Ufafanuzi wa Tundu Lissu juu ya Mamlaka makubwa ya Kikatiba aliyonayo Rais wa Tanzania yalitoka wapi. Nyerere hakuwa kama tunavyohubiriwa!

Mkuu wewe ulitembelea hizo nchi! mie kwa binafsi yangu nimeishi na kuwowa huko mpaka sasa!! vyama hivyo vilishinda aliye kufundisha havikushinda ni muongo na usimwamini!

Adui yako hawezi kukupa zawadi ya uhuru! na wewe ulivo kilaza ukalikubali hilo! ilikuwa ni piga ni kupige ile! walikufanya mjinga! kawadai wakurudishie hela yako! ni sawa na madai eti shetani alimpa Lift Yesu kuelekea NYIKANI ili aka mjaribu??? ni uongo km huu!

Wakimbizi hawakuwa picnic ugenini ni uongo pia, naona hujui maana ya picnic! Wasomi wengi wao tumesoma nao vyuo vikuu, pia hao tulikuwa nao JKT Ili wakazikomboe nchi zao bidaye,

na hata km wakiwa picnic kwa ndugu zao weusi kuna ubaya gani?? kwa nini picnic iwe kipindi hicho na siyo sasa? yaani ulishindwa kiuliza maswali rahisi ivi?? ulidanganywa kirahisi mnoo au weye ni ke''?

na hata kule Mazimbu haikuwa picnic Camp, walimu wako ni waongo au hawakusoma kabisa, ni wazi ndo tatizo la kufundishwa na UPE!... kusahihisha eti blah blah ni hoja mfu sana kwa hoja nzito!

ANC KUIRUDIA MARA MBILI siyo kosa labda hujui kusoma!
 
Alihubiri maneno matamu lakini matendo yake yalikuwa ni ya hovyo sn
Ni kweli kabisa uko sahihi km Mzazi wako au wewe binafsi ulikuwa KUPE kulingana na misimamo yake ya Azimio la Arusha lazima umuone wa hovyo!! labda utuhakikishie humu kuwa hukuwa kupe
 
Nipe battle yeyote kati ya vyama hivyo na SADF ya buru
 
Nipe battle yeyote kati ya vyama hivyo na SADF ya buru
Orange free state! skirmishes' Battle!.. pia ile ya .Lady Brand Liberations war' kwa kichapo kile hapa kaburu aliomba msaada kwa Portiguese lkn pia walipigana usiku na mchana kwa miezi saba,

So hii ikasababisha ile mipaka ya nchi mbili na Lady Brandy ikagwanywa upya….. mpaka leo, Lady Brandy sehemu hizo zimegawanywa kati ya kaburu na waswahili (weusi)

kubadilishwa, kwa mipaka ilikuwa ni ya muda mreefu mpaka palee Mandela alipo toka gerezani na akaingilia kati! …..Na nyingine ni ile ya makomandoo wa kaburu waliokamatwa Bandarini Dar wakiwa kwenye Ma-container ya misaada!

hayo macontainers yalikuwa yakipelekwa kambi za wakimbizi Mazimbu!! lkn Kwa ulinzi Imara wa JWTZ na UMKHONTO WE SIZWE hawakuthubutu kupenya, km haitoshi

Marehemu! Hashim Mbita na Jenerali Ulimwengu wakiwa bado vijana!! walikoswa koswa kuuawa mara saba, wakati wakiwa ktk Mstari wa mbele ktk uwanja wa mapambano kulee Msumbiji!!

Generali ulimwengu bado yupo mpaka leo! simu yake iko humu muulizeni, juu y huu Muzziki!! Paleee Mahurunga Heath centre Mtwara zamani palikuwa ni kambi ya wapiganaji,

na kuna mashimo ya Mabomu na kuta zilizo chakazwa kwa risasi km kumbukumbu mpaka leo...any way ni mengi tulifanya ila ukitaka na nyingine za zimbabwe, Namibia ntakupa,
 
Mkuu hawajui kuwa wengine we lived the experience.
Yeyote anatakaye mtukana Mwalimu, sisi na yeye.
 
Hawajui hayo washenzi hawa.
Wamesoma bure, kula bure, halafu wanakuja kumtukana Mwalimu.
Na isingekuwa Mwalimu kuwatetea wanyonge hao kufaidika na social amenities, bado wangekuwa vizazi na vizazi vyao ni wasafisha vyoo!
 
"Italia pia ina Rais"
Tundu Lissu anataka tuwe na muundo wa serikali ambao watu watasema :"Tanzania pia ina Rais."
Rais Samia kila kukicha anafanya appointment mpya. Serikali tulidhani Rais anaunda Cabinet halafu anaanza kazi. Lakini hii Serikali inaongezewa tofali kila siku.
Lakini sasa haya mambo yameanza zamani. Kwa nini Tundu Lissu ameyaona leo tu ghafla?
Tundu Lissu,statism ndiyo habari ya mjini,bwana.
 
