Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Status
Not open for further replies.
Wadau kwa mwenendo wa kinafiki wa dr kitila ni wazi kua amei aibisha jumuia nzima ya udsm,kama msomi mzima anakosa misimamo,anakua na ndimi mbili vipi kwa malayman? inatia hasira kuona mtu anaeitwa msomi anakua kinara wa kurudisha nyuma harakati za kuikomboa nchi yetu,tabia ya kinafiki ya watu dizaini ya kitila si ya kuichekea popote pale iwe cdm,ccm,cuf,nccr whatever.

UDASA imekua ikipwaya shauri ya mwenendo wa watu kama mkumbo,swali la kujiuliza ni hili kwa vipi prof baregu alitimuliwa udsm kwa sababu tu alikua cdm na kitila mpaka leo bado yupo ilihali ana faamika kua ni cdm? jibu nadhani umeshalipata.....mkumbo ameitia aibu jumuiya ya wasomi wa UDSM.

Usomi ni pamoja na uwezo wa kupambanua mambo si kusoma uds tuu. acha utoto.
 
Hebu muacheni zit to aende kwa magamba wenzie huko CDM magamba mwiko (shibuda)
 
Ukweli ulio wazi sio rahisi sana kama wengi
wafikiriavyo kuwa CDM ikufa.
Kuna vyama tele vimepitia hali km hizi na
bado vipo.

Tusilazimishe mambo na kupandikiza chuki
ikiwa kama mtu anaharibu ni vema hatua
zichukuliwe tena bila fitna yoyote.
 
Sikuwahi kuwaza hili hata siku moja,Dah! Kama nimeingia mjini leo,bado nashangaa magorofa
 
Kumbuka sometimes Intelligence is nothing to do with education,kwa iyo kuna time elimu inawezwa kupumbazwa kutokana na mazingira,tamaa,njaa n.k.miongoni mwa watu niliokua nawaheshimu japo now heshima yangu imeshuka kwake kidogo ni Dr.Kitila,siamini kama angeweza kufanya haya,kweli anashindwa kuheshimu mamlaka zilizowekwa kidemokrasia haiingii akilini!!!
 
Wadau kwa mwenendo wa kinafiki wa dr kitila ni wazi kua amei aibisha jumuia nzima ya udsm,kama msomi mzima anakosa misimamo,anakua na ndimi mbili vipi kwa malayman? inatia hasira kuona mtu anaeitwa msomi anakua kinara wa kurudisha nyuma harakati za kuikomboa nchi yetu,tabia ya kinafiki ya watu dizaini ya kitila si ya kuichekea popote pale iwe cdm,ccm,cuf,nccr whatever.

UDASA imekua ikipwaya shauri ya mwenendo wa watu kama mkumbo,swali la kujiuliza ni hili kwa vipi prof baregu alitimuliwa udsm kwa sababu tu alikua cdm na kitila mpaka leo bado yupo ilihali ana faamika kua ni cdm? jibu nadhani umeshalipata.....mkumbo ameitia aibu jumuiya ya wasomi wa UDSM.[/QUOTE) wewe utatutafutia ban uliyomaliza Leo-maana umbumbu wako unatakiwa kuifanya wa kitaifa , wewe unayeoona yanayofanywa na hiyo jumuiya ya wachaga na wajinga wachache wasiojitambua ndo unataka kuiaminishia jamii kuwa Dr Kitila hayupo sahihi
 
lakini wanasiasa na watendaji wakubwa wa taasisi na serikali wengi wabovu wanatoka udsm,sorry.
 
Kama Msomi, Mtaalam tulikuwa hatutegemei hili kutoka kwake!
Katuabisha!
 
Wadau kwa mwenendo wa kinafiki wa dr kitila ni wazi kua amei aibisha jumuia nzima ya udsm,kama msomi mzima anakosa misimamo,anakua na ndimi mbili vipi kwa malayman? inatia hasira kuona mtu anaeitwa msomi anakua kinara wa kurudisha nyuma harakati za kuikomboa nchi yetu,tabia ya kinafiki ya watu dizaini ya kitila si ya kuichekea popote pale iwe cdm,ccm,cuf,nccr whatever.

UDASA imekua ikipwaya shauri ya mwenendo wa watu kama mkumbo,swali la kujiuliza ni hili kwa vipi prof baregu alitimuliwa udsm kwa sababu tu alikua cdm na kitila mpaka leo bado yupo ilihali ana faamika kua ni cdm? jibu nadhani umeshalipata.....mkumbo ameitia aibu jumuiya ya wasomi wa UDSM.
wewe utatutafutia ban uliyomaliza Leo-maana umbumbu wako unataka kuufanya wa kitaifa , wewe unayeoona yanayofanywa na hiyo jumuiya ya wachaga na wajinga wachache wasiojitambua ndo unataka kuiaminishia jamii kuwa Dr Kitila hayupo sahihi
 
Udsm ni sehemu ilipotoa watu waliouwa taifa hili hii nchi haijapiga hatua sababu ya wasomi udsm
 
Kitendo kilichofanywa na CDM ni cha kuigwa na vyama vyote ikiwemo CCM ambayo mpaka leo imeshindwa kuwavua magamba wanachama wake wenye tuhuma..si jambo la kushangaza kwa sababu hakuna mtu aliyezaliwa kuwa atakuwa kiongozi daima.,unaongoza lakin lazima ifike siku ukae pembeni...BRAVO CHADEMA!
 
Muujiza zaidi Nchemba anamwaga sifa kwa Kitila sasa!!!
Hapo ndio tujue kwanini Nchemba hajawahi kukosa usingizi Iramba!!
 
Wadau kwa mwenendo wa kinafiki wa dr kitila ni wazi kua amei aibisha jumuia nzima ya udsm,kama msomi mzima anakosa misimamo,anakua na ndimi mbili vipi kwa malayman? inatia hasira kuona mtu anaeitwa msomi anakua kinara wa kurudisha nyuma harakati za kuikomboa nchi yetu,tabia ya kinafiki ya watu dizaini ya kitila si ya kuichekea popote pale iwe cdm,ccm,cuf,nccr whatever.

UDASA imekua ikipwaya shauri ya mwenendo wa watu kama mkumbo,swali la kujiuliza ni hili kwa vipi prof baregu alitimuliwa udsm kwa sababu tu alikua cdm na kitila mpaka leo bado yupo ilihali ana faamika kua ni cdm? jibu nadhani umeshalipata.....mkumbo ameitia aibu jumuiya ya wasomi wa UDSM.

Baregu hajawahi kutimuliwa Udsm,tofautisha kutokuongezwa mkataba na kufukuzwa.Mkataba baada ya kustaafu ni hiyari ya mwajiri
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom