Ufafanuzi na Mchanganuo Kuhusu Biashara ya Vipodozi na Urembo

Ufafanuzi na Mchanganuo Kuhusu Biashara ya Vipodozi na Urembo

Unanitamanisha sana mrembo, zile biashara za faida za sh.100/100 huwa siziwezagi 😂😂😂! Yani napenda kitu niuze nipate walau 5000 au zaidi! Perfume ndio zina mtindo huu kumbe hata vipodozi ndio hivyo hivyo. Nitakuja tuongee kirefu
Perfume zimenishinda
Nataka nipate mapene niagize full package ya oil perfume Dubai
Yaani niwe na scent zote huku niwachanganyie ila zile za Ready made 🙌🙌

Karibu naona watu wengi wanahamia kwenye hii sekta
 
Usisahau kuja kiwandani kwangu kununua sabuni za jumla
Zile za machunusi,Madoa nk
Mafuta ya nywele
 
Perfume zimenishinda
Nataka nipate mapene niagize full package ya oil perfume Dubai
Yaani niwe na scent zote huku niwachanganyie ila zile za Ready made 🙌🙌

Karibu naona watu wengi wanahamia kwenye hii sekta
Kama una uza na dawa za Nywele tafuta mtu Zanzibar awe anakutumia mfno zile za box wanauza sh 12000 pc 6.
 
Kama una uza na dawa za Nywele tafuta mtu Zanzibar awe anakutumia mfno zile za box wanauza sh 12000 pc 6.

Dawa za nywele siuzi

Zanzibar ni expensive zile zinachukuliwa Nairob ndo Bei nafuu
 
Perfume zimenishinda
Nataka nipate mapene niagize full package ya oil perfume Dubai
Yaani niwe na scent zote huku niwachanganyie ila zile za Ready made 🙌🙌

Karibu naona watu wengi wanahamia kwenye hii sekta
Hizo za kupima nzuri ila zinataka watu wazoefu. Washamba wengi wanazikwepa ila ziko njema kuliko hata special ones ukijua kuzimix
 
Hizo za kupima nzuri ila zinataka watu wazoefu. Washamba wengi wanazikwepa ila ziko njema kuliko hata special ones ukijua kuzimix
Yes ila pia ntakuwa Nauza oil Kwa jumla so sitegemei sana wa rejareja
 
Unanitamanisha sana mrembo, zile biashara za faida za sh.100/100 huwa siziwezagi [emoji23][emoji23][emoji23]! Yani napenda kitu niuze nipate walau 5000 au zaidi! Perfume ndio zina mtindo huu kumbe hata vipodozi ndio hivyo hivyo. Nitakuja tuongee kirefu
Kweli biashara za 100 faida zina changamoto sana, hasa biashara za vyakula ni shida asee. Jamaa ananiambia ananunua kiroba cha unga 36,000 anauza 37,000 nikamwambia WTF? Biashara ambayo una mauzo ya 1m kwa siku na faida ya 20k babeq! Spares zinalipa kiasi chake, unanunua plug box moja 12k unauza kila pisi 5,000. Unanunua bearing box 10,000 unauza pisi 3,000. Hapo mchawi ni location tu. Nadhani nitajikita huko kwa vile nimekuwa na spare time kubwa kwa sasa.
 
Back
Top Bottom