Ufafanuzi wa kina juu ya uwepo wa Abdul Hafidhi katika msafara na ziara ya Rais Samia na nafasi yake

Wanajipanga vizuri kwa upande wa Putin ili wawe na pa kukimbilia they know the day of reckoning is coming soon
Unaweza kuwa imetoa hoja muhimu na kubwa kuliko zote, huyu mama anatafuta pa kukimbia maana her future is .........
 
 

Attachments

  • IMG_5519.png
    2.4 MB · Views: 18
Oktoba 29, mama likuwa paoja na nwanawe?
Tujue tu.
 
Wewe ni nani nchi hii katiba imekupa cheo gani ili utuoe ufafanuzi huu? Yaani wewe unatoa kauli hii kama nani?
 
Kama tunashindwa kushughulika na jambo zito kama la 29 October na wizi unaondelea hili la mtoto wa Rais ni kupoteza mda
 
Uwezo wako wa kufikoria huwa ni mdogo mnoo Hadi unatia huruma wewe.
Huyu ni raisi wa ngapi wa Tanzania?
Hao wengine hawakuwa na watoto?
Ulishaona waliandamana nao poppte?
Kwani Kuna Sheria inayo mkataza raisi kula ndizi kariakoo?.ulishawahi ona akila hadharani?
Imeandikwa kwenye Sheria Gani kwamba raisi haruhusiwi kulala na mwenza wake Hadi asubuhi? Mbona Wanafanya wakisimamiwa na Kila mtu analala kivyake huko
 
Nitajie kifungu cha sheria kilichovunjwa kutoka ndani ya katiba yetu . Sitaki porojo nataka kifungu kilichovunjwa
 
Wewe ni nani nchi hii katiba imekupa cheo gani ili utuoe ufafanuzi huu? Yaani wewe unatoa kauli hii kama nani?
Natoa kauli na ufafanuzi kama Lucas Hebel Mwashambwa.

Kama una swali lolote unaweza kuuliza tena
 
kumbe umu tuna watu vilaza sana eeh?
kwahiyo wao watanzania na wakenya uliowataja nao walikuwa wanaambatana na wazazi wao kwenye ziara za kiserikali?
pia kupenda au kurithi kazi anayoifanya mzazi ni lazima uambatane nae?

hii nchi mama samaia sio kwamba ndio rais wa kwanza
wapo marais waliopita kabla yake
👉 Nyerere
👉 Mwinyi
👉 Mkapa
👉 Kikwete
👉 Magufuli

Yupi kati ya hao marais ambaye alikuwa anatembea na watoto wake kwenye ziara za kitaifa ebu tuambie

wakati mwingine tusiwe tuna mjaza rais ujinga halafu nyuma ya pazia unakuja kumponda

inatakiwa kama anafanyak kosa akosolewe ili ajue kwamba anachofanya ni kosa
ina maana yeye ndio anampenda sana mwanae na hao marais wote waliopita hawawapendi watoto zao?
anaambatana na abdul yeye ni kama nani serikalini au ndio makamu wake

hayo ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi

nchi inapitia kipindi kigumu sana sasa hv sasa yeye baada arejeshe matumaini kwa wananchi ndio kwanza anazid kuyatimba

mroto unamtuma anaenda kukuwakilisha mpaka kwenye ziara za kimataifa wakati una makamu, unawaziri mkuu na viongozi mbalimbali wa kitaifa

sasa kama unaona hawafai uliwateua wa nn?

hii nchi sio ya kikundi cha watu fln ifahamike kwamba hii ni ya watanzania wote

nilichogundua mimi wakati mwingine mama mwenyewe anapenda sana watu wakae mitandaoni na kumsema
 
Wapi kodi ya serikali imetumika? Wapi katiba ya Nchi yetu Imevunjwa? Kuna kosa lipi Mtoto wa RAIS kuambatana Na Mzazi wake ?
 
Utandawazi na uyuda,

Now kila mtu anaweza kutolea ufafanuzi wa Rais na familia ya Rais

Ndio maana now days kila mtu anaona anaweza kuwa Rais wa inchi
Siyo kila mtu anaweza kuwa RAIS
 
Chawa wewe, unatoa ufafanuzi kama nani fala wewe.Mtuambie ile miili ya watoto wetu imezikwa wapi? Tupeni miili ya watoto wetu wa Tanganyika. Shenzi nyie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…