FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Vilivyohifadhiwa mioyoni mwa watu mwanzo mpaka mwisho, herufi kwa herufi?Binadamu wengi wana vitabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vilivyohifadhiwa mioyoni mwa watu mwanzo mpaka mwisho, herufi kwa herufi?Binadamu wengi wana vitabu
Qur'an ilikuwepo, nani alikudanganya haikuwepo?Faiza hadi mtume anakufa hakukuwa na Quran kama unavyoiona leo.
Hao watu aliwaonesha nini?
Duuu hauna kina cha kuto surprises; kama ni hivyo hata leo basi hiyo kitabu yenu ya sh*tn basi si muiweke tu mioyoni mwenu? Kuna haja gani ya makaratasi? Tena mungetupunguzia shida maana kila leo wanakichomaQur'an ilikuwepo, nani alikudanganya haikuwepo?
Labda useme kulikua hakuna makaratasi na machapisho kama ya hii leo.
Sasa hivi kipo kwenye moyo wa mtandao siyo mioyoni mwetu tu.Duuu hauna kina cha kuto surprises; kama ni hivyo hata leo basi hiyo kitabu yenu ya sh*tn basi si muiweke tu mioyoni mwenu? Kuna haja gani ya makaratasi? Tena mungetupunguzia shida maana kila leo wanakichoma
Kufufua Mtu aliyeishafariki pia hakuwezekani.Ila inawezekana kufufua marehemu?
Ila wewe ukiambiwa umetokana na manii inawezekana?Kufufua Mtu aliyeishafariki pia hakuwezekani.
Kupanda Punda pia kwenda nae Mbinguni pia ni Fiksi za Mwanadamu.
Kulikuwa na nini kama hakukuwa na makaratasi?Labda useme kulikua hakuna makaratasi na machapisho kama ya hii leo.
Sayansi imeshaelezea kwa ufasaha kuruani imesema kwamba Manii yametoka kwenye Ubavu.Ila wewe ukiambiwa umetokana na manii inawezekana?
si useme tu aliowa mtoto kwani unaona aibu kwanni na sio weweAlipoulizwa yeye mwenyewe, aliionesha Qur'an.
Qur'an ni muujiza unaoishi. Siyo wa kuhadithiwa tu kama mingine yote.
Miujiza ni nini?Manabii na Mitume wengi walikuwa ni watu wa Kutenda miujiza mikuu ya kudhihirisha uwepo wa MUNGU mkuu.
Mfano;
1. Musa: Alitenganisha Bahari kuwaokoa wanaisraeli.
2. Eliya: Alifufua mtu aliyekufa
3. Elisha: Alifufua mtu aliyekufa na kuponya waliugua
4. Yesu: Huyu alifanya makuu mengi sana, mnayafahamu
5. Nuhu: alitengeneza Safina kuokoa viumbe dhidi ya gharika
6. Paulo: aliponya walougua
7. Daniel: alitupwa kwenye banda la Simba wenye njaa na kutoka hai.
8. Shadrack, Meshaki, na Abednego: walitupwa kwenye tanulu la moto mkali kiasi kwamba hata walinzi walioenda kuwatupa walifariki kwa joto la moto ule, lakini cha kushangaza hao jamaa hawakuungua wala kupata jeraha la moto. Mfalme Nebukadineza akaduwaa na kuamini kweli Mungu yupo.
9. Yona: alimgomea mwenyezi Mungu baada ya kuambiwa aende akahubiri, lakini yeye akaamua kutoroka na kupanda jahazi ambalo badae lilipigwa na dhoruba ikabidi wenzake wamtupe Yona kwenye maji hili dhoruba litulie, na kweli lilitulia, Yona akamezwa na Samaki mkubwa na akaishi tumboni mwa samaki na siku kadhaa akaenda kutapikwa na samaki huyo nchi kavu. Badae akatii kwenda kuhubiri.