Huyo Nyerere alipokuwa anayafanya hayo yooote nchi nzima nyie mamburura mlikuwa wapi?? kwa nini hamkuingia msituni mzichape km ilivyo DRC Ya kabila??

nyie ndo mlikuwa majinga/mataahaira mnalialia nini?? km ni ivo tutaanza kuyachapa mazee yaliyo kubali ujinga wa Nyerere tundu lissu wa kuwajibishwa ni nyie mliokuwa mnampigia makofi sasa

amekufa ndo mnajipendekeza kumsema ili muwe maarufu! mlikuwa wapi mnayasema leo?? basi mlikuwa waoga lkn hata ivo Julius aliwahusisha wananchi! kutaka chama kimoja! tume yeyote siyo lazima iwe sahihi!

Nyerere hana kosa alifanya kwa jinsi anavyoona ni sawa!! hata ivo hapa tulipo kuna shida gani?? elimu bure usafiri Bure nk!...Uk, ufaransa hao ni nchi km walivyo sasa sisi inatuhusu nini??

kwani lazima tuwe sawa na hao mabwana zako wazungu?? sisi tumeamua kivyetu mbona hawatuigi...km CDF, Jaji Mkuu, wakuu wa vikosi, wakuu wa mikoa, Waziri mkuu wana teuliwa na Rais sasa ulitaka wateuliwe na naniii!

Rais kuwa dikteta ni hulka ya mtu binafsi tu hata km utampunguzia madaraka atakudikiteta tu! …..siyo kwa kuwa aliyoyasema Nyerere! hata Mungu alipingwa /anapingwa mpaka leo, bado kuna binadamu wanaona hayuko sahihi, sembuse Nyerere??………

Lisuu .unatafuta umaarufu tu!...…..Bunge la uganda ni la MNRM kuna tatizo gani kwani! wanyankole kuchaguliwa au....sasa km hamuwezi yeyey awa bebe??
 
Big up Braza!! yaani yeyote asipoelewa hapa atakuwa bonge la kilaza wa UPE!!
 
Umemaliza kila kitu mkuu. Ukweli ambao wengi hawataki kuusikia na kuupokea.
 
Watu wenye mawazo Kama yako mkuu. mnapaswa muwe wengi zaidi humu Jf na katika Taifa letu ili ukombozi sahihi na kwa wakati sahii upatikane.
 
Ushawahi kujiuliza risasi zinavyomtesa mwilini mwake? Huyo ana laana kubwa sana anajifanya kudoma sheria ndo kujua kila kitu! Very stupid!
Ukiona mtu anatukana ujue amekosa hoja, kichwani kumegoma an opt to use character assassination type of argument!
 
But angalau yeye hakuwa mlafi na alikuwa na maono makubwa
Mshana Jr uko sahihi, tena sahihi sana, lakini nyuma ya pazia Nyerere alifanya uovu mwingi...soma kitabu cha Ludovick Mwijage ( Julius K Nyerere: Servant of God or Untarnished Tyrant).......kuna chapter ya Dark side of Nyerere's legacy.... soma upate hard facts to believe about Nyerere.
Short of that aliwapenda watu wake...
Can we say Hitler hakuwapenda watu? Hitler hakuwa na wafuasi? Idd A,min Hakuwa na wafuasi, Yahya Jameh hakuwa na wafuasi? Dictators are like that!
 
Hauko sahihi ; soma kitabu cha ''Desire of ages'' Cha Dr Fist iron Mackuel!!…..soma kitabu cha UJamaa by JK Nyerere!!

soma kitabu cha One million step forward Cha Luther mark Dome!
then soma '' From Babylon to Tumbuktu!....halafu weee jamaa sijui ulisomea wapi ??? Rais unawezaje tawala miaka yoote hiyo km Hitre then usiwe na wafuasi??

Halafu unatupa marejeo ya vitabu meeengi bila hint! wala intro ili iweje???. …. sisi siyo watu wakutusema ''soma!! soma!!... soma!!!! kasooome.....hivi wewe…..aaah!! any way...…….ntarudi!!
 
Ingekuwa diplomasia inafanya kazi CCM wasingekuwa wanatumia polisi kujihakikishia ushindi.
Tatizo mkuu maneno Kama haya ukiwambia watu wanasema wewe haupendi amani Ila wanasahau bila haki hamna amani bali hofu ujaa. Kama wafaransa , wamarekani , wachina, warusi wangeogopa kupigania ukombozi na mabadiliko ya mataifa yao leo wasinge kuwa hapa. diplomacy kwa nchi zetu za kiafrika kwa watawala wababe katu mabadiliko hayawezi kupatikana kwa njia ya diplomacy. Watu wasidhani CCM itaamua kwa hiari yao kuachia tu madaraka kwa njia ya diplomacy hilo haliwezekani kwa kuwa wanajua madhara ya wao kutokuwa kwenye madaraka ni kuhukumiwa kwa makosa walio fanya . Hivyo hawapo tayari kuona mabadiliko yanatokea kwa njia ya diplomacy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…