Ufafanuzi wa Tundu Lissu juu ya Mamlaka makubwa ya Kikatiba aliyonayo Rais wa Tanzania yalitoka wapi. Nyerere hakuwa kama tunavyohubiriwa!

Nyerere ndiyo maana Wanajeshi wakampindua, Ilibaki kuwekwa madarakani Na Wakoloni Waingereza wakamtumia
Weee!! vyanajeshi gani vile vichovu vya kumpindua Nyerere!......si unaona mwanaume alicho wafanyia, yaani ile alipo toka tuu huko aliko kuwa, Kambona huyuu!! akazimia kwanza, sasa wewe nani na

vyanajeshi vile ndo walikufa marofa wale! akawa suka upyaa Wakurya, wahehe, Sukuma gang! nchi ika nyooka alikuwa akipita akipita humo mnampa shikamoo Julius!

mpaka leo mna maajabu eti mnaenda/na mtaenda Mwitongo kusalimu kaburi , Nyama nyie, kataa ufe maskini, ubaki kutumwa humu humu JF milele! ile number nyingine!!

alpostaafu vihela vyenu kavikataa vilevile, na nje km kawa mlimfanya nini!...wajeda wakurya wenzake wakamjengea Bonge la mjengo bureeee!

Tena alikuwa na amri mpaka Uk akiagiza tu hivyo vianajeshi vizungu vinakimbia, sasa mtu ameamrisha mzungu, hako ka jiwe kako kange weza?...labda kikwete tuuu!

tena ushukuru hayupo yaani wewe ange kudaka dakika sifuri, anakutupa hapo ukonga uchezewe naniliu tu.…….yaani uchezewe tu siyokuku naniliu…. ...ungetoka huko kimyaaaa!

ukisikia upepo unavuma unatoa shikamoo upepo!! ! km ulimboka unamsikia tena! Yuleee! dogo ni kma weye tu, aliiga uana harakati kuumbe nguvu ya soda, wakaimba weeee!! soridarite forevaaaa..........kiko wapiii.
 
Wazanzibari kwa kuivamia Na kuuwa watu bure.
Kule aliua magabachori tu!! ili waachie weusi waliotekwa utumwani ……. mbona wao waliua watumwa weusi tena kikatli kweli! asee waliuzwa bei mbaya! ili waishi kwa raha!..mkuki kwa nguruwe!
 
wengine kutoka Zanzibar aliwapeleka kuuawa.
Walisoma nini hao wasomi, kama wanapelekwa hovyo kufa km kuku!!...walistahili hayo, km walikufa kirahisi wasinge weza kuilinda Tanganyika na Zanzibari zetu!

Hata leo tukipata Msomi lege lege!! kisu kina muhusu!
 
Nyerere ndiyo maana Wanajeshi wakampindua, Ilibaki kuwekwa madarakani Na Wakoloni Waingereza wakamtumia kuweka fitna Na Wazanzibari kwa kuivamia Na kuuwa watu bure. Nchi yote kaiwacha imeozarmpaka Leo , humjui aliyesoma wala asiyesoma
Nyerere alikuwa mshenzi tu.. alileta umaskini Tz na mambo ya ujima wake..
Yaani eti wanaofanya kazi na wasiofanya kazi wote wanapata sawa.. wakati alitakiwa kusema asiyefanya kazi na asile..

Huyu babu anatakiwa kupingwa kwa nguvu zote
 
Nyerere ndiyo maana Wanajeshi wakampindua, Ilibaki kuwekwa madarakani Na Wakoloni Waingereza wakamtumia kuweka fitna Na Wazanzibari kwa kuivamia Na kuuwa watu bure. Nchi yote kaiwacha imeozarmpaka Leo , humjui aliyesoma wala asiyesoma
Hapo kwenye aliyesoma na ambaye hakusoma panasikitisha
 
Hata mkewe angekuwa anamuagiza amuogeshe, au ague hata chupi za house maid wake, hiyo is none of our business. Tunachojua kaongea ukweli kuhusu udictator wa Nyerere fullstop.
Sahihi
 
Kule aliua magabachori tu!! ili waachie weusi waliotekwa utumwani ……. mbona wao waliua watumwa weusi tena kikatli kweli! asee waliuzwa bei mbaya! ili waishi kwa raha!..mkuki kwa nguruwe!
ndiyo elimu ya nyerere hiyo
 

Si ndiyo mfumo mbovu aliouleta Nyerere ili apore mali za watu? Kaangalie tena video ya Lissu uelewe.
 

Ni kweli jengo kajengewa na amelala humo.

Alibaki kutumiwa na Wakoloni wa kiengereza na kuwa mtumwa wa kardinali pengo. usomi wote ule , na wale aliowasomesha ndio nyinyi na mwalimu wenu Profesa wa Juisi ya Madagascar , Mzee kabudi😛😛😛
 
Laanatullahi ni ninyi mliokubali kunyang'anywa kama mikia ya kondoo.
Mnaongea leo waoga wakubwa, kwani kwenu hamkujui?
Mahabithi ninyi msio na haya!
Tulia dawa ikuingie . yule mzee laanatullahi amewaharibu akili kweli. mwisho akiwaimbisha eti mkimbize mwenge upate kumulika mchana.
Kama si akili za bangi ni kitu gani😝😝😝😝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…