PostGE2025 Ufafanuzi wa Serikali Kuhusu Kura ya Kamati za Bunge la Ulaya (EU) Dhidi ya Tanzania

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kusema uhusiano kati ya Tanzania na EU unaendelea kuimarika, wakati yale mapendekezo ya umoja wa nchi 19 za EU kwa serikali ya Tanzania, ikiwemo kuwaachia wafungwa wa kisiasa na kuunda tume huru ya kuchunguza mauaji ya Okt. 29 bado hayajafanyiwa kazi, ni uongo mkubwa.
 
Ufafanuzi wa Serikali (Mambo 3 ya Kuzingatia)​

Makumbele acha uchawa!

Kitu kimetoka Ulaya moja kwa moja hatuwezi kupewa UFAFANUZI WA SERIKALI

Hata serikali yenyewe haijasema huu ni ufafanuzi. Imesema ni TAARIFA.

Juma hawezi kutoa UFAFANUZI kwenye hadithi ya Hamisi.

Sio kila kinachosemwa na serikali ni UFAFANUZI.
.
Tusitumie lugha wanazotumia CCM na serikali kupumbaza Wananchi, hata pale ambapo serikali yenyewe haijatumia lugha hiyo.
 
Wakuu,

Tumekuwa na mijadala na taarifa mbalimbali hapa JF na mitandao mingine kuhusu hatima ya ushirikiano kati ya Tanzania na Umoja wa Ulaya (EU). Ili kuweka mambo sawa, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imetoa ufafanuzi rasmi kama inavyoonekana hapa:

View attachment 3600799

Kwa wanaopata changamoto ya kuisoma taarifa hiyo kwa kina, nimekuleteeni muhtasari wa mambo ya msingi yaliyofafanuliwa na Serikali:

1. Nini Hasa Kilitokea?​

  • Kamati ya Mambo ya Nje na Kamati ya Maendeleo za Bunge la Ulaya zimefanya kikao na kupiga kura kuhusu mapendekezo yanayohusiana na Mpango wa Ushirikiano wa Maendeleo wa mwaka 2025 kati ya Tanzania na EU.
  • Katika kura hiyo ngazi ya kamati, mapendekezo yalipitishwa kwa kura 81 za kuunga mkono, kura 1 ya kupinga, na kura 4 za kutokuwa na msimamo.

2. Ufafanuzi wa Serikali (Mambo 3 ya Kuzingatia)​

Ili kuepuka 'taharuki', Wizara imefafanua kuwa haya sio maamuzi ya mwisho, na mchakato uko hivi:
  • Ni Hatua ya Awali: Kura hii imepigwa na Kamati mbili tu na ni sehemu ya taratibu za ndani za Bunge la Ulaya za kufanya maamuzi.
  • Mchakato Bado Haujakamilika: Mapendekezo haya lazima yapelekwe kwenye Kikao cha Bunge zima la Ulaya (lenye Wabunge zaidi ya 700) kwa ajili ya mjadala na uamuzi wa mwisho. Hivyo, kura ya kamati haiwakilishi msimamo wa mwisho wa Bunge zima la EU.
  • Mamlaka ya Kiutendaji yako kwa 'Tume ya Ulaya': Kama ilivyo kwenye mifumo mingi ya kibunge, maazimio ya Bunge hupelekwa kwenye chombo cha utendaji. Kwa upande wa EU, uhusiano na nchi washirika huendeshwa na Tume ya Ulaya (European Commission). Hivyo, mapendekezo hayo hayapaswi kutafsiriwa kuwa ndiyo uamuzi wa moja kwa moja unaobainisha mustakabali wa mahusiano.

3. Hali ya Mahusiano ya Tanzania na EU kwa Sasa​

  • Serikali inatoa hakikisho kuwa uhusiano kati ya Tanzania na Umoja wa Ulaya unaendelea kuwa imara na unazidi kustawi.
  • Ushirikiano huu umejengwa kwa muda mrefu kupitia mazungumzo na kuheshimiana, na Serikali ina dhamira ya dhati ya kuendelea kuimarisha ushirikiano huu kwa faida ya wananchi wa pande zote mbili.
Diplomasia ina michakato yake mirefu na kila taasisi (kama Bunge la Ulaya) ina uhuru wa kujadili na kutoa mapendekezo, lakini haimaanishi ndio mwisho wa ushirikiano. Suala hili bado lipo kwenye ngazi za taratibu za kawaida.

