Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu upo? nina vijiswali kidogo hapaRangi nyekundu ya Mars ni shauri ya rangi ya udongo wake kama hapa duniani (red coffee soil) kwenye sehemu fulani.
Kufix atmosphere ndio mpango kamili (kuongeza hewa ya Oxygen). Huu ni mpango wa muda mrefu kwa kupanda miti. Katika kipind cha muda mfupi watategemea kutengeneza Oxygen yao kutokana na maji yaliyopo. Maana kubeba mitungi ya hewa kila uendapo.
Kuhusu gravity hii itabidi miili ya wakazi wa huko izoee tu gravity ndogo.
Miezi ya Mars haitaathiri maisha. Unafikiri kama kila usiku wetu tungekuwa na mbalamwezi tungechukia?
Ukiwa chini ya mwamba au pango kutakuwa na kivuli.
Uliza tuu mkuu. Nipo.mkuu upo? nina vijiswali kidogo hapa
Mkuu Kifyatu tueleze kuhusu kifaa kilichopo Jupiter.
Nini wanategemea kupata kwa muda huo ambapo kitakuwa huko!
Jupiter yenyewe Kama wana vyoeleza ni kuwa ni gas planet >Ina helium na hydrogen same as jua .sa mbona yenyewe It doesn't burn Kama jua??
Thanks brother. Naomba unikumbushe, naweza nisiyakumbuke maswali yote uliouliza.Nice to have you back Kifyatu
Kuna maswali huko juu niliuliza ila sikupata maelezo..ukiwa na muda naomba unisaidie majibu
Mkuu samahani sikukujibu swali lako naona wakati ule sikuliona.Mkuu kifyatu, kama hautojali, naomba unisaidie nondo zote (notes) zinazohusu astrology.
ni kweli jua ni nyota mojawapo je vipi kuhusu mwezi? nao ni nyota?Jua ni star ndiyo lakini siyo the biggest star mkuu!Ila jua ni nyota iliyo karibu zaidi na dunia
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Goldilocks (yule mtoto wa kike aliepotea mwituni na kuingia kwenye pango la madubu au bears -- hadithi ya watoto wa shule za vidudu) zone ni zone ya kawaida (average zone). Katika universe kuna sehemu zenye extremes conditions (kama joto kali sana au baridi kali sana au gravity kubwa kama za blackholes) ambako uhai (kama wetu) hauwezi kushamiri. Lakini kuna sehemu chache (kama dunia yetu) ambako hali yake ni ya wastani (just right) kwa maisha kama yetu. Katika solar system yetu mpaka sasa bado hatujaona sehemu nyingine inayoweza ku-support maisha (kama yetu) isipokuwa hapa duniani kwetu - na pengine Mars. Hizi space missions nyingi zinatumwa kuona kama kuna sehemu nyingine tunakoweza kuishi.Mkuu Kifyatu nieleze kuhusu Goldilock zone.
Inaaminika ndo zone ina support life!!!.
Vp ziko ngap kwenye observable universe
Hapana, mwezi wetu sio jua kwa sababu hauna chanzo chake cha mwanga na nishati.ni kweli jua ni nyota mojawapo je vipi kuhusu mwezi? nao ni nyota?
Ni kweli mkuu, sitanii.Me nimedata hapo tu jupiter inanyesha mvua ya almasi???
Mkuu samahani sikukujibu swali lako naona wakati ule sikuliona.
Kama ambavyo Astronomy ni hobby yangu, hivyo hivyo Astrology (unajimu) pia ni hobby yangu. Hizi taaluma mbili nimejifunza sambamba na kiundani. Nimeamua kutojadili Unajimu hapa JF kwa sababu watu wengi wanaitumia vibaya taaluma hii. Kuna watu hawatoki nje asubuhi mpaka wasome nyota zao - hayo ni matumizi mabaya ya elimu hii (ingawaje watu wametengeneza utajiri kwa kutoa utabiri kwa watu).
Sasa mimi ninaitumiaje elimu hii ya Unajimu?
Mimi nafanya zaidi utafiti (Research) kuhusu uhusiano kati ya matukio (yaliokwisha pita) kwa watu (nikianza na mimi na watu wa karibu yangu), miji, nchi, dunia; na mipangilio ya jua, sayari, mwezi, na vinginevyo angani. Hii inanisaidia kuona kama ningeweza kutabiri matokeo kutokana na mipangilio wa nyota.
Kutokana na models nilizo nazo kwenye computer yangu ninaweza kuona kilichokuwa angani (nyota/sayari) as far back as wakati wa kuzaliwa kwa YESU (zaidi ya miaka 2,000 iliopita). Huu utafiti ninaoufanya unanijengea kitita cha elimu (knowledge base) ninayoweza kuitumia kutabiri matukio ya siku za usoni. Wanajimu wanaotabiri nyota wanatumia maelekezo ya wanajimu wa zamani. Ninachokifanya mimi ni kuona kama hawa wanajimu wa zamani walikuwa sahihi na kama ninaweza kuchangia katika hii pool ya ilmu ya unajimu.
Basi kutokana na ninachokifanya katika hii tasnia ya unajimu, siwezi kujibu swali lako kama ambavyo ungependa.
Samahani.
mkuu kipindi hiki ikifika jionimida yasaa1hadi saa 2 upande wa jua linapozama kuna 'nyota' kubwa sana inang'aa je itakua ndio jupiter ua?Ni kweli mkuu, sitanii.
vipi kuhusumizinga ya nyota kama UY scutiNashukuru kwa ufafanuzi wako ila kuna kitu kimoja nazani umekikosea nyota kubwa kwenye milky way Galaxy inaitwa VY majoris