Ufafanuzi wa Tundu Lissu juu ya Mamlaka makubwa ya Kikatiba aliyonayo Rais wa Tanzania yalitoka wapi. Nyerere hakuwa kama tunavyohubiriwa!

Ufafanuzi wa Tundu Lissu juu ya Mamlaka makubwa ya Kikatiba aliyonayo Rais wa Tanzania yalitoka wapi. Nyerere hakuwa kama tunavyohubiriwa!

Ndio elimu ya Nyerere hulaumiki
Hata ukisoma Ulaya vipi! Bongo watakuamini vepe!!! ….. ukirudi Ardhi ya bongo tu, kabla ya kukupa usajili na baadaye kazi wanakuchapa internships za kufa mtu!!…..paleee MNH!! ……. Ukitaka…. ukae huko huko!

hata wanao toka hapo kwenu Bongo wakija huku ni ivoivo tu!...usijidanganye eti uko salama! kwanza una kila dalili huja soma! km hujui haya
 
Utarudisha leo toka 1970? Haya sema nikuone wapi Na jina lako ndilo hili Jidu la Mabambasi?
Mapori ya shamba yooote haya?? hata Ramani ya nchi yako hujui??…..mengine wanakaa nyumbu tu!! chagua pori ...wapi unataka, upewe buree na nyongeza juu kuanzia kibaha! mpaka moro…. ufyekeeee! mpaka ulie kifukuto!
 
Hata ukisoma Ulaya vipi! Bongo watakuamini vepe!!! ….. ukirudi Ardhi ya bongo tu, kabla ya kukupa usajili na baadaye kazi wanakuchapa internships za kufa mtu!!…..paleee MNH!! ……. Ukitaka…. ukae huko huko!

hata wanao toka hapo kwenu Bongo wakija huku ni ivoivo tu!...usijidanganye eti uko salama! kwanza una kila dalili huja soma! km hujui haya

Wasomi Nyerere akiwaogopa wengine kutoka Zanzibar aliwapeleka kuuawa.
Wengine akina Tuntemeke Sanga aliwapa house arrest.
 
Mapori ya shamba yooote haya?? hata Ramani ya nchi yako hujui??…..mengine wanakaa nyumbu tu!! chagua pori ...wapi unataka, upewe buree na nyongeza juu kuanzia kibaha! mpaka moro…. ufyekeeee! mpaka ulie kifukuto!

Hayo mapori yalimshinda Baba yenu Nyerere kuyataifisha , kipi kilimfanya kutaifisha mashamba ya watu Na mapori yapo
 
Naona lugha imekupiga chenga hujaelewa kilichoandikwa, walioondoka ni Wasmaili wake siyo yeye Agha Khan. Kumbuka pia Agha Khan alikuwa na shule nyingi tu ambazo Nyerere alizitaifisha. Mfano ni Lugalo Secondary School

Loool! Lugha ya Mkoloni inipige chenga! ili iweje?? ndo tatizo la kukariri any way! ...….ndo umeona deal pole sana……. ndiyo mchonga alizitaifisha ili sisi weusi tusome! tatizo liko wapi?? hakufanya kosa! na kweli tulisoma!

Magabachori walifaidi kipindi cha Mkoloni wamfuate huko!!……. aliko kimbilia huyooo mkoloni wao!! Mali walizo zipata hapa ni za hapa Bongo kwa faida ya hapa! kwa hiyo Nyerere akili kubwa alichukua kilicho chake!

Hajamuibia mtu!! km hao Magabachori wako wanataka kusoma si waende India!! mie nachelea kusema nadhani umekopi tu kajigazeti kazamani ka mitaani, hata maana yake halisi huijui!

Hata kama Baba yako anafanya kazi kwa wahindi lkn siyo watu wazuri kiviiile!! Nyerere alikuwa sahihi!! nashangaa weye Mbantu wa aina gani
 
Wasomi Nyerere akiwaogopa wengine kutoka Zanzibar aliwapeleka kuuawa.
Wengine akina Tuntemeke Sanga aliwapa house arrest.
Ntutemeke sanga alikuwa kichaa si unaona hata mkewe alimkimbia!...usituletee habari za vichaa km wewe!
 
Hayo mapori yalimshinda Baba yenu Nyerere kuyataifisha , kipi kilimfanya kutaifisha mashamba ya watu Na mapori yapo
Ardhi yoote Bongo ni Mali ya RAIS? Umesomea wapi kwani?...…...yeye ndo alikuwa anagawa?? usidhanie utakwenda pori lolote ujikalie tu ! ndo maana ulitaifishwa kizembe Lool! kuumbe hujui mapori yana thamani??

kitu na ulistahili kutaifishwa wewe!
 
