Hivi wale waliomkosoa Babu yako Nyerere walikuwa waarabu ?
Hakuna mwenye akili timamu aliye wahi kumkosoa Nyerere!! km yupo mtaje! mie ntakutajia weusi wachache tu na sababu zao pia hali zao zilizo wasibu kisaikolojia, lkn bado Nyerere akawasaidia ki hali;
1; Tuntemeke Sanga -Huyu alikuwa mgonjwa wa akili!! baada ya kuvuta Bangii saana! ili ashinde mitihani yake huko ughaibuni!! na kweli alipasua paper vibaya!! kwa ajili ya bangi alipo rudi nchini akaanza mizaa ya kibangi !!!! kifanya kwa Nyerere aibu tupi! yaani hata watoto wadogo watacheka!
Julius kwa hekima akampeleka kuhudhuria clinic ya Hospitali ya karibu na kwao, kamwe hakutaka kurudi mjini kwa aibu! na mkewe Mmarekani alimkimbia na watoto kamwe hawakurudi mpaka leo!
2; Kambona; huyu MUOGA, KIGEUGEU, bENDERA, fuata upepo, maskini wa Mungu hakujua anafanya nini!! so alitamani sana Maisha ya uzunguni kuliko ya kwao Bongo !! hadi ndoa alifungia uzunguni na Padre mzungu, bado akatamani kwenda kuishi huko, na kweli Maisha yake yooote!
kifupi hakupenda watu weusi! mpakaa alipo zeeka akajua alikosea kwenda kuishi uzunguni, na alijonea aibu kuomba msamaha sababu hakujua, basi akarudi amezeekaaa sana!! mpaka kifo! akazikwa kwao huko kusini huko!
3;Mohamedi Babuu; mawee sasa huyu Bangi zili muharibu! Hata nywele alikuwa hachani vizuri alikuwa km chizi! hapo ni kwa uchache tu!
Sasa hata km ni wewe Rais wa jamhuri utafanyaje kazi na mlevi? tena wa Bangi?? hata hotuba zake zilikuwa kibangi bangi tu nikikuwekea humu utachekaaa!! …
mwingine eti Mpenda makuu ya uzunguni?? haya nendaaa! sasa kwani mtu kupewa anachotaka kuna dhambi gani!....Bibi titi alitubu akasamehewa, akaishi tumemzika juzi tu,.....
4.Mzee Mwinyi alikubali yakaisha huyo hapoooo!! anaheshimika mbaya na mwanae ni Rais! hao wengine km siyo Bangi na umalaya ni nini sasa??? mnadanganywa danganywa mnakubali si mtumie akili kidogo tuuu!!
5.Uncle thom aliachiwa tu aende anakotaka!!
6, Tamimu kajiua! Kwa kuhisi usaliti wake tuu! huyo afadhali alijihukumu mwenyewe ni shujaa!
7; Mac ghee pamoja na madhaifu yake yooote alisamhehewa kafa Tajiri mkubwa sasa kilicho wasibu hao wengine nini? km siyo tamaa ya kwenda kuishi na wazungu?..tena kwa kutumia kodi zenu na mlivyo majuha mnashangilia watu ambao hawawapendi!! ...wange wapenda wange komaa na nyie humu humu!
…...mwingine asiye jali watanzania. je leo hii mngefika hapo mlipo??