Pichukodada
JF-Expert Member
- Oct 14, 2020
- 480
- 348
Hata ukisoma Ulaya vipi! Bongo watakuamini vepe!!! ….. ukirudi Ardhi ya bongo tu, kabla ya kukupa usajili na baadaye kazi wanakuchapa internships za kufa mtu!!…..paleee MNH!! ……. Ukitaka…. ukae huko huko!Ndio elimu ya Nyerere hulaumiki
Mapori ya shamba yooote haya?? hata Ramani ya nchi yako hujui??…..mengine wanakaa nyumbu tu!! chagua pori ...wapi unataka, upewe buree na nyongeza juu kuanzia kibaha! mpaka moro…. ufyekeeee! mpaka ulie kifukuto!Utarudisha leo toka 1970? Haya sema nikuone wapi Na jina lako ndilo hili Jidu la Mabambasi?
Hata ukisoma Ulaya vipi! Bongo watakuamini vepe!!! ….. ukirudi Ardhi ya bongo tu, kabla ya kukupa usajili na baadaye kazi wanakuchapa internships za kufa mtu!!…..paleee MNH!! ……. Ukitaka…. ukae huko huko!
hata wanao toka hapo kwenu Bongo wakija huku ni ivoivo tu!...usijidanganye eti uko salama! kwanza una kila dalili huja soma! km hujui haya
Mapori ya shamba yooote haya?? hata Ramani ya nchi yako hujui??…..mengine wanakaa nyumbu tu!! chagua pori ...wapi unataka, upewe buree na nyongeza juu kuanzia kibaha! mpaka moro…. ufyekeeee! mpaka ulie kifukuto!
Loool! Lugha ya Mkoloni inipige chenga! ili iweje?? ndo tatizo la kukariri any way! ...….ndo umeona deal pole sana……. ndiyo mchonga alizitaifisha ili sisi weusi tusome! tatizo liko wapi?? hakufanya kosa! na kweli tulisoma!Naona lugha imekupiga chenga hujaelewa kilichoandikwa, walioondoka ni Wasmaili wake siyo yeye Agha Khan. Kumbuka pia Agha Khan alikuwa na shule nyingi tu ambazo Nyerere alizitaifisha. Mfano ni Lugalo Secondary School
Former Aga Khan Primary and Secondary Schools, Iringa, Tanzania, now Lugalo Secondary School
Lugalo Secondary school is a government secondary school located within Iringa municipality about one kilometer from Iringa bus station along Dodoma road. It started in 1945 with 200 students and 1…ismailimail.blog
Ntutemeke sanga alikuwa kichaa si unaona hata mkewe alimkimbia!...usituletee habari za vichaa km wewe!Wasomi Nyerere akiwaogopa wengine kutoka Zanzibar aliwapeleka kuuawa.
Wengine akina Tuntemeke Sanga aliwapa house arrest.
Ntutemeke sanga alikuwa kichaa si unaona hata mkewe alimkimbia!...usituletee habari za vichaa km wewe!
Ardhi yoote Bongo ni Mali ya RAIS? Umesomea wapi kwani?...…...yeye ndo alikuwa anagawa?? usidhanie utakwenda pori lolote ujikalie tu ! ndo maana ulitaifishwa kizembe Lool! kuumbe hujui mapori yana thamani??Hayo mapori yalimshinda Baba yenu Nyerere kuyataifisha , kipi kilimfanya kutaifisha mashamba ya watu Na mapori yapo
Acha uboya.. chambua hoja iliyoletwa badala ya kumchambua mtu.. shida ya madogo wengi wa Tz akili zao ndogo kama pakaNa sijui kama Lissu alikuwa amezaliwa 1961.
Na hao wasomi '61 na wapiga kura kidemokrasia 1961-1971 sijui kama huko Ikungi walikuwepo.
Ni wajinga tu hawajui kuwa kina Lissu wamesoma baada ya shule nyingi za Mission kutaifishwa na hata shule za sekondari kusoma bure.
Leo mtu anatukana mamba baada ya kuvuka mto.
Lissu angekuwa ana lima vitunguu Singida leo.
Uko sahihi kabisa!! ndiyo tabia hasa za vichaa! hujakosea!....wao wanaona wazima walioko UNO/AU/MIPESA/Maongozi/ umiliki, eti ndo vichaa Zaidi yao. halafu wana chekaaa! wanafurahi kweli!Kichaa alikuwa Nyerere, bangi ilimtibua akili
Usijiteteee bana!! wewe chagua pori lolote faster, acha uzembe, tuna kazi nyingi zakufanya!! unalia lia nini!! kazi ardhini zipo za kufa mtu! zinawasubiri watendaji!!Kichaa alikuwa Nyerere, bangi ilimtibua akili
Mie nina uhakika kiwango chako ni chako cha elim ni hafifu sana. Unaposema Nyerere alikukomboa, ni katika lipi kwa mfano?Hata kama alikuwa Dikteta aliwakomboa waafrica wengi kusini mwa Africa! na Africa! kuliko Baba yako Mobutu mla Bata!....hata hivo Lisu anajeuri leo sababu alisoma bure!! msingi mpaka chuo kikuu! anyamaze tu!
