Ufafanuzi wa Tundu Lissu juu ya Mamlaka makubwa ya Kikatiba aliyonayo Rais wa Tanzania yalitoka wapi. Nyerere hakuwa kama tunavyohubiriwa!

Kasome link niliyokupa, watu walishaenda mahakamani mpaka wakachoka na kesi mpaka leo zipo na zimetajwa. Sijui mahakama zipi nyingine unaziongelea.
Afu! wee! jamaa hizi elimu za madrasa zinawatesa sana mpaka umedumaa!! ......tena umesema vizuri sana.....sasa km walienda Mahakamani! mpaka rufaa, penye haki?? manake walishindwa kesi??

wasitusumbue bana!! sasa mtu mjingamjinga!! km huyo!! kwanini usimchape viboko!
 
Tunaomba Lissu akae huko huko kwa kazi Maalumu! atatusaidia sana tu! hata km vipi mabepari tutajichanga kumlipa!
 
Ukiona ivo basi umechekaaa! …... sana tu!...…. JF tuna saikolojia ya hali ya juu! kuhusu Mtu! Nyerere alitufundishaga!

Ww lazima utakuwa mzee, wazee ndio huwa wanaleta habari za Nyerere.
 
Afu! wee! jamaa hizi elimu za madrasa zinawatesa sana mpaka umedumaa!! ......tena umesema vizuri sana.....sasa km walienda Mahakamani! mpaka rufaa, penye haki?? manake walishindwa kesi??

wasitusumbue bana!! sasa mtu mjingamjinga!! km huyo!! kwanini usimchape viboko!

Sababu kwa nini walishindwa zimeandikwa pia. Naona wewe ni mvivu wa kusoma au lugha inakupiga chenga. Maana unajadili kitu ambacho hujakisoma au hujakielewa.
 
Wacha kuandika ngonjera. Huyo Baba yako Nyerere aliwekwa madarakani Na Wakoloni Waingereza wakamtumia kuweka fitna Na Wazanzibari.
Mpaka Leo chuki zimejaa baina ya waTanganyika Na Wazanzibari. Kabla ya huyu kiumbe waTanganyika wakiishi vizuri Na Wazanzibari bila chuki moyoni.
By THE way vipi boss wako Kabudi alishapeleka mafaili kwa mama ?
Hivi vipi yule Mwendazake kwa nini hakutaka kuonyesha vyeti akampoteza yule aliyeulizia?
Ngonjela? ili uelewe!......Mbaya wake ampe madaraka!! hukuelewa somo kabisaa! …...Ni kweli Chuki zipo Zanzbzar Baina ya masalia ya wauza watumwa (waarabu), na watwana weusi!

Wauza watumwa walidhurumiwa haki yao ya kuuza na kutumikisha binadamu sasa wana kinyongo kisichoisha sikatai!
 
Sababu kwa nini walishindwa zimeandikwa pia. Naona wewe ni mvivu wa kusoma au lugha inakupiga chenga. Maana unajadili kitu ambacho hujakisoma au hujakielewa.
Hapana hizo kesi nilizisoma drs la nne huko!! wewe umezijua ukubwani sababu mda mwingi ulipotezea madrassa! kwa nini nirudie tena nazijua zooote ndo maana nakujibu!
 
Wajameeni!! wewe sema tu Mungu kakupiga kofi!! nenda katubuuuuu dhambi zako uwe salama!! hutaki?? utakoma.........Mighorofa yooote hii?? ..Midege sirikali na binafsi bei chini !!

Unashindwa na (Dogo Gwajima analo lake huyu binafsi, linampelekaga Bungeni, Ulaya km kawa! yaani hata lift tu atakunyima kweli?)….ona mipajerooo new Model tupu!

kaa pale njia panda Chalinze mwezi wa December uone maajabu!...wachaga wanavyo miminika kwenda kusherehekea la X-mass!!..basi omba hata Lift uonje utamu wa Pajero hutaki!! huoni una tatizo la msingi??

Haya ka vitz tu huna mkuu! haya Beattle kuu! kuu! nalo je??...yaani kuuumbe hizi barabara tunatumia wachache sana tu??…….tubuni! mbona rahisi?? sasa tumefanya haya ni miaka 20 tu baada ya uhuru!

