Pamoja na ufafanuzi huo, bado kuna walakini mkubwa sana juu ya hicho mnachoita utalii wa kifalme, kwa kawaida huyo muandaaji wake lazima atakuwa na historia ya eneo na mlengwa au muhusika kulingana na tukio.
Hapa kwetu bimkubwa ndo hata mwaka hana kwenye cheo leo ghafla anatakiwa kufanya shooting kwa kigezo gani?
Marais waliofanya production huko nyuma tunaona hakuna aliyekaa madarakani kwa mwaka ni zaidi ya miaka ndiyo walifanyiwa coverage, hapa kwetu kuna nini huko?
Mimi binafsi nawaza anayeendesha hii nchi kwa upande wa pili huyo ndiye anaweza kuwa Royal Tour kwa kutengeneza deals akiwa ni mmoja wa ten per, although sisi nchi yetu inajitangaza yenyewe bila nguvu.
Kama jana nimeulizwa na mwafrika mwezangu kutoka Namibia; nyie (watanzania) mna mlima gani mrefu kuliko ule wa Kenya? Wakimaanisha Kilimanjaro!
Hapo ndipo naona kuna tatizo kwa hiyo VIP Tour na something hiden!