Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Status
Not open for further replies.
Kitila Mkumbo
Hata wewe Mheshimiwa?kweli kikulacho kiko nguoni mwako.
 
Last edited by a moderator:
yaani sijaelewa hapo.................. madudu ya kidudu mtu zitto!!
 
Ukweli mtupu.
 
Aisee Mkuu ray05 hizi mbege za saa 9 siyo nzuri ntaziacha make nilikua sijasoma vizuri nikajua ni newz alert ila usijali lazima tukisafishe chama tayari kwa kukwaa hatamu 2015.

Unaelewa maana ya 'live update'? Sasa akisubiri mkutano uishe ndio akupe taarifa itakuwa ni live? We kalewe gongo sisi tunaendelea kupata news.
 
Last edited by a moderator:
Anasema lugha iliyotumika katika waraka huo ni ya siri ambapo kuna mtu anaitwa MM ambaye ni Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe, M1 ni Dr. Kitila Mkumbo, M2. Hajajulikana na Dr. Mkumbo alikana kumfahamu kabisa M2, na M3 ni Mwigamba. Lissu anasema Waraka huo uliojulikana kama Waraka wa Ushindi unavunja katiba ya Chama kwa sababu umepandikiza chuki za kidini, majungu na kukashifu viongozi wa Chama kinyume na katiba ya CHADEMA. Lissu anasema tuhuma zote zilizoko katika waraka huo hazijawahi kuwasilishwa kwenye kikao chochote halali cha chama kinyume na matakwa na masharti ya katiba yetu
 
Tundu Lissu anaanza kwa kusema kuwa Kamati Kuu imenasa waraka wa mkakati wa siri wa kukipasua Chama vipande vipande unaohusisha watu wanne ambao ni Zitto Kabwe, Dr. Kitila Mkumbo, Samson Mwigamba na mtu mwingine ambaye hajajulikana.
Lol masikini Kitila umepatwa na nini? Au ulikuwa unaogopa ajira yako UDSM inaweza kuhujumiwa ndio ukakubali huo usaliti? Umenivunja nguvu kabisa na ninaamini sio mimi pekee bali kundi kubwa la waaharakati na wasomi. Sasa cheza kama Pele, jirudi na shuka chini kubali ulipotoka utasamehewa. Hata kama CCM walikuahidi malipo ya kukupa Vice pale Mlimani hailingani na heshima uliyokuwa ukipewa na washabiki wako.
Pia kumbuka kuna watu wamepoteza maisha Iramba na wengine kuteseka sio kwa vile unaitwa Kitila bali kwa wewe kuwa mtetezi toka Chadema.
 
CHADEMA gaweni huo waraka wote tuusome kwa akili zetu na sio akili za kuambiwa.
 
Anasema Kamati Kuu imeamua kuwavua nyadhifa zao zote watu wote waliotajwa katika waraka huo ambao ni Zitto Kabwe, Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba.

Pia kamati kuu imeunda kamati ya kuchunguza na kufuatilia mhusika mwingine M2 ambaye anadaiwa ni Mtumishi wa Makao Makuu ili hatua stahiki ziweze kuchukuliwa dhidi yake

Kamati Kuu imeagiza wahusika wote waandikiwe barua za kujieleza ni kwanini wasivuliwe uanachama kwa makosa hayo makubwa waliyofanya.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…