maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 2,372
- 3,108
Muwe mnatuambia ukweli kuwa tusikate tiketi bali tupande bajaji na kuungaunga safari. Siyo tunakata tiketi halafu mabasi hamletiMasaa mawili hukuwa na haraka, kuna option za bajaji, daladala unaunga unga mpaka unafika kuliko kusubiri.
Na hata samahani hayaombi kwa usumbufu yanayo sababisha. Pambavu zaoKwamba ajali ndio ilisababisha? Na kwamba ni kitu cha siku moja tu na kilidumu dakika 20 pekee? Haahaaa hii nchi ya ajabu sana, nilitegemea nione barua za kujiuzulu kumbe kujitetea!! BRT is a failure yaani wateja wa kumwaga ila mabasi hamna, hizo hela mnapeleka wapi?
Pole mkuu.Muwe mnatuambia ukweli kuwa tusikate tiketi bali tupande bajaji na kuungaunga safari. Siyo tunakata tiketi halafu mabasi hamleti
Toka mwaka juzi 2023, nilipoona changamoto kama hiyo, nakata tiketi nasubiri dakika 30, na likija linakuja limejaza. Nikaacha kupanda 'Mwendo Pole' nikarudi huduma ya Bolt nikiwa na haraka.π TAARIFA KWA UMMA KUTOKA UDART KUHUSU UFAFANUZI JUU YA TAARIFA YA TUKIO LA ABIRIA WA MABASI YAENDAYO HARAKA KUPANDA PASIPO KUFUATA UTARATIBU
View attachment 3415398
Bombadia duhπ TAARIFA KWA UMMA KUTOKA UDART KUHUSU UFAFANUZI JUU YA TAARIFA YA TUKIO LA ABIRIA WA MABASI YAENDAYO HARAKA KUPANDA PASIPO KUFUATA UTARATIBU
View attachment 3415398
Ni aibu kubwa sana kwa Taifa letuπ TAARIFA KWA UMMA KUTOKA UDART KUHUSU UFAFANUZI JUU YA TAARIFA YA TUKIO LA ABIRIA WA MABASI YAENDAYO HARAKA KUPANDA PASIPO KUFUATA UTARATIBU
View attachment 3415398
Agiza banana utalewa tusijaelewa, naomba mnieleweshe