Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
Jana kulizuka sintofahamu kutokana na Clip iliyomuonyesha afisa wa uwanja wa ndege mwanza kuwazuia Diamond na crew yake kuingia uwanjani hapo kwa madai kuwa wamechelewa na tiketi zao kuuzwa,clip hiyo ilirekodiwa na Mond mwenyewe huku sauti yake ikiskika kutoa maneno yaliyochukuliwa kama.ni tuhuma kwa ATCL,kufuatia sakata hilo wadau walitoa maoni yao huku baadhi wakisema Mond yuko sahihi huku wengine wakisema kakosea....huu hapa ufafanuzi rasmi wa Msanii huyo