Hao wakoloni walio mtuma anaishi nao kwao mbona walituchapa viboko/wakatuuza kama mbuzi wa kafara/ wanatupiga pin madini yetu na ukoloni Mambo leo lkn mbona hana jeuri ya kuwasema? Na hamsemi.
Miafrica inatafuta kick kwa kusemana yenyewe kwa yenyewe ili yapate safari tu ya kwenda Ulaya na kuishi!
Basi Bangi ile ya Nyerere ni nzuri sana!! ... jiwe team nendeni mkageme Bangi la wazanaki muwe na u maarufu/akili mingi/ Mali/ u-hand some km yeye mchonga!..Musoma watauza sana...Nyerere, bangi ilimtibua akili
Loool! Lugha ya Mkoloni inipige chenga! ili iweje?? ndo tatizo la kukariri any way! ...….ndo umeona deal pole sana……. ndiyo mchonga alizitaifisha ili sisi weusi tusome! tatizo liko wapi?? hakufanya kosa! na kweli tulisoma!
Magabachori walifaidi kipindi cha Mkoloni wamfuate huko!!……. aliko kimbilia huyooo mkoloni wao!! Mali walizo zipata hapa ni za hapa Bongo kwa faida ya hapa! kwa hiyo Nyerere akili kubwa alichukua kilicho chake!
Hajamuibia mtu!! km hao Magabachori wako wanataka kusoma si waende India!! mie nachelea kusema nadhani umekopi tu kajigazeti kazamani ka mitaani, hata maana yake halisi huijui!
Hata kama Baba yako anafanya kazi kwa wahindi lkn siyo watu wazuri kiviiile!! Nyerere alikuwa sahihi!! nashangaa weye Mbantu wa aina gani
Maweee!! unafikiri!!! Mabarabara yoote haya, tena ya lami, Mighorofa yoote hii, Migari mipajero mama wee, maji, safari km zote Duniani huko Duniani, majiviwanda, wewe sema tu Mungu kakupiga kofi, na huchomoki!Mie nina uhakika kiwango chako ni chako cha elim ni hafifu sana. Unaposema Nyerere alikukomboa, ni katika lipi kwa mfano?
Basi Bangi ile ya Nyerere ni nzuri sana!! ... jiwe team nendeni mkageme Bangi la wazanaki muwe na u maarufu/akili mingi/ Mali/ u-hand some km yeye mchonga!..Musoma watauza sana...
Lkn Sasa Bangi la tuntemeke Sanga maweee!!!! ukavune nini pale? /yeye Bangi lake badala ya kwenda kusoma alivuta Bangi la chooni! , yaani siku anarudi majibu aliyo mjibu Nyerere hata mtoto waleo atajua Sanga Bangi tupu!
Mchonga alimsadia mno yule jamaa yenu!!..mpaka alipo acha Bangi……….. km hutajali hebu wajulishe kidogo wana JF jinsi alivyo mjibu Nyerere...……… wao JF waamue nani alikuwa mvuta Bangi!...….na kiasi gani!
km ukilishindwa hili unaona aibu… JF majibu wanayo………. bado una kumbukumbu ya huyu? yaani lile jamaa nachekaga mpaka leo!... bora umenikumbusha…..ngoja nicheke kwanza ntakuja kuendelea ……...
Lissu Ni boya sana kwa mkewe. Hata kubaki Ulaya ni pressure ya mke
Are'U really aware of what you've just jotted down here??... .. unless other wise, you're just playin' endless childish game, ooh! yes! just to twist ma mind! en! waste of ma nice moments! ……Kama unajua lugha soma kuhusu kesi zilizofunguliwa na weusi wenzako walioporwa ardhi zao na Nyerere
Dispossession and Land Tenure in Tanzania: What Hope from the Courts?
Land tenure is essentially defined and regulated by the Land Ordinance of 1923 (Revised Laws of Tanzania), but since then, the entire body of land in Tanzania has been declared `public lands.' Rights over the land are under the control and direction of the President of the United Republic and...www.culturalsurvival.org
Laanatullahi ni ninyi mliokubali kunyang'anywa kama mikia ya kondoo.Kutaifisha mbali Na unyang'anyi kitu chengine. Na yote aliyafanya Laanatullahi Nyerere Na Hao walifuatia
Paka ni ninyi msioijua Tanzania,kunyanyua mikia juu kuacha kundule wazi.Acha uboya.. chambua hoja iliyoletwa badala ya kumchambua mtu.. shida ya madogo wengi wa Tz akili zao ndogo kama paka