10: Lutu: MUNGU alitenda muujiza wa kuunguza miji ya Sodoma na Gomorrah baada ya Ushoga, mapenzi ya jinsia moja na dhambi za kila aina kukithiri katika miji hiyo, ambapo Lutu aliwapokea Malaika ambao walitumwa kwa kazi maalumu ya kuokoa familia ya lutu.
Hao ni wachache baina ya yaliyomengi yaliyotendwa au kukumbwa na watumishi wa Mungu.
Katika mapokeo ya Kiislamu, Mtume Muhammad kwa ujumla hahusiani na kufanya miujiza kama vile manabii wengine, kama vile Musa au Yesu, wanavyoelezewa katika Biblia. Badala yake, Waislamu wanaamini kwamba Quran, kitabu kitakatifu cha Uislamu, kinachukuliwa kuwa muujiza wake mkuu. Quran inaaminika kuwa neno halisi la Mwenyezi Mungu kama ilivyoteremshwa kwa Mtume Muhammad kwa kipindi cha miaka 23. Sifa zake za kiisimu na kifasihi, pamoja na mwongozo unaoutoa, huonwa kuwa wa miujiza na Waislamu.
Kuna baadhi ya matukio na matukio yaliyoripotiwa katika Hadith za Kiislamu ambayo yanachukuliwa kuwa ni miujiza, kama vile Isra na Miraj, ambayo ni Safari ya Usiku na Kupaa kwa Mtume, ambapo inasemekana alisafiri kutoka Makka kwenda Yerusalemu na. akapanda mbinguni. Hata hivyo, haya kwa kawaida hayasisitizwi kama kipengele kikuu cha utume wake kwa jinsi miujiza inavyosisitizwa katika hadithi za manabii wengine katika baadhi ya mapokeo mengine ya kidini.
Je Mohamad alifanya muujiza upi wa kuonekana au alikumbwa na muujiza hupi kuzihirisha ukuu wa MUNGU?
Kati ya mungu na sayansi yupi wa kwanza?Sayansi imeshaelezea kwa ufasaha kuruani imesema kwamba Manii yametoka kwenye Ubavu.
Sayansi imesahihisha uongo wa Dini.
Aliishusha ikiwa katika Lugha gani. Je Lugha nyingine imeumbwa na nani?Qur'an wewe huishuhudii leo hii?
MIUJIZA YA QURAN
Karne kumi na nne zilizopita, Mungu aliteremsha Qur'ani kwa wanadamu kama kitabu cha mwongozo. Aliwataka watu waongozwe kwenye ukweli kwa kufuata kitabu hiki. Kutoka siku ya ufunuo wake hadi siku ya hukumu, kitabu hiki cha mwisho cha Mungu kitabaki kuwa mwongozo pekee kwa wanadamu.
Hekima ya Qur'an na Qur'an ni ushahidi wa wazi kwamba ni neno la Mwenyezi Mungu. Kwa kuongezea, Qur'an ina sifa nyingi za miujiza zinazothibitisha kwamba ni ufunuo kutoka kwa Mungu. Moja ya sifa hizi ni ukweli kwamba ukweli kadhaa wa kisayansi ambao tumeweza kuufunua kwa teknolojia ya karne ya 20 ulielezwa katika Qur'an miaka 1,400 iliyopita.
-
Sio swali mujarab, swali ni kati ya Mungu na Dini ni yupi wa kwanza labda tungejadiliana hili kwanza.Kati ya mungu na sayansi yupi wa kwanza?
Kumshawishi IBILISI mpaka akasilimu.....!!!!!Manabii na Mitume wengi walikuwa ni watu wa Kutenda miujiza mikuu ya kudhihirisha uwepo wa MUNGU mkuu.