Nini maoni yako kuhusiana na tamko hili la Serikali ya Tanzania?
Utter garbage and hooey
 
03 June 2026

TOP STORY OF THE DAY (TONIGHT NEWS)

Tanzania's Hassan Turns To Russia's Putin Amid Western Backlash | Firstpost Africa | N18G

View: https://m.youtube.com/watch?v=HrmU6CI3dGk
Tanzanian President Samia Suluhu Hassan has commenced a critical three-day state visit to Russia to meet with President Vladimir Putin, marking the first such visit by a Tanzanian leader in nearly 60 years.

The high-stakes trip comes at a time when Tanzania's relations with the West have frayed over severe human rights concerns, including allegations of deadly electoral violence, political abductions, and crackdowns on activist groups.

Unapologetic about the crackdown, President Hassan is looking to secure vital economic lifelines. Accompanied by a large business delegation, her agenda focuses on expanding bilateral trade, tourism, and mineral partnerships.

As Washington reviews its ties with Dodoma, Moscow continues to rapidly expand its strategic footprint in East Africa
Source: FirstPost

Hakuna ubongo mle!
 
Wakuu,

Tumekuwa na mijadala na taarifa mbalimbali hapa JF na mitandao mingine kuhusu hatima ya ushirikiano kati ya Tanzania na Umoja wa Ulaya (EU). Ili kuweka mambo sawa, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imetoa ufafanuzi rasmi kama inavyoonekana hapa:

View attachment 3600799

Kwa wanaopata changamoto ya kuisoma taarifa hiyo kwa kina, nimekuleteeni muhtasari wa mambo ya msingi yaliyofafanuliwa na Serikali:

1. Nini Hasa Kilitokea?​

  • Kamati ya Mambo ya Nje na Kamati ya Maendeleo za Bunge la Ulaya zimefanya kikao na kupiga kura kuhusu mapendekezo yanayohusiana na Mpango wa Ushirikiano wa Maendeleo wa mwaka 2025 kati ya Tanzania na EU.
  • Katika kura hiyo ngazi ya kamati, mapendekezo yalipitishwa kwa kura 81 za kuunga mkono, kura 1 ya kupinga, na kura 4 za kutokuwa na msimamo.

2. Ufafanuzi wa Serikali (Mambo 3 ya Kuzingatia)​

Ili kuepuka 'taharuki', Wizara imefafanua kuwa haya sio maamuzi ya mwisho, na mchakato uko hivi:
  • Ni Hatua ya Awali: Kura hii imepigwa na Kamati mbili tu na ni sehemu ya taratibu za ndani za Bunge la Ulaya za kufanya maamuzi.
  • Mchakato Bado Haujakamilika: Mapendekezo haya lazima yapelekwe kwenye Kikao cha Bunge zima la Ulaya (lenye Wabunge zaidi ya 700) kwa ajili ya mjadala na uamuzi wa mwisho. Hivyo, kura ya kamati haiwakilishi msimamo wa mwisho wa Bunge zima la EU.
  • Mamlaka ya Kiutendaji yako kwa 'Tume ya Ulaya': Kama ilivyo kwenye mifumo mingi ya kibunge, maazimio ya Bunge hupelekwa kwenye chombo cha utendaji. Kwa upande wa EU, uhusiano na nchi washirika huendeshwa na Tume ya Ulaya (European Commission). Hivyo, mapendekezo hayo hayapaswi kutafsiriwa kuwa ndiyo uamuzi wa moja kwa moja unaobainisha mustakabali wa mahusiano.

3. Hali ya Mahusiano ya Tanzania na EU kwa Sasa​

  • Serikali inatoa hakikisho kuwa uhusiano kati ya Tanzania na Umoja wa Ulaya unaendelea kuwa imara na unazidi kustawi.
  • Ushirikiano huu umejengwa kwa muda mrefu kupitia mazungumzo na kuheshimiana, na Serikali ina dhamira ya dhati ya kuendelea kuimarisha ushirikiano huu kwa faida ya wananchi wa pande zote mbili.
Diplomasia ina michakato yake mirefu na kila taasisi (kama Bunge la Ulaya) ina uhuru wa kujadili na kutoa mapendekezo, lakini haimaanishi ndio mwisho wa ushirikiano. Suala hili bado lipo kwenye ngazi za taratibu za kawaida.

Nini maoni yako kuhusiana na tamko hili la Serikali ya Tanzania?
 
Yani huyu mama anenda kutuponza wote kama taifa Yani kweli unaenda kujibebisha Kwa mrusi dhidi ya USA na EU?
Ukiwa , na ukiwa (mkiwa-Home Alone flani hivi) chochote kilicho Mbele yako kitafaa kutoa baridi
 
Ila hatujaomba ufafanuzi popote pale wala kwa mtu yoyote yule, tumesoma na tumeelewa.
 
