Kwa uzoefu wangu ndege hata za masafa marefu zinapita anga la karibu kabisa. Kama sijakosea ni kama km9 hadi km11 tu kutoka usawa wa bahari. Kama nimekosea watanisahihisha, sababu za kitaalam sina labda wenye kujua watueleze.Naomba kujua, ndege hupitia katika atmosphere ipi? Na kwa nini zipite huko?
Hili kundi la nyota (star cluster) ni moja ya makundi ya nyota yaliyo karibu sana na sisi. Katika astronomy kundi hili linajulikana kama Pleiades au Seven Sisters (wadada saba) kwenye constellation ya Taurus (Ngo'mbe au Fahari).Mkuu Kifyatu na wengine, ukiangalia angani upande wa kasikazini-mashariki usawa wa jua la saa tano. Kuna mkusanyiko wa nyota, ukizihesabu ziko kama nane hivi na zinafanana. Hilo ni kundi maalumu la nyota au ni sehemu ya blackhole?
Mkuu jua la saa tano asubuhi au? Zinaonekana saa ngapiMkuu Kifyatu na wengine, ukiangalia angani upande wa kasikazini-mashariki usawa wa jua la saa tano. Kuna mkusanyiko wa nyota, ukizihesabu ziko kama nane hivi na zinafanana. Hilo ni kundi maalumu la nyota au ni sehemu ya blackhole?
Zinaonekana kuanzia saa moja jioniMkuu jua la saa tano asubuhi au? Zinaonekana saa ngapi
Mkuu nilijaribu kulijibu kuwa na subra watakuja wakujibuWakuu, swali langu la ndege sijapata majibu.
Mkuu Kifyatu nashukuru sana kwa jibu zuri ulilonipatia. Hakika kwa hizi nyota nimejifunza mengi sana ambayo naona kama muujiza. Nimefuatilia kwa ufupi maelezo kwenye mtandao na kukuta majina ya nyota hizo kwa Kibantu ni sawa kabisa na babu zangu walivyokuwa wanaziita nyota hizo.Hili kundi la nyota (star cluster) ni moja ya makundi ya nyota yaliyo karibu sana na sisi. Katika astronomy kundi hili linajulikana kama Pleiades au Seven Sisters (wadada saba) kwenye constellation ya Taurus (Ngo'mbe au Fahari).
Hapana, hili kundi sio sehemu ya black-hole.
Japan kundi hili linajulikana kama SUBARU. Ukiangalia magari aina ya subaru utaona nembo yao ni ya nyota. Ni hizi nyota katika hili kundi la Pleiades au Subaru.
Nenda kwenye internet uangalie maelezo zaidi ya hili kundi, Pleiades.
PLEIADES
Ili ndege iruke lazima kuwe na hewa. Ni hii hewa (inapopita juu na chini ya mabawa) ndiyo inayotoa lift na kuiinua ndege hewani. Ndege za abiria mara nyingi hupaa kwenye umbali usiozidi km 10-12 (kama alivyoeleza mkuu nsekwa ). Ndege za kijeshi (spy planes) zinaweza kupaa hadi umbali wa km 20. Zaidi ya hapo hewa inakuwa nyepesi sana au hakuna kuweza kuifanya ndege isidondoke. Zaidi ya hapo unahitaji satellite itakayoingia katika orbit. Mzunguuko wa satellite haufuati kanuni za aerodynamics zinazotumiwa na ndege.Naomba kujua, ndege hupitia katika atmosphere ipi? Na kwa nini zipite huko?
Ndio nimeibuka tu kutoka katika sunami la sikukuu. Familia raha lakini wanajua namna ya kukubana.
And that is the beauty of science mkuu Kifyatu ... please kwenye hiyo mada nitaomba unitag ili isinipite.Ndio nimeibuka tu kutoka katika sunami la sikukuu. Familia raha lakini wanajua namna ya kukubana.
Ndio nimeanza kuandaa dondoo za maswala ya Quantum Physics. Ili kufanya hivi nimeona nianze mbali kidogo. Samahani kwa watakaochoshwa na marudio ya mambo wanayoyafahamu.
Nitagawanya haya maelezo katika makundi matatu:
Baada ya hii elimu ya kawaida (general knowledge), nitafungua mjadala kuongelea mauzauza yaliyomo ndani ya Quantum Physics/Mechanics. Hapa tutajadili kama hii miujiza ya Quantum physics inaweza kuelezeka kwa kutumia dhana mbadala (uchawi, spirituality, nguvu ya mawazo, afterlife, n.k.). Je, sisi viumbe ni nani hasa? Yaani, tupo hapa duniani kiukweli au ni kiinimacho tu? Mimi sitakuwa mchangiaji mkuu katika hii sehemu, nitachokoza tu ili tupate maoni ya wataalam wengine. Hii elimu bado ni changa sana, sote tunaweza kujifunza kutoka kwa wenzetu hata kama hawakubobea katika sayansi. Dini, meditation, Astral projections, Ndoto, na hata uchawi utakaribishwa kuelezea kinachojulikana sasa na sayansi ya Quantum Physics.
- Physics ya vitu vikubwa au Classical/Newtonian Physics
- Umbile la Atom (ya kawaida na ilioko katika blackhole)
- Physics ya vitu vidogo (sub-atomic particles) au Quantum Physics/Mechanics
Nitajaribu kuelezea katika lugha nyepesi ili tusiachane. Lakini natoa tahadhari, sasa tunaingia katika sayansi ya hali ya juu na mara nyingine nitategemea kuwa umefanya hata physics ya form 4 tu. Nitatumia Kiswahili muda wote lakini kuna sehemu kadhaa nitachanganya na kizungu (sio nyingi). Nikikukwaza mahala niulize haraka sana tusije tukakuacha kwenye mataa.
Naomba mnipe muda nijenge hizi hoja.
Mkuu yonga na wengineo mnaoifahamu hii taaluma nakaribisha michango yenu. Mkiona napotoka au sijielezi vizuri naomba mnisahihishe mapema. Mimi sichukii usahihishwaji bali naukaribisha kwa hamu sana.

Mkuu na mimi pia usisahau kunitag.. Naitamani sana hiyoNdio nimeibuka tu kutoka katika sunami la sikukuu. Familia raha lakini wanajua namna ya kukubana.

Na kwann huwa zinaonekana usiku??NYOTA ni kama jua lakini ziko mbali sana na dunia kushinda jua.NYOta ni kubwa kushinda jua.