Ufafanuzi: The Royal Tour, filamu ya Rais Samia inayolenga kukuza utalii

Binafsi napenda MHESHIMIWA RAIS SSH anavyofanya hivyo Kwanza anaitangaza nchi nje ya Tanzania,siongei kisiasa naeleza kiuhalisia.Wazungu husema NO MAN IS AN ISLAND.Hatuwezi kujitenga na Dunia miaka kumi na Tano ilopita Kuna mtu alikuwa uholanzi kule hawajui hata nchi inayoitwa Tanzania.Tumpe muda Kiongozi wetu ili afanye KAZI.
 
Still tryna find answers from people such as yourself here.

10% increase in Peru, Mexico, and Jamaica mighta been claims of same governments - who knows? Too difficult to verify ‘cause numbers may have been cooked.

I’m neither on Peter’s nor our own government’s side. Just wanna know what’s what on this matter.

Just meant to provide little enlightenment that build a fire under in-depth discussion on the issue at hand
 
Mimi si hasidi wala mpiga nduru wa Rais Samia, Babluu. Natamani kuona Tanzania tukipiga hatua, na kila hatua tunayojaribu kupiga napenda iwe sahihi yenye manufaa kwetu sote. Kwa taarifa uliyokusanya wewe binafsi kuhusu The Royal Tour, unadhani ni vipi Rais Samia atafanikiwa kukuza utalii kwenye nchi hii tajiri kwa vivutio vya asili?
 
I hope huyo mtaalam atamwambia Mheshimiwa Rais kwamba kuwaita watalii waje Tanzania pia wawekezaji ni upande mmoja mdogo; tatizo la Tanzania ni kiwango cha huduma wakifika hapa Bongo; kinaliza! Huyu mtaalam ana dawa ya huu ugonjwa wa Bongo!?

Tukiwaambia ukweli Watanzania wenzenu mnatuita Wapinzani! Utadhani hamtembei nje ya nchi mkaona kiwango cha usafu na huduma ya washindani wetu.
 

..lets hope for the best.

..tatizo liko ktk nchi ambako watalii wanatokea.

..covid imewaathiri sana kiuchumi na kimapato ni vigumu kwao kupanga safari ndefu kuja Afrika.
 
..lets hope for the best.

..tatizo liko ktk nchi ambako watalii wanatokea.

..covid imewaathiri sana kiuchumi na kimapato ni vigumu kwao kupanga safari ndefu kuja Afrika.
Sure. Nadhani bado tuna wasaa wa kuamua kwamba tunakubaliana ama la. Muda utaongea.
 
Hakuna mtalii anayekata kusafiri na COVID hii katika nchi ambayo inaficha idadi ya maambukizi na vifo vya kila siku. Gharama za huu upuuzi bado zimefichwa na haijulikani kama Bunge liliidhisha gharama hizi. Kwangu mimi hii rebranding Tanzania ni UPUUZI MTUPU! na haitaongeza Watalii nchini kwa kifupi TUMEPIGWA!
..lets hope for the best.


..tatizo liko ktk nchi ambako watalii wanatokea.

..covid imewaathiri sana kiuchumi na kimapato ni vigumu kwao kupanga safari ndefu kuja Afrika.
 
Give it time..... it is just a year since ascending the presidency
 
Madili yanavyopigwa na mabeberu kwenye utalii…..hoteli zao zote pesa zinalipwa uko uko ulaya…serikali haipati kitu…RIP JPM


 
Upande wa kushoto ni Paul Kagame na kulia ni Peter Greenberg wakiwa katika kurekodi filamu ya "The Royal Tour".

Kumbuka, sio tu Tanzania, hata pia Rwanda walishafanya filamu ya "The Royal Tour".

Sio tu Rwanda na Tanzania, bali pia Poland, Mexico, Israeli, Equador, Jordan walishafanya filamu ya "The Royal Tour" mtayarishaji akiwa ni huyu Peter Greenberg na wenzake.
 
Polepole mnaanza kumjua Big Boss wa Tanzania anaye command kila kitu, umafia wote unapitia hapo!
 
Tatizo sio Royal tour tatizo ni fedha zilizotumika tunaambiwa amechangiwa na watu ambao majina yamefichwa?

Uko mbele wakitaka raslimali zetu ili wafidie fedha zao?
 
Sasa hoja yako ya msingi ni ipi hapa. Unabeza kilichofanyika au unakosoa. Tengeneza mada inayoweza kueleweka na watu wakachangia maoni
Hoja zimeisha mkuu; wametukana, wameponda, wamesingizia na kuzusha kwa kila namna lakini mama anasonga tu....kivyake. Kutokea kwa hoja-viroja km hiv ni ishara ya kuchanganyikiwa kwao; yaani chuki na dua mbaya vinawarudia watoaji badala ya mlengwa baada ya kupanguliwa na Muumba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…