hata kama alijiunga na CHADEMA mwaka gani, je ndio ticket ya kufanya usaliti na uhaini ? Msigwa alisema" Zitto ni sawa na Mama mjamzito anayevumilia kubeba mimba kipindi chote cha miez 9 lakin baada ya kumzaa anaua mtoto, hivyo dawa ya huyo mama ni kushika na kuweka ndani tu"
Nenda kaseme hayo mambo Kigoma uone utakachopata, muulize Dr. Slaa
Tell your mom to ask ZZK to agree with you! If she fails ask your dad to help you! If he denies hang yourself!That is perfect 100% having raied your own child does not permit/give you the wright to kill him/her.
The same to Zito have got no wright to bring about turbulence and hence kill cdm - Understand that.
If he think the policy, rules, principle and other treatment does not guarantee his happiness and his political future let
him establish his own part, why should ZZK scramble to remain where he thinks is not suitable for him?.....
Shardcole pole sana maana Leo umeandika jambo jema lakini unaambulia mitusi toka kwa wanachama na wapenzi wa CDM! Pole sana Kwao kila mtu ni msaliti isipokuwa Dr Slaa!
Hata Mbowe aliwahi tukanwa wazi wazi humu kisa kumsifia JK
Tell your mom to ask ZZK to agree with you! If she fails ask your dad to help you! If he denies hang yourself!
Unachelewa kuitupa hio kadi, maana sioni haja ya wewe kutaka urudishe kwani hata ulipoichukua hukutushirikisha. Iweje kwenye kurudisha utake tushiriki??
Chadema hatuabudu mtu,we nenda tena usikawie maana ulikuwa kenge katika msafara wa mamba.
Watanzania tumeapa kuitokomeza ccm hata kama ccm wataendelea kuhujumu mikutano ya chadema. CCM endeleeni kuvuruga amani katika mikutano ya chadema lakini mjue kwamba Hatuko tayari kuendelea kutawaliwa na Wezi/Walanguzi/Majangili/Majambazi/Wauaji/watesaji/Mafisadi. Maana halisi ya ufisadi ni Wezi/Walanguzi/Majangili/Majambazi/Wauaji/watesaji/Mafisadi hivyo ccm msizani maovu yenu kuyaita ufisadi maana yake hatujuiWatamuua kabisa! Slaa kaokolewa na Polisi tu bila hivyo wangemsambaratisha
Hujui ulisemalo na utakalolitenda, you are easily grasped!
That is perfect 100% having raied your own child does not permit/give you the wright to kill him/her.
The same to Zito have got no wright to bring about turbulence and hence kill cdm - Understand that.
If he think the policy, rules, principle and other treatment does not guarantee his happiness and his political future let
him establish his own part, why should ZZK scramble to remain where he thinks is not suitable for him?.....
hata kama alijiunga na CHADEMA mwaka gani, je ndio ticket ya kufanya usaliti na uhaini ? Msigwa alisema" Zitto ni sawa na Mama mjamzito anayevumilia kubeba mimba kipindi chote cha miez 9 lakin baada ya kumzaa anaua mtoto, hivyo dawa ya huyo mama ni kushika na kuweka ndani tu"
JF.......!
Mimi ni mwanachadema mtiifu na mwaminifu kwa chama na viongozi wangu, nimekuwa mwanachama wa CHADEMA tangu mwaka 2009 baada ya kuvutiwa na siasa za Mhe.Zitto Kabwe hapo awali.
Hatimaye nimeona nitoe muono wangu huu kwa wanaCDM wenzagu kuwa najiandaa kurudisha kadi ya chama changu kipenzi CHADEMA endapo chama changu hakitachukua maamuzi magumu ya kumfukuza na kumtumlia mbali mnafiki, mzandiki na mhaini Zitto Zuberi Kabwe,
Imefika hatua mhe. Huyu kawa ana kiburi mithili ya shetani na kujiinua pasipo sababu kuwa "ZITTO NI CHADEMA NA CHADEMA NI ZITTO" haya ni matusi makubwa kwa wenzetu waliopoteza maisha kwa ajili ya chama, Zitto kaua ndoto za vijana wengi waliokuwa wema kama Juliana Shonza, Habib Mchange, Mtela, Nyakurungu Gwakisa, Burton, Kafulila kwa ulaghai wake. hivyo sitokuwa tayari kuendelea kuona Mrundi mmoja akizima ndoto za taifa langu Tanzania.
Lastly, sitokuwa tayari kuendelea kuishi na nyoka kwenye chumba kimoja.