Na sijui kama Lissu alikuwa amezaliwa 1961.

Na hao wasomi '61 na wapiga kura kidemokrasia 1961-1971 sijui kama huko Ikungi walikuwepo.
Ni wajinga tu hawajui kuwa kina Lissu wamesoma baada ya shule nyingi za Mission kutaifishwa na hata shule za sekondari kusoma bure.

Leo mtu anatukana mamba baada ya kuvuka mto.

Lissu angekuwa ana lima vitunguu Singida leo.
Acha uboya.. chambua hoja iliyoletwa badala ya kumchambua mtu.. shida ya madogo wengi wa Tz akili zao ndogo kama paka
 
Kichaa alikuwa Nyerere, bangi ilimtibua akili
Uko sahihi kabisa!! ndiyo tabia hasa za vichaa! hujakosea!....wao wanaona wazima walioko UNO/AU/MIPESA/Maongozi/ umiliki, eti ndo vichaa Zaidi yao. halafu wana chekaaa! wanafurahi kweli!
 
Hata kama alikuwa Dikteta aliwakomboa waafrica wengi kusini mwa Africa! na Africa! kuliko Baba yako Mobutu mla Bata!....hata hivo Lisu anajeuri leo sababu alisoma bure!! msingi mpaka chuo kikuu! anyamaze tu!

Hao wakoloni walio mtuma anaishi nao kwao mbona walituchapa viboko/wakatuuza kama mbuzi wa kafara/ wanatupiga pin madini yetu na ukoloni Mambo leo lkn mbona hana jeuri ya kuwasema? Na hamsemi.

Miafrica inatafuta kick kwa kusemana yenyewe kwa yenyewe ili yapate safari tu ya kwenda Ulaya na kuishi!
Mie nina uhakika kiwango chako ni chako cha elim ni hafifu sana. Unaposema Nyerere alikukomboa, ni katika lipi kwa mfano?
 
Nyerere, bangi ilimtibua akili
Basi Bangi ile ya Nyerere ni nzuri sana!! ... jiwe team nendeni mkageme Bangi la wazanaki muwe na u maarufu/akili mingi/ Mali/ u-hand some km yeye mchonga!..Musoma watauza sana...

Lkn Sasa Bangi la tuntemeke Sanga maweee!!!! ukavune nini pale? /yeye Bangi lake badala ya kwenda kusoma alivuta Bangi la chooni! , yaani siku anarudi majibu aliyo mjibu Nyerere hata mtoto waleo atajua Sanga Bangi tupu!

Mchonga alimsadia mno yule jamaa yenu!!..mpaka alipo acha Bangi……….. km hutajali hebu wajulishe kidogo wana JF jinsi alivyo mjibu Nyerere...……… wao JF waamue nani alikuwa mvuta Bangi!...….na kiasi gani!

km ukilishindwa hili unaona aibu… JF majibu wanayo………. bado una kumbukumbu ya huyu? yaani lile jamaa nachekaga mpaka leo!... bora umenikumbusha…..ngoja nicheke kwanza ntakuja kuendelea ……...
 
Loool! Lugha ya Mkoloni inipige chenga! ili iweje?? ndo tatizo la kukariri any way! ...….ndo umeona deal pole sana……. ndiyo mchonga alizitaifisha ili sisi weusi tusome! tatizo liko wapi?? hakufanya kosa! na kweli tulisoma!

Magabachori walifaidi kipindi cha Mkoloni wamfuate huko!!……. aliko kimbilia huyooo mkoloni wao!! Mali walizo zipata hapa ni za hapa Bongo kwa faida ya hapa! kwa hiyo Nyerere akili kubwa alichukua kilicho chake!

Hajamuibia mtu!! km hao Magabachori wako wanataka kusoma si waende India!! mie nachelea kusema nadhani umekopi tu kajigazeti kazamani ka mitaani, hata maana yake halisi huijui!

Hata kama Baba yako anafanya kazi kwa wahindi lkn siyo watu wazuri kiviiile!! Nyerere alikuwa sahihi!! nashangaa weye Mbantu wa aina gani

Kama unajua lugha soma kuhusu kesi zilizofunguliwa na weusi wenzako walioporwa ardhi zao na Nyerere

Mie nina uhakika kiwango chako ni chako cha elim ni hafifu sana. Unaposema Nyerere alikukomboa, ni katika lipi kwa mfano?
Maweee!! unafikiri!!! Mabarabara yoote haya, tena ya lami, Mighorofa yoote hii, Migari mipajero mama wee, maji, safari km zote Duniani huko Duniani, majiviwanda, wewe sema tu Mungu kakupiga kofi, na huchomoki!

