Mtimkavuorg
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 655
- 527
Hapo ulipo unakodi unakatwa bila kujijua acha kazi iendeleeTatizo sio Royal tour tatizo ni fedha zilizotumika tunaambiwa amechangiwa na watu ambao majina yamefichwa?
Uko mbele wakitaka raslimali zetu ili wafidie fedha zao?
Hata Israel Pamoja na kwamba haipiti wiki bila kuisikia Israel kwenye Vyombo vikubwa vya habari kama CNN BBC Aljazeera nk lakini bado wakaamua kufanya Royal Tour...
☑️Hata Israel Pamoja na kwamba haipiti wiki bila kuisikia Israel kwenye Vyombo vikubwa vya habari kama CNN BBC Aljazeera nk lakini bado wakaamua kufanya Royal Tour...