli Mungu yupo.

9. Yona: alimgomea mwenyezi Mungu baada ya kuambiwa aende akahubiri, lakini yeye akaamua kutoroka na kupanda jahazi ambalo badae lilipigwa na dhoruba ikabidi wenzake wamtupe Yona kwenye maji hili dhoruba litulie, na kweli lilitulia, Yona akamezwa na Samaki mkubwa na akaishi tumboni mwa samaki na siku kadhaa akaenda kutapikwa na samaki huyo nchi kavu. Badae akatii kwenda kuhubiri.

10: Lutu: MUNGU alitenda muujiza wa kuunguza miji ya Sodoma na Gomorrah baada ya Ushoga, mapenzi ya jinsia moja na dhambi za kila aina kukithiri katika miji hiyo, ambapo Lutu aliwapokea Malaika ambao walitumwa kwa kazi maalumu ya kuokoa familia ya lutu.

Hao ni wachache baina ya yaliyomengi yaliyotendwa au kukumbwa na watumishi wa Mungu.

Katika mapokeo ya Kiislamu, Mtume Muhammad kwa ujumla hahusiani na kufanya miujiza kama vile manabii wengine, kama vile Musa au Yesu, wanavyoelezewa katika Biblia. Badala yake, Waislamu wanaamini kwamba Quran, kitabu kitakatifu cha Uislamu, kinachukuliwa kuwa muujiza wake mkuu. Quran inaaminika kuwa neno halisi la Mwenyezi Mungu kama ilivyoteremshwa kwa Mtume Muhammad kwa kipindi cha miaka 23. Sifa zake za kiisimu na kifasihi, pamoja na mwongozo unaoutoa, huonwa kuwa wa miujiza na Waislamu.

Kuna baadhi ya matukio na matukio yaliyoripotiwa katika Hadith za Kiislamu ambayo yanachukuliwa kuwa ni miujiza, kama vile Isra na Miraj, ambayo ni Safari ya Usiku na Kupaa kwa Mtume, ambapo inasemekana alisafiri kutoka Makka kwenda Yerusalemu na. akapanda mbinguni. Hata hivyo, haya kwa kawaida hayasisitizwi kama kipengele kikuu cha utume wake kwa jinsi miujiza inavyosisitizwa katika hadithi za manabii wengine katika baadhi ya mapokeo mengine ya kidini.

Je Mohamad alifanya muujiza upi wa kuonekana au alikumbwa na muujiza hupi kuzihirisha ukuu wa MUNGU?
Kumshawishi IBILISI mpaka akasilimu.....!!!!!
 
We
Sasa Bi. Faiza kwa upande wenu waislamu huwa mnajuaje kama huyu ni mpigaji?.
We huwa unajuaje kama mchungaji ji Tapeli.... Jibu lako ndio jibu la faiza mbweha🤣🤣
 
Back
Top Bottom