Muarabu kakaa humu nchini, miaka takriban 2500, eti kaacha kamji Mkongwe tu baasi!! ...yaani hao mbwa wasinge tutibua tunge kuwa mbali mnooo!! hata hiyo Dubai ya leo,UK,USA.Francenk tulijenga sisi weusi!!

Mpaka leo ni sisi weusi ndo tunafanya kazi za misuli huko kwao, Sasa wametuletea AL SHAABAB, ALKAIDA,nk Ili kuharibu mafanikio yetu, TZ tumo pia hatukwepi hilo ...sababu Tanznia tutawatunza wakimbizi wataenda wapi!

Unadhania hayo yoote ya vita yasinge kuwepo! si tungekuwa Zaidi ya Ulaya??? Elimu zenu hizi za Madrassa zinawalemaza sana tena mnooo!!

Angalia sasa hivi tuna SADDAC, EA communitie jamani! tokaaa Indian Ocean, mpaka Pacific wewe tu! mna shindwa kweli kufanya Biashara??…. weye kauze Ming'oko tu, kwenye Train ya Tazara .

fanya hivo safari mbili tu uone km hujatoka!..Nashanga sana mtu unajua matumizi ya wembe unakuja kulia humu! km wewe!

Uko Tanzania gani wewe? Hii hii watu wanaopiga kelele maisha magumu au hiyo unayoiota ndotoni? Kama uko Tanzania hii basi wewe ni mtu wa system, unalamba asali wakati wenzako wanalala njaa.
 
Mtu kulala njaa siyo dhambi?? aweza kuwa amefunga mwezi ntukufu! ….. mbona nyie mnafunga siku 80 kubana matumizi ya chakula hatusemi??...mnavitesa vitoto vyenu kwa njaa!...ajili ya Dini ya Muuza watumwa!

Tanzania yetu muiache! Maisha siyo magumu tuna kila kitu!...nyie ndo wagumu...mitumba, mifugo,mapori yooote hayo?? ugumu utoke wapi?? mmekalia urojo tuuuu pale Darajani!...... kwa nini msione magumu??
 
Ngonjela? ili uelewe!......Mbaya wake ampe madaraka!! hukuelewa somo kabisaa! …...Ni kweli Chuki zipo Zanzbzar Baina ya masalia ya wauza watumwa (waarabu), na watwana weusi!

Wauza watumwa walidhurumiwa haki yao ya kuuza na kutumikisha binadamu sasa wana kinyongo kisichoisha sikatai!

Hivi kweli ulisoma wewe ? Uandishi wako unaonyesha hapo ni shule ya ngumbaro
Hivi wale waliomkosoa Babu yako Nyerere walikuwa waarabu ?
 
Watanzania hatukuwahi kujua UBOVU WA KATIBA YETU, hadi jamaa alivyoingia awamu ya TANO ndiyo tukajua alaa kumbe katiba ina walakini mkubwa.

Kuna wana CCM walitengwa na kunyanyaswa ila hawakuweza hata kujua wapi pa kushitaki - option ilikuwa ni moja tu - kumpigia magoti mfalme.

Hii siyo katiba wakuu wangu, hapana hapana.
 
Hivi kweli ulisoma wewe ? Uandishi wako unaonyesha hapo ni shule ya ngumbaro
Hivi wale waliomkosoa Babu yako Nyerere walikuwa waarabu ?
Ngumbaru manake uondoe ujinga!!!...…kwa hiyo nimefuta ujinga kosa langu nini?? mtu kufuta ujinga yaani wewe unaamini ni dhambi Loool pole sana!. Lkn nani alikwambia kuwa ni dhambiii??? Madrasa au Msikikitini ...….sasa Gumbaru na Madrass wapi Zaidi!! nijibu faster....
 
Sio kwa utoto huu unaoongea hapa.
Yaani mifumo Dume ya kiislamu imekuharibu sana huko nyuma!! yaani kwa sababu mie ni mtoto, sifai kusikilizwaa??……...sasa kama hujarogwa tusemeje ndugu yangu?

Nyie bana hayaaa!! nchi hii mtaisikia tu tutapelekesha mpaka mtie akili!...….Mtoto ni LULU ya kesho wewe! ebooo!, Julius kaimba weee!! hamkujua ajili ya kiburi km hiki!! hivi unakumbuka japo kidogo tuu! weye haya hujui??

