Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Status
Not open for further replies.
Tulianza na madiwani, vidagaa, watu wakafikiri ni utani...........sasa hata mapapa wanapigwa chini........
THEY WALK, THE TALK!
 
https://m.facebook.com/groups/475286502565364?view=permalink&id=544350558992291&refid=18&_ft_
 
Last edited by a moderator:
Labda atajisafisha hebu tuwe na subira tusubira siku 14 zimalizike. Kama atachukua mrengo wa Rostam azizi ingekuwa heri kwake.
 
Huyu jamaa kaibisha sana taaluma yake hasa pale alipogundulika kuwa anafanya haya, ni aibu tupu kwa taaluma yake. Tena msomi wa kiwango cha phd unagundulika? aibu yake.
 
CCM wamemtumia Zitto kama kondomu. Sasa matumizi yake yamekwisha! Kilichobaki ni kutupwa chooni tu! Hata kile kitita cha mamilioni ya fedha walizokuwa wamepanga kumpa ili aendelee kuivuruga CDM sidhani kama sasa watampa!
 

For all practical purposes, Zitto is finished! Kwishnei kabisa! So sad! Siamini iwapo ana options zozote za kufanya kujiokoa au hata kuipa tabu CDM. Na akivuliwa Ubunge basi itakuwa ni ‘coup de grace,' yaani pigo takatifu lakini bila shaka anaweza kuamua kuwa ‘Mbunge wa Mahakama,' kama vile walivyo wengine. Lakini pia anaweza kushinda tena kiti chake kwa kupitia chama chochote kile kingine.

Lakini tujadili kitu kimoja kwamba kuna pande fulani au watu fulani watakuwa wamepata pigo kwa kung'olewa Zitto kutoka vikao vya kamati kuu ya chama.

Natamka hivi kutokana na yalivyosikika na kuandikwa huko nyuma katika vyombo vya habari. Kwanza kabisa Usalama wa taifa (TISS) utakuwa umepata pigo kubwa kwani Zitto na Zoka walikuwa maswahiba. Tukumbuke kwamba wakati wa uchaguzi mkuu wa 2010 gazeti la Mwanahalisi liliwahi kunasa mawasiliano kati ya wawili hawa, kwa kutaja namba za simu zilizotumika, muda nk.

Uswahiba wake na TISS ulikuwa kwa manufaa ya nani? Inafahamika kuwa TISS wamekuwa wakidaiwa kuhusika na mwenendo wa chaguzi kwa namna ya kuvihujumu vyama vya upinzani. Gazeti hilo baadaye lilifungiwa miezi mitatu kwa kuripoti habari za mawasiliano hayo.

Aidha mtu mwingine atakayekuwa kapata pigo kutokana na kuvuliwa nyadhifa Zitto ni JK. Alikuwa swahiba wake mkubwa sana. Tusisahau kwamba baada tu ya uchaguzi wa 2010 wakati Bunge lilikuwa katika mchakato wa kuchagua kamati za Bunge, hasa zile oversight committees kulitokea mzozo mkubwa Bungeni wakati Spika anna Makinda alipobadilisha tafsiri ya Kambi rasmi ya upinzani Bungeni kwa lengo kuinyima CDM uewenyekiti wa kamati hizo.

Baada ya kuona uwezekano wa CDM kukosa kabisa nafasi hizo gazeti moja (The Citizen, nadhani) liliripoti kwamba JK aliwasiliana na Anne Makinda na kumuomba ahakikishe Zitto anapata ile ile nafasi yake ya uwenyekiti wa POAC. JK alikuwa analipa fadhila kwa kazi nzuri ya Zitto? Hii ni kweli? Uswahiba wao ulikuwa kwa manufaa kwa CDM? Maswali magumu!



 
"CHADEMA c ya Mbowe, c ya Slaa, c ya Lisu wala mtu yeyote".ni maneno ya Mbowe,yana HEKIMA,BUSARA,UELEWA NA UADILIFU.Msaliti hatukutaki,nenda zako kafie mbali.MUNGU TUSAIDIE
 
Everyone has a price, the problem iis to know what it is.

Unacheza na ruzuku ya chama ww, hata no 1 anaweza akauza ramani ya vita vile vile.
 
tunalazimika;7888591] wewe utatutafutia ban uliyomaliza Leo-maana umbumbu wako unatakiwa kuifanya wa kitaifa , wewe unayeoona yanayofanywa na hiyo jumuiya ya wachaga na wajinga wachache wasiojitambua ndo unataka kuiaminishia jamii kuwa Dr Kitila hayupo sahihi.
....,..Kajifunze kwanza kuandika then ndio uje na arguements zako za kishamba.
 
It is the best of times and it is the worst of times, We have very little if not nothing yet we have everything. We are in the middle of major challenges and yet we are in the most advantageous position. NOW THAT WE STAND AT THE CROSS ROAD, OUR WISDOM TO CHOOSE IS THE KEY TO SUCCESS AHEAD. PEOPLES POWER!
 
  • Thanks
Reactions: Ame
mmenitoa ukungu machoni,, ni KADA WA CDM LAKINI MBONA HAWAKUMFUKUZA kama BAREGU!?

Prof. Baregu hakufukuzwa ali alikuwa amestaff anafanya kazi kwa mkataba. Mkataba ulivyoisha hakuongezewa. Ni jambo la kawaida katika utumishi wa umma. Sikubaliani na matendo ya kitila lakini ni muhimu kutofautisha hizi scenario mbili.
 
Mtu aingii kwenyecha kwa sababu ya dini yake acha mtazamo asi


islamophobia lazima iwamalize hamna ujasiri wa kutoa roho zenu kwa ajili ya umma.

Press comference mlijitahidi kupamba kofia lakini watu wamestuka.
 
Nimepigiwa simu na msg toka japan,us,uk,musoma,tanga,kigoma,arusha,shy,zote zikipongeza hatau zilizochukuliwa na kamati kuu moja ya msg hizo ilisema

"kaka salama? kuna nini tena huko,nasikia zito kapigwa chini sababu ya usaliti?

nilichojibu

"ulichosikia ndicho kilichotokea ndugu yangu,mengi zaidi soma magazeti ya kesho hasa mwananchi au tanzania daima"
 
kwani huyu ben saa tisa sio ndio alitaka kumpa sumu zitto jaman au ubongo wangu unatafsiri vibaya
 
Kuondolewa kwa Zitto Chadema ni hasara kwa CCM maana waliwekeza sana kwake !
Lakini pia ni hasara kwake maana hatoendelea kutumika.
Na pia ni faida kwa yale mashirika ya umma aliyokuwa akiyakamua

Wanajilaumu amewatia hasara kubwa,hawakujua kuwa wanacheza deal na mtoto mdogo,wote wanalia Mwigulu Nchemba,leo amekuwa mshauri wa CHADEMA,?kweli imekula kwao.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom