Ufahamu kuhusu nyota za angani

Ufahamu kuhusu nyota za angani

Naomba kujua, ndege hupitia katika atmosphere ipi? Na kwa nini zipite huko?
Kwa uzoefu wangu ndege hata za masafa marefu zinapita anga la karibu kabisa. Kama sijakosea ni kama km9 hadi km11 tu kutoka usawa wa bahari. Kama nimekosea watanisahihisha, sababu za kitaalam sina labda wenye kujua watueleze.
 
Duh hilijukwaa likifungiwa naandamana aisee nizaidi ya shule,nimebobea kwenye geography ila hapa ni mtupu kabisa thanx mkuu kifyatu mungu akujaaalie
 
Mkuu Kifyatu na wengine, ukiangalia angani upande wa kasikazini-mashariki usawa wa jua la saa tano. Kuna mkusanyiko wa nyota, ukizihesabu ziko kama nane hivi na zinafanana. Hilo ni kundi maalumu la nyota au ni sehemu ya blackhole?
 
Hili kundi la nyota (star cluster) ni moja ya makundi ya nyota yaliyo karibu sana na sisi. Katika astronomy kundi hili linajulikana kama Pleiades au Seven Sisters (wadada saba) kwenye constellation ya Taurus (Ngo'mbe au Fahari).

Hapana, hili kundi sio sehemu ya black-hole.

Japan kundi hili linajulikana kama SUBARU. Ukiangalia magari aina ya subaru utaona nembo yao ni ya nyota. Ni hizi nyota katika hili kundi la Pleiades au Subaru.
subaru_pleiadesconstellation.jpg

Nenda kwenye internet uangalie maelezo zaidi ya hili kundi, Pleiades.

PLEIADES
pleiades_ukschmidt_clean_names.jpg
 
Mkuu jua la saa tano asubuhi au? Zinaonekana saa ngapi
 
Mkuu Kifyatu nashukuru sana kwa jibu zuri ulilonipatia. Hakika kwa hizi nyota nimejifunza mengi sana ambayo naona kama muujiza. Nimefuatilia kwa ufupi maelezo kwenye mtandao na kukuta majina ya nyota hizo kwa Kibantu ni sawa kabisa na babu zangu walivyokuwa wanaziita nyota hizo.

Napenda pia kujua kuwa; nyota hizi ziko kwenye galax yetu kwa kuwa ziko karibu ambapo ni kama 444 light years?

Wanasema kuwa zina umli wa kama miaka 100milion hivi na umli wake zitakaa kama miaka 250milion mingine kisha zitakufa kutokana na mvutano kati ya galax za jirani, je kama iko karibu na dunia yetu, nini kitafanya sisi tusiathirike na mvutano huo? Au na solar syatem yetu ndio utakuwa mwisho wake?

Vilevile kwenye post zilizotangulia nilisoma kuwa, nyota ndogo huishi miaka mingi sana tofauti na nyota kubwa ambazo umli wake ni mfupi sana, je kundi hili nyota zake ni ndogo au kubwa ukilinganisha na jua letu?

Vilevile kuna maelezo yanasema, nyota hizi zina joto kali na mwanga (luminous) mkali sana ndio maana twaweza kuziona kwa macho (naked)
Je hizi nyingine zinazoonekana tena kwa twincle, zenyewe zina sifa gani? Ziko karibu zaidi, au zina joto zaidi au mwanga wake mkali sana?
Natanguliza shukrani zangu.
 
Naomba kujua, ndege hupitia katika atmosphere ipi? Na kwa nini zipite huko?
Ili ndege iruke lazima kuwe na hewa. Ni hii hewa (inapopita juu na chini ya mabawa) ndiyo inayotoa lift na kuiinua ndege hewani. Ndege za abiria mara nyingi hupaa kwenye umbali usiozidi km 10-12 (kama alivyoeleza mkuu nsekwa ). Ndege za kijeshi (spy planes) zinaweza kupaa hadi umbali wa km 20. Zaidi ya hapo hewa inakuwa nyepesi sana au hakuna kuweza kuifanya ndege isidondoke. Zaidi ya hapo unahitaji satellite itakayoingia katika orbit. Mzunguuko wa satellite haufuati kanuni za aerodynamics zinazotumiwa na ndege.
 
Kifyatu vipi space inaweza ku be destroyed..?

Lengine ni jua/nyota tunaonyweshwa zipo kama moto lkn kwanini huku tunaziona ktk mng'ao..?
 
Wakuu Kifyatu, yonga na wengine. Nahisi pilika pilika za sikukuu zimeisha au kupungua, please tunaomba mrudi darasani tuendelee kujifunza
Ndio nimeibuka tu kutoka katika sunami la sikukuu. Familia raha lakini wanajua namna ya kukubana.

Ndio nimeanza kuandaa dondoo za maswala ya Quantum Physics. Ili kufanya hivi nimeona nianze mbali kidogo. Samahani kwa watakaochoshwa na marudio ya mambo wanayoyafahamu.

Nitagawanya haya maelezo katika makundi matatu:
  1. Physics ya vitu vikubwa au Classical/Newtonian Physics/Mechanics
  2. Umbile la Atom (ya kawaida na ilioko katika blackhole)
  3. Physics ya vitu vidogo (sub-atomic particles) au Quantum Physics/Mechanics
Baada ya hii elimu ya kawaida (general knowledge), nitafungua mjadala kuongelea mauzauza yaliyomo ndani ya Quantum Physics/Mechanics. Hapa tutajadili kama hii miujiza ya Quantum physics inaweza kuelezeka kwa kutumia dhana mbadala (uchawi, spirituality, nguvu ya mawazo, afterlife, n.k.). Je, sisi viumbe ni nani hasa? Yaani, tupo hapa duniani kiukweli au ni kiinimacho tu? Mimi sitakuwa mchangiaji mkuu katika hii sehemu, nitachokoza tu ili tupate maoni ya wataalam wengine. Hii elimu bado ni changa sana, sote tunaweza kujifunza kutoka kwa wenzetu hata kama hawakubobea katika sayansi. Dini, meditation, Astral projections, Ndoto, na hata uchawi utakaribishwa kuelezea kinachojulikana sasa na sayansi ya Quantum Physics.

Nitajaribu kuelezea katika lugha nyepesi ili tusiachane. Lakini natoa tahadhari, sasa tunaingia katika sayansi ya hali ya juu na mara nyingine nitategemea kuwa umefanya hata physics ya form 4 tu. Nitatumia Kiswahili muda wote lakini kuna sehemu kadhaa nitachanganya na kizungu (sio nyingi). Nikikukwaza mahala niulize haraka sana tusije tukakuacha kwenye mataa.

Naomba mnipe muda nijenge hizi hoja.

Mkuu yonga na wengineo mnaoifahamu hii taaluma nakaribisha michango yenu. Mkiona napotoka au sijielezi vizuri naomba mnisahihishe mapema. Mimi sichukii usahihishwaji bali naukaribisha kwa hamu sana.
 
Ndio nimeibuka tu kutoka katika sunami la sikukuu. Familia raha lakini wanajua namna ya kukubana.

Ndio nimeanza kuandaa dondoo za maswala ya Quantum Physics. Ili kufanya hivi nimeona nianze mbali kidogo. Samahani kwa watakaochoshwa na marudio ya mambo wanayoyafahamu.

Nitagawanya haya maelezo katika makundi matatu:
  1. Physics ya vitu vikubwa au Classical/Newtonian Physics

And that is the beauty of science mkuu Kifyatu ... please kwenye hiyo mada nitaomba unitag ili isinipite.
 
Mkuu usisahau kunitag, kumbuka am among of the earlier requesters wa hii kitu. Nitafurahi sana kujifunza kitu hapa. Now We are getting to some where with deep breath

Mkuu na mimi pia usisahau kunitag.. Naitamani sana hiyo
 
Aaaah mkuu ni tag namimi plz ,naandaa hapa vitendea kazi ili twende sawa
 
Mkuu tunangojea kwa shauku sana, ila usisahau kujibu maswali yangu ya mwisho niliyouliza kuhusu PLEIADES
 
Mkuu Kifyatu ahsante kwakurudi na hongera kwa sikukuu na kwa kujumuika na familia.

Ni mada mtambuka tunategemea kujifunza zaidi.

Ahsante kwa muda na nguvu zako na kwa kujitoa kwa jamii..

Usichoke kwa maswali yetu.

Kama @mods wanaona huu Uzi tunaomba upewe stick notes kwenye category yake.

Tunaomba utuguse na vitu vingine ambavyo hatuja gusa au kufaham namna ya kuuliza.
 
Back
Top Bottom