Hopeless kabisa!Rubbish, even Hitler has a lot of good deeds!
Kwa hiyo wewe inakusaidia kitu gani kama alikuwa dikteta?hiyo haimuondolei kuwa alikuwa dictator
We need correct history of these so called legend people,.... things should be written in their right perspectiveKwa hiyo wewe inakusaidia kitu gani kama alikuwa dikteta?
BlockHopeless kabisa!
Unashindwa kujenga hoja mwenyewe, halafu unategemea Lissu ndiye awe dereva wako?
sawa mifano muhimuBaada ya Nyerere wamepita marais watano (5), kuendelea kumlaumu yeye peke yake kana kwamba aliwafunga mikono kurekebisha makosa yake ni ujinga tu.
Hapa bongo watu wamemtengenezea Nyerere kautakatifu fulani usioendana na uhalisia.We need correct history of these so called legend people,.... things should be written in their right perspective
Na ndiyo maana Mwandishi Ludovick mwijage aliandika kitabu juu ya Nyerere na kukipa tilte inayo reflect utakatifu usioendana na uhalisia... Julius K Nyerere: A Servant of God or untarnished tyrant?Hapa bongo watu wamemtengenezea Nyerere kautakatifu fulani usioendana na uhalisia.
Wewe ndiye uliye mjinga...!!Acha kushiriki kusambaza ujinga! Lissu hana hata chembe ya akili ya kumzungumza Mwalimu Nyerere kirahisi. # Basi si mumheshimu Mwalimu kwa kujenga taifa moja la Tanzania!🙏🙏🙏
Lissu ana ujasiri wa kijinga tu! Hata kichaa anaweza kuwa jasiri na kupanda juu ya transfoma ya Kv ya gridi ya taifa! Narudia, hana akili hata chembe ya kumzungumza Mwalimu Nyerere kirahisi. Hizo zako ni porojo tu. Simple! 🙏🙏🙏Wewe ndiye uliye mjinga...!!
Likely, wewe ndiye watu wale ambao mkiambiwa kwa nia ya kukosolewa makosa yenu ili mjirekebishe kwa manufaa yenu wenyewe na watu wengine, mnang'aka na kufokafoka na kama mna mamlaka ya kiserikali kabisa, mnapiga wafu risasi...
Huu ndio ujinga hasa hasa...!!
By the way, Tunajifunza kutokana na makosa tuliyoyafanya au waliofanya wengine...
Huwezi kuyaona wala kuyatambua makosa ya mtu kama huoni kwa macho wala kusikia kwa masikio...
Tundu Lissu anasema kwa sababu anaona na anasikia. Huyu MTU ana ujasiri. Huyu mtu ndiye MZALENDO...
Nasi (i.e mimi na wewe) tunaona na kusikia ubaya. Lakini hatuna UJASIRI. Huu ni ndiyo UJINGA hasa...!!
Kwa Tundu Lissu kuwa na ujasiri wa kuyasema makosa ya Nyerere haina maana kuwa hamheshimu...
Good deeds indeed!Rubbish, even Hitler has a lot of good deeds!
Yeye ndio chanzo cha matatizo tuliyonayo TZ e.g katuachia katiba mbovu,katuachia chama cha majambazi etcTatizo mnamlaumu bila kuchukua hatua kurekebisha hali
....mnasahau baada yake wameshapita maraisi 5 ila bado mnalialia kama vile yeye bado ndio mtawala (mmegeuka taifa la kulalamika).
Acheni Kudeka, kama hamuwezi kubadilisha katiba zenu mbovu, mifumo ya uongozi au uchumi wenu vumilieni maana ndio maisha mliochagua.
Umeanza?Ni kweli kabisa uko sahihi km Mzazi wako au wewe binafsi ulikuwa KUPE kulingana na misimamo yake ya Azimio la Arusha lazima umuone wa hovyo!! labda utuhakikishie humu kuwa hukuwa kupe
Hasa katiba mbovu ambayo kwa vile ilikuwa inamnufaisha yeye, basi akaiacha bila kuibadiri kama alikuwa Mtakatifu kama wanavyotaka kumbatizaYeye ndio chanzo cha matatizo tuliyonayo TZ e.g katuachia katiba mbovu,katuachia chama cha majambazi etc
So you think you have the "right perspective"; a person who can hardly think on his own?We need correct history of these so called legend people,.... things should be written in their right perspective
Jitu zima lenye umri mkubwa na kichwa kikubwa kama boga, lakini ndani ya kichwa hicho kumejaa kamasi!!Block
Hebu wewe tupe uhalisia unaoujua.Hapa bongo watu wamemtengenezea Nyerere kautakatifu fulani usioendana na uhalisia.
Lissu ni jirani yangu huku TEGETA. Msimchukulie serious kwa kuwa hana hata nguvu ya kum command mkewe. Mkewe ndiyo sauti ya Nyumba. Miaka michache iliyopita mkewe alimfukuza mama mzazi wa Tundu Lissu aliyekuwa amekuja kutoka Ikungi kujiuguza.Na sijui kama Lissu alikuwa amezaliwa 1961.
Na hao wasomi '61 na wapiga kura kidemokrasia 1961-1971 sijui kama huko Ikungi walikuwepo.
Ni wajinga tu hawajui kuwa kina Lissu wamesoma baada ya shule nyingi za Mission kutaifishwa na hata shule za sekondari kusoma bure.
Leo mtu anatukana mamba baada ya kuvuka mto.
Lissu angekuwa ana lima vitunguu Singida leo.
Uhalisia ninaoujua upo katika maneno ya Lisu na ule uzi wa Tz alioiona Nyererere na Kambona.Hebu wewe tupe uhalisia unaoujua.
Kwani kama kuna watu "wanaomtengenezea kautakatifu," wewe ulitaka nani amtengenezee kama siyo watu alioishi nao na kuwaongoza.
Unataka watu hao watoke mbinguni ndio uwakubali?
Julius Nyerere alikuwa Dikteta hilo halina mjadala.Kama Mbowe alivyo dictator