Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Status
Not open for further replies.
Unamtishia nani na hiyo kadi yako. Tena ulitakiwa uwe umesharudisha kadi umfuate msaliti mwenzako. Usiendelee kuwa msaliti masalia.

We mkuu ni -------- sana. Ngoja niishie hapa sitaki ban.
 
Mkuu Shardcole uko sahihi kufanya ulichokisema, lakini hupaswi kukiacha chama kwasababu hiyo bali kuendelea kupambana ili kumuondoa zito! Ni kijana alikuwa vizuri lakini umaarufu wake umeotesha kiburi kichwani kwake. CDM hatutaki watu kama hao!
 
Last edited by a moderator:
Nakubaliana na wewe kwamba Zitto inabidi afukuzwe Chadema, ninaamini kwamba Chadema wakifanya kosa la kumuacha, itatucost sana in the future.....

Pamoja na hayo tukiwa wanachama na mashabiki wa Chadema inabidi tuwe na imani na KK, kwa sababu ni chombo halali cha chama kwa ajili ya kufanya maamuzi kama hayo, hivyo hata kama wataamua kinyume na matarajio yetu nakushauri usichukue uamuzi huo.....Hapo hautakuwa na tofauti na wale ambao wamejifuta uanachama eti kwa sababu Zitto amevuliwa uongozi......Mimi nataka Zitto afukuzwe, lakini hata asipofukuzwa nitakubaliana na kuheshimu uamuzi wa Chama, sababu umeamuliwa kidemokrasia...

Ukirudisha kadi mkuu, itakuwa ni mambo yale yale, fuateni ninavyotaka mimi la sivyo naondoka.....hiyo sio demokrasia mkuu.

 
Mkuu Shardcole punguza hasira. By the way, next weekend ninakuja tabora ntakutafuta tutaongea mengi kuhusu siasa.

Ha ha ha ha ha! Mkuu sixgates nimekushtukia unataka uje unipe deal ka kurusha mawe kwny mkutano wa Dr.Slaa! Hapo hunidanganyi mkuu mm sina njaa kama vijana wa lumumba buku7 project.
 
Last edited by a moderator:
Kama kweli Zitto anaipenda Chadema na hizi vutugu wanazomganyia katibu mkuu wake kama angekuwa mzalendo angeshatoa tamko la kulaani vurugu hizo.

Si rahisi kuona boss wako anafanyiwa vurugu kwa jina lako na kama unamprnda lazima utaingilia kati, ukikaa kimya basi we ni muhusika wa vurugu hizo moja kwa moja.

Basi ikiwa ni Kweli kuwa Zitto kwa Chama baadae, basi atoke chadema akaanzishe chama chake na awe mwenyekiti wa hao wanaofanya vurugu wajipatie vyeo vyovyote watakavyo.

Kwanini anayaka kubaki chadema??
 
Wee mbulumundu umeishawahi kuona Slaa akilaani au kukemea matusi mnayomtukana Zitto hapa?

Mkuki kwa mchungu, kwa binadamu nguruwe
 
Anaogopa kusaliti tamko la nchi kutotawalika na kupewa kesi ya pili ya uhaini!!!!!!!
Matakwa yao yatimie this time bila kuhusisha jina lake! !!!!!
 

Mkuu jebibay ahsante kwa hekima na maarifa yako.
 
Last edited by a moderator:
Kumbe MNA wakimbizi ndani ya chama chenu!
Tunahitaji viongozi waadilifu kwa maneno na vitendo.
After all sio mkimbizi wa kwanza Kuwa kiongozi mahiri. Alianza NYERERE akaja MKAPA yeye atakuwa watatu.
Mliokidandia chama wakati kimeshashika kasi bila ya kuwekeza chochote ndio mmegeuka wenye mamlaka ya kufukuza watu!!!!!
 
Wee mbulumundu umeishawahi kuona Slaa akilaani au kukemea matusi mnayomtukana Zitto hapa?

Mkuki kwa mchungu, kwa binadamu nguruwe

Dada yangu Lukosi unajua unamkosi kweli, hivi kama hata mwanaume hakutaki utang'ang'ania tu? Kwani CDM ni baba yake au mama yake?
 
Mkuu Shardcole uko sahihi kufanya ulichokisema, lakini hupaswi kukiacha chama kwasababu hiyo bali kuendelea kupambana ili kumuondoa zito! Ni kijana alikuwa vizuri lakini umaarufu wake umeotesha kiburi kichwani kwake. CDM hatutaki watu kama hao!

Mkuu MWAYAsi Mungu akubariki kwa kuongeza ufahamu.
 
Last edited by a moderator:
Hawazi toka kwa kuwa assignment aliyopewa ya kuisambaratisha CDM bado hajafanikisha... Mafia CCM watamshughulikia akienda kinyume na maagizo yao!...
 
Leo ww umeumia yy alipotukanwa slaa Ali like jf . jamani na zitto nae mtu muacheni atulie maana slaa anavuna alichopanda wamtetee vp ameupanda ukanda katika chama, akaupalilia mbona mnaogopa mavuno yake acha ayaone
 
Akianzisha chama chake sasa ccm watamtumiajee laxima akomae huko ili alipe madeni na fdhira kwa mabosi wake n wakwe zake
 
Je akiutaka uenyekiti wa ccm, ataendelea kuonekana msafi kama Nchemba alivyofanya kwa Mkumbo?
 

Mkuu swala la ukimbizi wa Zitto CCM walisema wanao ushahidi kuwa jamaa alishukia kibirizi akiwa anatokea Burundi.
 

Msigwa ni mpuuzi mimi siwezi kumsikiliza,

Niambie wewe ni usaliti gani alioufanya Mh Zitto bila kumung'unya maneno na usiniletee habari za mkakati wa mabadiliko kwasababu huko mlishashindwa

Wewe kama unahama hama hakuna anayekuzuia,mimi hata Zitto akifukuzwa sitoki na sio kwamba ndo nitakuwa nimekubaliana na maamuzi hayo ya kiimla!,la hasha!,ila nitapambana mpaka mbowe aachie hicho kiti na lema min kabaang awajibishwe kwa kuwa mropokaji
 
Leo Zitto amekuwa Mrundi kweli nyie watu hamna fadhila!smh
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…