Pichukodada
JF-Expert Member
- Oct 14, 2020
- 480
- 348
Naam safi sana Mkuu!! sasa unaanza kunielewa sasa ! binafsi na mke wangu tunafuraha kuwa unaanza kuelewa sasa! ni kweli kuwa Mwili wake Bado una/uta kuwa na thamani kubwa milele yote kuliko wale wauza watumwa wale!!Ni kweli jengo kajengewa na amelala humo.
Alibaki kutumiwa na Wakoloni wa kiengereza na kuwa mtumwa wa kardinali pengo. usomi wote ule , na wale aliowasomesha ndio nyinyi na mwalimu wenu Profesa wa Juisi ya Madagascar , Mzee kabudi😛😛😛
Hakuna mahali Julius alipo tumiwa na Mkoloni! ssema wapi bali Julius aliwaamlisha wakoloni, na wakatii, si unamuona Mahafudh alikimbia weee mpaka kafia huko aliko fia!
Kama uliambiwa na waalim wako , basi jua waalimu wako ni waongo tena sana tu....fikiria tu Julius amekufukuza km Mbwa na wengine kaua tu maksudi,
kachukua Mali zao kwa lazima akazigawa kwa weusi !! …. sasa hata km ni wewe utaanzaje kumpenda mtu km huyo, km ukimpenda basi weye ni taahira?? ….
ufanyiwe hayo halafu wende kumtumia tena mbaya wako huyohuyo! ? ivi kwanza yeye atakuamini vipi? kweli? halafu mbona unadanganywa kirahisi ivo km demu, wkt unajua matumizi ya wembe??
weye hujui tu Pengo ni wa juzi juzi tu hapa?? ni size ya kina gwajima ndo maana walipalulana!......yule Julius ni umri wa Baba yake pengo!!
Vyaalimu vya Madrsaa viongo sana! vilikuingiza chaka, ukajaa mkuu! sasa angalia unavoumbuka!! chutama basi ili tusione vya nyuma yako! hutaki, umekomaa tu kubong'oa tukufanyeje sasa???
tena maskini wale ni tuvijana tudogo tu! sasa weye zee zima ulikubalije kudanganywa na vialimu vya Madrsaa?? angalia unavoumbuka na elimu za chekechea hizi!!
Lakini Bado una haki yako kikatiba , kawadai hao Ada yako hapo shuleni Madrsa….... wakikataa nenda polisi ni haki yako tena ni vizuri ''urichukue ri afande Mwita!
yare machamaa hayataki mcheso mcheso kwenye haki! hasahasa km raia anaonewa kwanza hayataki rushwa na kiswahiri mureeefu! utasikilizwa, then njoo! urudi hapa tukufundishe sisi bure tu!.....