Jitahidi sana uachane na misimamo ya Misikitini Muarabu kwaingiza chaka nyie watu!...yeye watoto wake anawafundisha ka bidii!! ili mtwaliwe utumwani! na wanaongoza swalaa jumaa! eti mnashangili!

Heshimu watoto Bana!! tena Lazima!! na kwa Amri!! uwaombe samahani!! Hadharani humu humu JF!! ..ili uwe salama! au ulishaga laanika??? km bado...…..

VINGINEVYO IMEKULA KWAKO mazima HIVI UNAJUA HAYA MAANDISHI YANAENDA DUNIA NZIMA?
 
Hivi wale waliomkosoa Babu yako Nyerere walikuwa waarabu ?
Hakuna mwenye akili timamu aliye wahi kumkosoa Nyerere!! km yupo mtaje! mie ntakutajia weusi wachache tu na sababu zao pia hali zao zilizo wasibu kisaikolojia, lkn bado Nyerere akawasaidia ki hali;

1; Tuntemeke Sanga -Huyu alikuwa mgonjwa wa akili!! baada ya kuvuta Bangii saana! ili ashinde mitihani yake huko ughaibuni!! na kweli alipasua paper vibaya!! kwa ajili ya bangi alipo rudi nchini akaanza mizaa ya kibangi !!!! kifanya kwa Nyerere aibu tupi! yaani hata watoto wadogo watacheka!
Julius kwa hekima akampeleka kuhudhuria clinic ya Hospitali ya karibu na kwao, kamwe hakutaka kurudi mjini kwa aibu! na mkewe Mmarekani alimkimbia na watoto kamwe hawakurudi mpaka leo!

2; Kambona; huyu MUOGA, KIGEUGEU, bENDERA, fuata upepo, maskini wa Mungu hakujua anafanya nini!! so alitamani sana Maisha ya uzunguni kuliko ya kwao Bongo !! hadi ndoa alifungia uzunguni na Padre mzungu, bado akatamani kwenda kuishi huko, na kweli Maisha yake yooote!
kifupi hakupenda watu weusi! mpakaa alipo zeeka akajua alikosea kwenda kuishi uzunguni, na alijonea aibu kuomba msamaha sababu hakujua, basi akarudi amezeekaaa sana!! mpaka kifo! akazikwa kwao huko kusini huko!

3;Mohamedi Babuu; mawee sasa huyu Bangi zili muharibu! Hata nywele alikuwa hachani vizuri alikuwa km chizi! hapo ni kwa uchache tu!

Sasa hata km ni wewe Rais wa jamhuri utafanyaje kazi na mlevi? tena wa Bangi?? hata hotuba zake zilikuwa kibangi bangi tu nikikuwekea humu utachekaaa!! …

mwingine eti Mpenda makuu ya uzunguni?? haya nendaaa! sasa kwani mtu kupewa anachotaka kuna dhambi gani!....Bibi titi alitubu akasamehewa, akaishi tumemzika juzi tu,.....

4.Mzee Mwinyi alikubali yakaisha huyo hapoooo!! anaheshimika mbaya na mwanae ni Rais! hao wengine km siyo Bangi na umalaya ni nini sasa??? mnadanganywa danganywa mnakubali si mtumie akili kidogo tuuu!!

5.Uncle thom aliachiwa tu aende anakotaka!!
6, Tamimu kajiua! Kwa kuhisi usaliti wake tuu! huyo afadhali alijihukumu mwenyewe ni shujaa!
7; Mac ghee pamoja na madhaifu yake yooote alisamhehewa kafa Tajiri mkubwa sasa kilicho wasibu hao wengine nini? km siyo tamaa ya kwenda kuishi na wazungu?..tena kwa kutumia kodi zenu na mlivyo majuha mnashangilia watu ambao hawawapendi!! ...wange wapenda wange komaa na nyie humu humu!
…...mwingine asiye jali watanzania. je leo hii mngefika hapo mlipo??
 
only-crazy-people-thinks-that-everyone-else-is-crazy-meme-50356089.png
 
Back
Top Bottom