PostGE2025 Ufafanuzi wa Serikali Kuhusu Kura ya Kamati za Bunge la Ulaya (EU) Dhidi ya Tanzania

PostGE2025 Ufafanuzi wa Serikali Kuhusu Kura ya Kamati za Bunge la Ulaya (EU) Dhidi ya Tanzania

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Vikwazo vya EU, USA pia mabenki, wawekezaji, mifuko ya kimataifa ya fedha kuikwepa Tanzania, ikiwemo pia wafanyabiashara wa kimataifa kukosa imani ya mazingira ya uhakika ya kibiashara, usalama na mahakama huru

Utawala wa Samia katika hali hiyo bado inadhani wafanyabiashara watamiminika kama anayotamani katika hotuba yake akiyotoa ktk mkutano wa the St. Petersburg International Economic Forum (SPIEF) 2026 kuwa wawekezaji wamiminike Tanzania !



05 June 2026
St. Petersburg
Russia

Tanzania's President Unveils Ambitious Energy, Mining and Infrastructure Plans at SPIEF 2026 | AC1G

View: https://m.youtube.com/watch?v=QfdyBGNBxkY

Tanzanian President Samia Suluhu Hassan used her address at the St. Petersburg International Economic Forum (SPIEF) 2026 to position Tanzania as one of Africa's fastest-growing economies and a future hub for trade, energy, mining, tourism, and digital infrastructure.

Highlighting more than six decades of relations with Russia, Hassan invited international investors to participate in major projects including the Bagamoyo Special Economic Zone, new ports, mining beneficiation, fertilizer production, nuclear energy, and tourism.

She argued that Africa's rapidly growing population and middle class will make the continent one of the world's most important economic centers by 2050 and declared that "Tanzania is open for business.
 
Bongo Zozo atinga Brussels Bunge la ulaya kupata ufafanuzi wa maswali mengi ya hatua ya Bunge la Ulaya hususan kwa nchi ya Tanzania.

Waandishi kina Pascal Mayalla, Millard Ayo, Wasafi, Global n.k mnatakiwa pia kwenda kimataifa kuwahoji mabeberu, wawekezaji, wasanii, wanasiasa, wakulima, wafanyabiashara n.k kwa KiEnglish

Ili kuweza kuondoa ombwe kimataifa la habari za kiTanzania kufikia umma mpana wa kimataifa kama waandishi, bloggers n.k wa nchi jirani ya Kenya wanavyofanya kwa lugha zote mbili rasmi kiSwahili na KiEnglish.


View:
 
Bongo Zozo amuuliza kigogo wa Bunge la Ulaya swali gumu la 'kizalendo' kuhusu Bunge la Ulaya kuingilia masuala ya nchi nyingine

David McAllister ambae ni Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje wa Bunge la Ulaya European Parliament akitoa ufafanuzi katika mahojiano exclusive :

View:
 
Back
Top Bottom