Ufahamu kuhusu nyota za angani


shemkunde
Mkuu Bonesmen amekujibu vizuri sana. Zamani walikuwa wanatumia shuttle ambayo pia ilikuwa inatumia haya mawe (tiles).
 

Ndege inaelea angani kutokana na maumbile ya mabawa yake (aerodynamics) na kasi yake. Ndege nyingi zikipoteza huu uwezo zinadondoka. Ili ndege iweze kuchoropoka kwenye mvuto wa dunia lazima iende juu kwa kasi ya ile escape-velocity niliyoielezea awali.
 
ohh mkuu,..
sawa swali lingine,..
lile/ile space ya pembeni ya dunia imeenda mpaka wapi hivi???
huwa nawaza sana hili
 
kwahiyo sisi tupo ndani ya nyota dunia??????
hapa sayansi imeongopa
mbna jua lipo mbali kabisa mkuuuuuuu
Jua ni nyota yetu na ndio chanzo cha energy katika sayari jua halipo mbali na sisi ivo ndo mana unaona mwangaza wake na miale yake katika hilo jua kuna sayari tisa ikiwemo dunia Jua muda wote linawaka
 
Iv kwann waliokoo kwenye ISS hawahisi ile spidi kbs kwa mfano ISS inatembea 7km/sec lakn sidhan kama wanahis io spid
 
kwahiyo sisi tupo ndani ya nyota dunia??????
hapa sayansi imeongopa
mbna jua lipo mbali kabisa mkuuuuuuu

Tazama hii sketch apa hizo ni sayari ambazo kila moja ina mzunguko wake binafsi na kila moja inazunguka jua kwa muda wake tofauti, Mchana na usiku ni matokeo ya dunia kuzunguka katika muhimili wake na mwaka ni dunia kuzunguka jua
 
sasa mkuu ok,..
nisaidie nahili
hivi hiyo inayobaki(dark place)imeenda mpaka wapi?????//
 
Hiyo space inaendelea tu na giza lake mpaka itakapokuta jua lingine la karibu kama Alpha Centauri, halafu space inaendelea kuunganika na nyota pamoja na galaxies zote zilizopo kwenye UNIVERSE.
kwa hiyo jua,..halipo moja????
 
Hiyo space inaendelea tu na giza lake mpaka itakapokuta jua lingine la karibu kama Alpha Centauri, halafu space inaendelea kuunganika na nyota pamoja na galaxies zote zilizopo kwenye UNIVERSE.
yapo mengine huko mbele????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…