KIJICHO PEVU
Member
- May 4, 2024
- 69
- 49
🛑 TAARIFA KWA UMMA KUTOKA UDART KUHUSU UFAFANUZI JUU YA TAARIFA YA TUKIO LA ABIRIA WA MABASI YAENDAYO HARAKA KUPANDA PASIPO KUFUATA UTARATIBU
sijaelewa, naomba mnieleweshe🛑 TAARIFA KWA UMMA KUTOKA UDART KUHUSU UFAFANUZI JUU YA TAARIFA YA TUKIO LA ABIRIA WA MABASI YAENDAYO HARAKA KUPANDA PASIPO KUFUATA UTARATIBU
View attachment 3415398
Nahisi accounts za BRT zinasimamiwa na Lumumba Street.Kwamba ajali ndio ilisababisha? Na kwamba ni kitu cha siku moja tu na kilidumu dakika 20 pekee? Haahaaa hii nchi ya ajabu sana, nilitegemea nione barua za kujiuzulu kumbe kujitetea!! BRT is a failure yaani wateja wa kumwaga ila mabasi hamna, hizo hela mnapeleka wapi?
Jamaa hawaelewi tatizo la usafiri wa umma Dar es salaam. WasameheweKwamba ajali ndio ilisababisha? Na kwamba ni kitu cha siku moja tu na kilidumu dakika 20 pekee? Haahaaa hii nchi ya ajabu sana, nilitegemea nione barua za kujiuzulu kumbe kujitetea!! BRT is a failure yaani wateja wa kumwaga ila mabasi hamna, hizo hela mnapeleka wapi?
Mimi nimesubiri masaa mawili the other time nilipokuwa DarMwendokasi imejengwa kwa gharama kubwa lakini kituoni unasubiri mpaka dakika 40 ndo gari inapita
Hawa UDART waache kutuhadaa na maneno ya kitoto, usafiri wao ni mateso sana unakaa kituoni hata zaidi ya masaa mawili na tiketi umekata na basi hakuna 🤣🛑 TAARIFA KWA UMMA KUTOKA UDART KUHUSU UFAFANUZI JUU YA TAARIFA YA TUKIO LA ABIRIA WA MABASI YAENDAYO HARAKA KUPANDA PASIPO KUFUATA UTARATIBU
View attachment 3415398
Hii taarifa ilikuwa na ulazima gani? Aliyeandika alitaka kusema nini?🛑 TAARIFA KWA UMMA KUTOKA UDART KUHUSU UFAFANUZI JUU YA TAARIFA YA TUKIO LA ABIRIA WA MABASI YAENDAYO HARAKA KUPANDA PASIPO KUFUATA UTARATIBU
View attachment 3415398
Hawa watu wanapanda bure au wanalipa nauli?
Masaa mawili hukuwa na haraka, kuna option za bajaji, daladala unaunga unga mpaka unafika kuliko kusubiri.Mimi nimesubiri masaa mawili the other time nilipokuwa Dar
Mshangae wewe... Alitaka ujue hakuna tatizo la usafiri wa umma Dar. Na kuna magari mapya yanakuja nchini kwa ajili ya usafiri dar. Una lingine?A
Hii taarifa ilikuwa na ulazima gani? Aliyeandika alitaka kusema nini?