Mfano;
1. Musa: Alitenganisha Bahari kuwaokoa wanaisraeli.
2. Eliya: Alifufua mtu aliyekufa
3. Elisha: Alifufua mtu aliyekufa na kuponya waliugua
4. Yesu: Huyu alifanya makuu mengi sana, mnayafahamu
5. Nuhu: alitengeneza Safina kuokoa viumbe dhidi ya gharika
6. Paulo: aliponya walougua
7. Daniel: alitupwa kwenye banda la Simba wenye njaa na kutoka hai.
8. Shadrack, Meshaki, na Abednego: walitupwa kwenye tanulu la moto mkali kiasi kwamba hata walinzi walioenda kuwatupa walifariki kwa joto la moto ule, lakini cha kushangaza hao jamaa hawakuungua wala kupata jeraha la moto. Mfalme Nebukadineza akaduwaa na kuamini kweli Mungu yupo.
9. Yona: alimgomea mwenyezi Mungu baada ya kuambiwa aende akahubiri, lakini yeye akaamua kutoroka na kupanda jahazi ambalo badae lilipigwa na dhoruba ikabidi wenzake wamtupe Yona kwenye maji hili dhoruba litulie, na kweli lilitulia, Yona akamezwa na Samaki mkubwa na akaishi tumboni mwa samaki na siku kadhaa akaenda kutapikwa na samaki huyo nchi kavu. Badae akatii kwenda kuhubiri.
10: Lutu: MUNGU alitenda muujiza wa kuunguza miji ya Sodoma na Gomorrah baada ya Ushoga, mapenzi ya jinsia moja na dhambi za kila aina kukithiri katika miji hiyo, ambapo Lutu aliwapokea Malaika ambao walitumwa kwa kazi maalumu ya kuokoa familia ya lutu.
Hao ni wachache baina ya yaliyomengi yaliyotendwa au kukumbwa na watumishi wa Mungu.
Katika mapokeo ya Kiislamu, Mtume Muhammad kwa ujumla hahusiani na kufanya miujiza kama vile manabii wengine, kama vile Musa au Yesu, wanavyoelezewa katika Biblia. Badala yake, Waislamu wanaamini kwamba Quran, kitabu kitakatifu cha Uislamu, kinachukuliwa kuwa muujiza wake mkuu. Quran inaaminika kuwa neno halisi la Mwenyezi Mungu kama ilivyoteremshwa kwa Mtume Muhammad kwa kipindi cha miaka 23. Sifa zake za kiisimu na kifasihi, pamoja na mwongozo unaoutoa, huonwa kuwa wa miujiza na Waislamu.
Kuna baadhi ya matukio na matukio yaliyoripotiwa katika Hadith za Kiislamu ambayo yanachukuliwa kuwa ni miujiza, kama vile Isra na Miraj, ambayo ni Safari ya Usiku na Kupaa kwa Mtume, ambapo inasemekana alisafiri kutoka Makka kwenda Yerusalemu na. akapanda mbinguni. Hata hivyo, haya kwa kawaida hayasisitizwi kama kipengele kikuu cha utume wake kwa jinsi miujiza inavyosisitizwa katika hadithi za manabii wengine katika baadhi ya mapokeo mengine ya kidini.
Je Mohamad alifanya muujiza upi wa kuonekana au alikumbwa na muujiza hupi kuzihirisha ukuu wa MUNGU?
Quran aliyopewa mapangoni serious??Alipoulizwa yeye mwenyewe, aliionesha Qur'an.
Qur'an ni muujiza unaoishi. Siyo wa kuhadithiwa tu kama mingine yote.
Hata novel zimehifadhiwa mioyoniVilivyohifadhiwa mioyoni mwa watu mwanzo mpaka mwisho, herufi kwa herufi?
We huwa unajuaje kama mchungaji ji Tapeli.... Jibu lako ndio jibu la faiza mbweha🤣🤣Sasa Bi. Faiza kwa upande wenu waislamu huwa mnajuaje kama huyu ni mpigaji?.
MashallahAlipoulizwa yeye mwenyewe, aliionesha Qur'an.