Shardcole@Tabora1
Unamtishia nani na hiyo kadi yako. Tena ulitakiwa uwe umesharudisha kadi umfuate msaliti mwenzako. Usiendelee kuwa msaliti masalia.JF.......! Mimi ni mwanachadema mtiifu na mwaminifu kwa chama na viongozi wangu, nimekuwa mwanachama wa CHADEMA tangu mwaka 2009 baada ya kuvutiwa na siasa za Mhe.Zitto Kabwe hapo awali. Hatimaye nimeona nitoe muono wangu huu kwa wanaCDM wenzagu kuwa najiandaa kurudisha kadi ya chama changu kipenzi CHADEMA endapo chama changu hakitachukua maamuzi magumu ya kumfukuza na kumtumlia mbali mnafiki, mzandiki na mhaini Zitto Zuberi Kabwe, Imefika hatua mhe. Huyu kawa ana kiburi mithili ya shetani na kujiinua pasipo sababu kuwa "ZITTO NI CHADEMA NA CHADEMA NI ZITTO" haya ni matusi makubwa kwa wenzetu waliopoteza maisha kwa ajili ya chama, Zitto kaua ndoto za vijana wengi waliokuwa wema kama Juliana Shonza, Habib Mchange, Mtela, Nyakurungu Gwakisa, Burton, Kafulila kwa ulaghai wake. hivyo sitokuwa tayari kuendelea kuona Mrundi mmoja akizima ndoto za taifa langu Tanzania. Lastly, sitokuwa tayari kuendelea kuishi na nyoka kwenye chumba kimoja. Shardcole@Tabora1
Mkuu Shardcole punguza hasira. By the way, next weekend ninakuja tabora ntakutafuta tutaongea mengi kuhusu siasa.
Kalale mahali pema Dada..kumbe ulipenda mtu! Siyo chama... Kapumzike kwa amani sister wangu.
Mkuu Shardcole punguza hasira. By the way, next weekend ninakuja tabora ntakutafuta tutaongea mengi kuhusu siasa.
JF.......!
Mimi ni mwanachadema mtiifu na mwaminifu kwa chama na viongozi wangu, nimekuwa mwanachama wa CHADEMA tangu mwaka 2009 baada ya kuvutiwa na siasa za Mhe.Zitto Kabwe hapo awali.
Hatimaye nimeona nitoe muono wangu huu kwa wanaCDM wenzagu kuwa najiandaa kurudisha kadi ya chama changu kipenzi CHADEMA endapo chama changu hakitachukua maamuzi magumu ya kumfukuza na kumtumlia mbali mnafiki, mzandiki na mhaini Zitto Zuberi Kabwe,
Imefika hatua mhe. Huyu kawa ana kiburi mithili ya shetani na kujiinua pasipo sababu kuwa "ZITTO NI CHADEMA NA CHADEMA NI ZITTO" haya ni matusi makubwa kwa wenzetu waliopoteza maisha kwa ajili ya chama, Zitto kaua ndoto za vijana wengi waliokuwa wema kama Juliana Shonza, Habib Mchange, Mtela, Nyakurungu Gwakisa, Burton, Kafulila kwa ulaghai wake. hivyo sitokuwa tayari kuendelea kuona Mrundi mmoja akizima ndoto za taifa langu Tanzania.
Lastly, sitokuwa tayari kuendelea kuishi na nyoka kwenye chumba kimoja.
Shardcole@Tabora1
You Don't have nice shock absorb-er, Unategemeaji binadamu kusamehewa kama hawezi kusamehe. Naanza kuona mwisho wa cdm kama hii dhana ya jino kwa jino itaendelea kwani auae kwa upanga afa kwa upanga. Wote, mbowe, slaa, zito, lisu, mnyika wamefanya mazuri mengi sana ambayo kwa kukosea kwao, ni lazima kitumike kipimo. Kipime mazuri na mabaya. Lakini waamuzi ni ninyi sisi tutasubiri historia ijidhihirishe.
Afadhali leo Mandele anatawala vyombo vya habari. Anafikiriwa atakusanya watu wengi kuliko yoyote Duniani, kwanini, Uvumilivu na uwezo wake Mkubwa wa Kusamehe. Msihukumu msije mkahukumiwa. Dini zote, zinasisitiza kusamehe. Mandela alisamehe watesi wake wote na sasa amelipwa duniani kwa kupewa Urais na atalipwa Mbinguni. Alianza na Mungu na Anamaliza na Mungu. Anayeanza na Mungu uwezo wake ni kusamehe hata 7 x 70. How about you