Soverenite imelegea?
 
Yani huyu mama anenda kutuponza wote kama taifa Yani kweli unaenda kujibebisha Kwa mrusi dhidi ya USA na EU?
Kwani Urusi naye si mwanachama wa EU?

Inawezekana hata yule mbunge mmoja aliyepiga kura ya kukataa Tanzania isikatiwe msaada wa kimaendeleo toka EU akawa ni WA kutoka Urusi😀
 
Muda si mrefu ulio pita, Bunge la Ulaya limeaachia kisago kikali kwa kuondoa misaada kwa nchi ya Tanzania kwa mwaka 2026/27 kwa miradi yote.
Bunge limepiga kura na wabunge 81 wakikubali kuweka vikwazo, mmoja kukataa na wanne kujitoa kwenye kura hizo.
Hivyo misaada hiyooo imeyoyoma.
Sababu nyuma yake: madudu ya Oktoba 29.

Watanzania dudu linalo tuyumbisha tulirekebishe.
 
Wakuu,

Tumekuwa na mijadala na taarifa mbalimbali hapa JF na mitandao mingine kuhusu hatima ya ushirikiano kati ya Tanzania na Umoja wa Ulaya (EU). Ili kuweka mambo sawa, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imetoa ufafanuzi rasmi kama inavyoonekana hapa:

View attachment 3600799

Kwa wanaopata changamoto ya kuisoma taarifa hiyo kwa kina, nimekuleteeni muhtasari wa mambo ya msingi yaliyofafanuliwa na Serikali:

1. Nini Hasa Kilitokea?​

  • Kamati ya Mambo ya Nje na Kamati ya Maendeleo za Bunge la Ulaya zimefanya kikao na kupiga kura kuhusu mapendekezo yanayohusiana na Mpango wa Ushirikiano wa Maendeleo wa mwaka 2025 kati ya Tanzania na EU.
  • Katika kura hiyo ngazi ya kamati, mapendekezo yalipitishwa kwa kura 81 za kuunga mkono, kura 1 ya kupinga, na kura 4 za kutokuwa na msimamo.

2. Ufafanuzi wa Serikali (Mambo 3 ya Kuzingatia)​

Ili kuepuka 'taharuki', Wizara imefafanua kuwa haya sio maamuzi ya mwisho, na mchakato uko hivi:
  • Ni Hatua ya Awali: Kura hii imepigwa na Kamati mbili tu na ni sehemu ya taratibu za ndani za Bunge la Ulaya za kufanya maamuzi.
  • Mchakato Bado Haujakamilika: Mapendekezo haya lazima yapelekwe kwenye Kikao cha Bunge zima la Ulaya (lenye Wabunge zaidi ya 700) kwa ajili ya mjadala na uamuzi wa mwisho. Hivyo, kura ya kamati haiwakilishi msimamo wa mwisho wa Bunge zima la EU.
  • Mamlaka ya Kiutendaji yako kwa 'Tume ya Ulaya': Kama ilivyo kwenye mifumo mingi ya kibunge, maazimio ya Bunge hupelekwa kwenye chombo cha utendaji. Kwa upande wa EU, uhusiano na nchi washirika huendeshwa na Tume ya Ulaya (European Commission). Hivyo, mapendekezo hayo hayapaswi kutafsiriwa kuwa ndiyo uamuzi wa moja kwa moja unaobainisha mustakabali wa mahusiano.

3. Hali ya Mahusiano ya Tanzania na EU kwa Sasa​

  • Serikali inatoa hakikisho kuwa uhusiano kati ya Tanzania na Umoja wa Ulaya unaendelea kuwa imara na unazidi kustawi.
  • Ushirikiano huu umejengwa kwa muda mrefu kupitia mazungumzo na kuheshimiana, na Serikali ina dhamira ya dhati ya kuendelea kuimarisha ushirikiano huu kwa faida ya wananchi wa pande zote mbili.
Diplomasia ina michakato yake mirefu na kila taasisi (kama Bunge la Ulaya) ina uhuru wa kujadili na kutoa mapendekezo, lakini haimaanishi ndio mwisho wa ushirikiano. Suala hili bado lipo kwenye ngazi za taratibu za kawaida.

Nini maoni yako kuhusiana na tamko hili la Serikali ya Tanzania?
Ile WHO ARE YOU imeisha wapi?
 
Back
Top Bottom