Njoo tukufundishe kutubu tunakula nakusaza, Maji tele, trektaz mashine zinapia mzigo tu shambani huko wewe unapokea mazao...kitu hiki kilimshinda mkoloni!
 
Basi Bangi ile ya Nyerere ni nzuri sana!! ... jiwe team nendeni mkageme Bangi la wazanaki muwe na u maarufu/akili mingi/ Mali/ u-hand some km yeye mchonga!..Musoma watauza sana...

Lkn Sasa Bangi la tuntemeke Sanga maweee!!!! ukavune nini pale? /yeye Bangi lake badala ya kwenda kusoma alivuta Bangi la chooni! , yaani siku anarudi majibu aliyo mjibu Nyerere hata mtoto waleo atajua Sanga Bangi tupu!

Mchonga alimsadia mno yule jamaa yenu!!..mpaka alipo acha Bangi……….. km hutajali hebu wajulishe kidogo wana JF jinsi alivyo mjibu Nyerere...……… wao JF waamue nani alikuwa mvuta Bangi!...….na kiasi gani!

km ukilishindwa hili unaona aibu… JF majibu wanayo………. bado una kumbukumbu ya huyu? yaani lile jamaa nachekaga mpaka leo!... bora umenikumbusha…..ngoja nicheke kwanza ntakuja kuendelea ……...

Nyerere ndiyo maana Wanajeshi wakampindua, Ilibaki kuwekwa madarakani Na Wakoloni Waingereza wakamtumia kuweka fitna Na Wazanzibari kwa kuivamia Na kuuwa watu bure. Nchi yote kaiwacha imeozarmpaka Leo , humjui aliyesoma wala asiyesoma
 
Lissu Ni boya sana kwa mkewe. Hata kubaki Ulaya ni pressure ya mke

Hata mkewe angekuwa anamuagiza amuogeshe, au afue hata chupi za house maid wake, hiyo is none of our business. Tunachojua kaongea ukweli kuhusu udictator wa Nyerere fullstop.
 
Kama unajua lugha soma kuhusu kesi zilizofunguliwa na weusi wenzako walioporwa ardhi zao na Nyerere

Are'U really aware of what you've just jotted down here??... .. unless other wise, you're just playin' endless childish game, ooh! yes! just to twist ma mind! en! waste of ma nice moments! ……

.in the Manner dat u should learn, how to perceive tangible en ' sensible selling off points! rather than beating around the Bush!

Trust me am of de different level!! never! ever try ma Drifts, unless other wise you gonna end up onto serious shameful tragedy , Let me tell you somethin u've never known before!! ... strange,

If de Land of Tanganyika was under control en' direction of de Presidential office. which means Up to dis moment still is! …..She's entitled to offer, to any one who's willin' to! obvious including domestic en' Foreign investors! ,,

Hence forth due to dis fact, if you wanna peruse de Land ownership was, en' still is in her Mandates, the Land of which the Presidential office zeroedin entitled to!

In the past!! Post colonial error! if it happened to, a free chosen President to confiscates de foreigners chronic oppressors supporters' properties (Gabachori) of which they were within Erected president Land inner circle, entitled Manner, owners had no Right to form resistance!

still he was in a proper truck! to do like de way he did it, according to our country's Laws, hence judge him not,

Any civilians' mismanaged dwelling areas, till now can be corrected by any how!! as much as Our URT President feel comfortable for the good sake of our People! so what.....

Ma substance is ..am still insisting dat for u' to be a puppet Master, it'll take you, to no where else.... least you gonna end up, just like what happened to a chronic Africans' Betrayers Savai'i, Mobutu, Lisu en de likes!

Actually what happened is their White Masters abandoned dem in a very serious shameful trush bin.....why don't u' learn from dem??! if not soon u'll suffer de same! just like the way they were!
 
Kutaifisha mbali Na unyang'anyi kitu chengine. Na yote aliyafanya Laanatullahi Nyerere Na Hao walifuatia
Laanatullahi ni ninyi mliokubali kunyang'anywa kama mikia ya kondoo.
Mnaongea leo waoga wakubwa, kwani kwenu hamkujui?
Mahabithi ninyi msio na haya!
 
Back
Top Bottom