Ufafanuzi wa kina juu ya uwepo wa Abdul Hafidhi katika msafara na ziara ya Rais Samia na nafasi yake


Utandawazi na uyuda,

Now kila mtu anaweza kutolea ufafanuzi wa Rais na familia ya Rais

Ndio maana now days kila mtu anaona anaweza kuwa Rais wa inchi
 
Tunawaza mafuta na world cup sasa hivi
 
Your browser is not able to display this video.

Upumbavu mtupu, unaleta jangwa tu na kujaza server.
 
Ni katika muktadha huo Tumekuwa sote tukiona Viongozi kama Donald Trump akiambatana na watoto wake hadi wakwe
Kushner mkwe wa Trump alitangazwa rasmi kuwa special envoy wa Trump kwenye masuala ya Amani na alianza kazi February 2026. Awamu ya kwanza ya Trump alikuwa mshauri wa Rais Trump.
Najaribu kuweka kumbukumbu sawa
Kama ulivyosema, sioni tatizo kuambatana na watoto, jamaa wake wa Karibu ikiwa kuambatana nao hakuathiri majukumu yake.
 
Unapata faida gani katika udhalilishaji huu unaojifanyia Luca?

Unapata faida gani watu wakikuzomea?

Faida gani unapata watu wakijua huna akili Luca?

Sikufahamu ila najisikia aibu mkuu.
 
 

Mimi sitafuti Uteuzi
Pumbavu sana wewe.
 
Pumbavu sana wewe.
Tujikite kwenye mambo ya msingi. Hili la kumjadilia mtoto wa Rasi jambo jepesi sana, na uzuri au ubaya hatuna cha kunadilisha tayari yupo Russia na mwanae
 
Unapata faida gani katika udhalilishaji huu unaojifanyia Luca?

Unapata faida gani watu wakikuzomea?

Faida gani unapata watu wakijua huna akili Luca?

Sikufahamu ila najisikia aibu mkuu.
Hoja Hupingwa kwa hoja na siyo Viroja
 
Hii nchi kila mtu analazimisha kua mwinjaku,babalevo au dotto magari.
Mawazo yako yakitekwa na uchawa na imani ya kupewa bahasha unakua kituko na mtumwa wa fikra
Hii nchi ina tatizo kubwa sana la uongozi na ndomana mpaka sasa bado tupo kwenye mkwamo..
Samia tunamuonea tu kwasababu yeye mwenyewe hajijui kama anashida na hajui kama jahazi limeshatoboka kwsabbu ya lundo la machawa wanaomzunguka na wachumia tupo
Akili yake imejazwa zile 98% za mchongo/magumashi/offside/damu/za wahuni/
Samia ni takatak zaidi ya toilet paper
 
Ubadhilifu, ufisadi na uuzaji holela wa masiliasili za nchi unaofanywa na Samia hawezi kutumia pesa zake za mfukoni sehemu zilizo na loopholes kama huo msafara.
Samia na mwanae naturally ni mijizi, mifisadi na mibadhilifu ndiyo maana dogo anabebwa kwa gharama za walipa kodi.
 
Haya mambo siyo rahisi kwa mwenye tafakuri.
Tundu Lissu aliwahi kusema kuwa dalali Wenje alimleta kwake akitaka kumpa pesa kabla ya uchaguzi was CHADEMA, alipata wapina kwa maslahi ya nani?

Tushaona mihamala ya kifedha mkubwa akifanya pamoja na kumiliki magari ya kifahari. Kwa biashara gani au kazi ipi anayofanya kumtetea kipato kikubwa?

Mtuhumiwa mkuu wa kikundi cha utekaji ambacho hadi leo serikali imeshindwa kuwakamata na kutoa maelezo ya kina.

Pale kwenye delegation anatambulishwa kama nani na protocol inakubali? Hivi ni Samia tu ndio kiongozi mwenye watoto duniani ?

Last but not least. Tumechoshwa na nepotism mtoto waziri, mwingine mbunge, mkwe waziri, Shemeji waziri, mshenga waziri, mtoto kwenye misafara ya rais this is too much machawa mtatupasuaaaa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…