Mwanamke anafanya shopping pale atakapoona kitu kunachomvutia cha muhimu ni yeye kuwa na hela tu. Tofauti na wanaume hata kama ni viatu ni lazima uweke bajeti ya shopping.
Huyu ni mwana Jf mwenzetu nimemjulia humu mm yuko vizuri.Yule dada anapambana sana
Yule duka limemshinda kariakoo π πIna maana yule dada wa kiiraq anatupiga 40K insta anaeuza LA VISTA? Kweli ana haki ya kwenda Ibiza kila december.
Yes nimekumbuka mapambano yakeHuyu ni mwana Jf mwenzetu nimemjulia humu mm yuko vizuri.
Perfume zimenishindaUnanitamanisha sana mrembo, zile biashara za faida za sh.100/100 huwa siziwezagi πππ! Yani napenda kitu niuze nipate walau 5000 au zaidi! Perfume ndio zina mtindo huu kumbe hata vipodozi ndio hivyo hivyo. Nitakuja tuongee kirefu
Kama una uza na dawa za Nywele tafuta mtu Zanzibar awe anakutumia mfno zile za box wanauza sh 12000 pc 6.Perfume zimenishinda
Nataka nipate mapene niagize full package ya oil perfume Dubai
Yaani niwe na scent zote huku niwachanganyie ila zile za Ready made ππ
Karibu naona watu wengi wanahamia kwenye hii sekta
Sabuni unauzaje bei ya jumla kuanzia pc ngapUsisahau kuja kiwandani kwangu kununua sabuni za jumla
Zile za machunusi,Madoa nk
Mafuta ya nywele
Kama una uza na dawa za Nywele tafuta mtu Zanzibar awe anakutumia mfno zile za box wanauza sh 12000 pc 6.
Usisahau kuja kiwandani kwangu kununua sabuni za jumla
Zile za machunusi,Madoa nk
Mafuta ya nywele
Usisahau kuja kiwandani kwangu kununua sabuni za jumla
Zile za machunusi,Madoa nk
Mafuta ya nywele
Hizo za kupima nzuri ila zinataka watu wazoefu. Washamba wengi wanazikwepa ila ziko njema kuliko hata special ones ukijua kuzimixPerfume zimenishinda
Nataka nipate mapene niagize full package ya oil perfume Dubai
Yaani niwe na scent zote huku niwachanganyie ila zile za Ready made ππ
Karibu naona watu wengi wanahamia kwenye hii sekta
Yule duka limemshinda kariakoo π π
Nilikuwa na mpango wa kuzinunua kumbe kimeo.Zisiwe Kama zile za safron malalamiko ya wateja ni balaa[emoji27]
lifungua duka kariakoo amezoea Double profit yakamshindaHivi alikua na duka kariakoo kumbe, nilifikiri ni mbezi beach ndio lipo
Nimechukua kma mara mbili Ila malalamiko ni mengi kuliko positive feedbackNilikuwa na mpango wa kuzinunua kumbe kimeo.
Yes ila pia ntakuwa Nauza oil Kwa jumla so sitegemei sana wa rejarejaHizo za kupima nzuri ila zinataka watu wazoefu. Washamba wengi wanazikwepa ila ziko njema kuliko hata special ones ukijua kuzimix
Yeah kama unauza jumla utawapata wateja kirahisi.Yes ila pia ntakuwa Nauza oil Kwa jumla so sitegemei sana wa rejareja
Hio double profit huko huko Mbezi πππ kariakoo wanaenda watu wa mahesabu makali.lifungua duka kariakoo amezoea Double profit yakamshinda
Kweli biashara za 100 faida zina changamoto sana, hasa biashara za vyakula ni shida asee. Jamaa ananiambia ananunua kiroba cha unga 36,000 anauza 37,000 nikamwambia WTF? Biashara ambayo una mauzo ya 1m kwa siku na faida ya 20k babeq! Spares zinalipa kiasi chake, unanunua plug box moja 12k unauza kila pisi 5,000. Unanunua bearing box 10,000 unauza pisi 3,000. Hapo mchawi ni location tu. Nadhani nitajikita huko kwa vile nimekuwa na spare time kubwa kwa sasa.Unanitamanisha sana mrembo, zile biashara za faida za sh.100/100 huwa siziwezagi [emoji23][emoji23][emoji23]! Yani napenda kitu niuze nipate walau 5000 au zaidi! Perfume ndio zina mtindo huu kumbe hata vipodozi ndio hivyo hivyo. Nitakuja tuongee kirefu