Ufafanuzi: The Royal Tour, filamu ya Rais Samia inayolenga kukuza utalii

Ufafanuzi: The Royal Tour, filamu ya Rais Samia inayolenga kukuza utalii

Tatizo sio Royal tour tatizo ni fedha zilizotumika tunaambiwa amechangiwa na watu ambao majina yamefichwa?

Uko mbele wakitaka raslimali zetu ili wafidie fedha zao?
Hapo ulipo unakodi unakatwa bila kujijua acha kazi iendelee
 
Hata Israel Pamoja na kwamba haipiti wiki bila kuisikia Israel kwenye Vyombo vikubwa vya habari kama CNN BBC Aljazeera nk lakini bado wakaamua kufanya Royal Tour...
☑️
 
Huyu Peter Greenberg ni mjanja anaejua kutumia fursa vizuri.
 
FSFcupSWQAE-heJ.jpg
 
Hakuna asiyejua kuwa UVIko uliathiri sana Sekta ya Utalii.
 
Sisi tumekuwa ni wa kujifunza kutoka kwa majirani zetu.

Siyo mbaya kujifunza yaliyo mema kwa manufaa ya wananchi.

----
Kagame.JPG
Upande wa kushoto ni Paul Kagame na kulia ni Peter Greenberg wakiwa katika kurekodi filamu ya "The Royal Tour".

Kumbuka, sio tu Tanzania, hata pia Rwanda walishafanya filamu ya "The Royal Tour".

Sio tu Rwanda na Tanzania, bali pia Poland, Mexico, Israeli, Equador, Jordan walishafanya filamu ya "The Royal Tour" mtayarishaji akiwa ni huyu Peter Greenberg na wenzake.
 
Back
Top Bottom