Ufahamu kuhusu nyota za angani

Ufahamu kuhusu nyota za angani

Mkuu hapo umekosea kabisaaa,jua siyo nyota kubwa japo kwa macho inaonekana kama kubwa bali ni nyota iliyokaribu na Dunia
Fanya reference ndege inapokuwa angani... utasema ni ndogo kuliko mtu. But ndani ina abiria 300 na vitu vingine. At that point inapoonekana ndege ukimuweka huyo mtu huenda hasionekane....
 
Mkuu hili ndilo somo gumu zaidi kulielewa tangu nianze kujifunza physics na mathematics. Yaani sijui utanieleweshaje nielewe. Yaani chombo kiundwe kitakachotumia speed ya mwanga na kuweza kusafiri kwa kwa dakika 5, umbali ambao ningesafiri kwa miaka 30 kama ningetumia kifaa cha kawaida. Then baada ya dakika tano kuisha nikirudi nikute miaka 30 imepita? Inawezekana kweli?

Ukitaka kuelewa vizuri time travel (yaani kusafiri kwenda in the future), na niliieleza hii hapo nyuma, fikiria hivi. Mtu akigandishwa (cryogenically) basi metabolism zake zote zinasimama. Ni kama ukigandisha mbegu za kiume au mayai ya wanawake (kutumia liquid Nitrogen) ili zitumike siku za usoni. Ukigandisha sperms kwa miaka 50, siku ukizigandua zinakuwa vilevile zilivyokuwa miaka 50 iliopita. Kwa mantiki hii hizi sperms zitakuwa zimesafiri into the future kwa sababu wenzie waliorutubisha mayai watakuwa viumbe wenye miaka 50 wakati yenyewe bado ni mbegu. Hivyo hivyo teknolojia ikikamilika kumgandisha mtu, basi atakapokuja ganduliwa atakuwa na umri ule ule aliokuwa nao wakati anagandishwa wakati rafiki zake watakuwa wamezeeka kwa kiasi cha muda aliogandishwa.

Mfano, kama una miaka 20 na ukagandishwa cryogenically kwa miaka 50, ukiganduliwa utakuwa na miaka ileile 20 wakati pacha wako atakuwa na miaka 70. Utakuwa umesafiri into the future.

Sasa, kusafiri kwa kasi ya mwanga kuna athari sawa na kugandishwa cryogenically. Sijui kama utakuwa umenielewa.

Wana sayansi wamethibitisha huu uzorotaji wa kukua kwa wana anga (Astronauts kama Scott Kelly) wakifananishwa na mapacha wao waliowaacha hapa duniani.

Jibu la post # 223:

Swali kwako kifyatu,endapo mwezi wetu uje upigwe dhoruba utadondokea wapi?,pia kwa mtazamo wa jua letu,inaonesha mpangilio wa sayari,hivi hakuna sayari zingine ambazo zimemezwa na jua ,na zimo ndani ya jua ila wanasayansi hawazioni kutokana na joto kali,wanashindwa kuchunguza huko?,pia niliwahi soma mabandiko yako, kuwa ulimwengu unakuwa kila siku,unakuwa kivp?pia unaweza kuniambia ni vp nguvu ya nyuklia inavyohusishwa na kutokea kwa ulimwengu?

Mwezi ukipigwa dhoruba kuna vitu vinne vinavyoweza kutokea:
  1. Unaweza kuhimili hiyo dhaoruba na kuendelea kama sasa lakini ikiwa na mass kubwa zaidi. Hii inaweza kubadilisha kasi yake ya kuzunguuka dunia yetu.
  2. Unaweza kupasuka vipande vidogo vidogo sana na kuendelea kuizunguuka dunia lakini kama pete za Saturn.
  3. Unaweza kupasuka vipande vidogo vidogo sana na kuvutwa kuangukia duniani. Hicho kitakuwa ni kiama - mwisho wa dunia.
  4. Au inaweza kusukumwa na kutolewa kwenye mzunguuko wa dunia yetu. Hiki kikitokea pia itakuwa kiama chetu kwa sababu mwezi ndio unaotustabilize. Mwezi usipokuwepo, hakutakuwa na majira ya uhakika hivyo kilimo kitakuwa hakiwezekani na tutakufa kwa njaa.
Kuhusu sayari nyingine karibu na jua hizi hazipo kwa sasa. Pengine wakati solar system yetu inaaza kulikuwa na sayari zilizolikaribia jua na kumezwa lakini sio kwa sasa.

Ulimwengu unakuwa au unatanuka kila siku. Ukiangalia galaxies angani utaona zinakimbiana kwa kasi kubwa sana. Actually hizi galaxies hazikimbiani bali space kati yao ndiyo inayotanuka kwa kasi kubwa sana. Hii kwa sasa inaaminika ni kutokana na dark energy ambayo imegunduliwa hivi juzijuzi huko Switzerland.

Nguvu ya nyuklia inahusiana kabisa na kutokea ulimwengu na kuwepo kwetu sisi. Hii pia nimeielezea huko nyuma. Big Bang ilizalisha Hydrogen kwa wingi sana. Hydrogen ilijikusanya na gravity yake ilipokuwa kubwa ya kutosha, hydrogen atoms zili-fuse na kutengeneza Helium (Hii ndio nuclear reaction ya kwanza). Jua likawa limezaliwa.

Hydrogen ilipokwisha katika jua, helium ilifuse kutengeneza carbon, na hii chain reaction iliendelea mpaka iron (Chuma) ilipotengenezwa. Chuma kilitengenezwa tu basi ile nuclear reaction ilisimama na kuifanya gravity ishinde. Kila kitu kilianguka kwa mshindo mkubwa sana na kupasuka kama Super Nova. Katika huu mpasuko wa supernova, mineral nyingine nzito kuliko chuma zilitengenezwa. Vumbi lililobaki lilijikusanya na kutengeneza sayari kama dunia yetu. Sayari kama yetu yenye maji na joto la kiasi ilipitia evolutionary process na uhai ukawepo.
 
Hivi katika ulimwengu kuna majini mapepo na mizimu, tunaviweka kwenye kundi gani hivi viumbe? Kuna tofauti gani na hao Aliens?
Swali zuri sana hili lakini sina jibu lake. Ngija tusubiri wataalamu waje. Naona tumuite mkuu mshana jr aje atupe nasaha zake.
 
Umefanya kazi nzuri sana kwenye hii homework yako.

Kimondo kilichoanguka Mbeya sina uhakika nacho lakini nikipata taarifa nzuri nitakueleza.
Ni mbozi mkuu.... sorry naona mada ni ya muda mrefu. Ila naipitia moja baada ya moja napenda sana hivi vitu.
 
Ukitaka kuelewa vizuri time travel (yaani kusafiri kwenda in the future), na niliieleza hii hapo nyuma, fikiria hivi. Mtu akigandishwa (cryogenically) basi metabolism zake zote zinasimama. Ni kama ukigandisha mbegu za kiume au mayai ya wanawake (kutumia liquid Nitrogen) ili zitumike siku za usoni. Ukigandisha sperms kwa miaka 50, siku ukizigandua zinakuwa vilevile zilivyokuwa miaka 50 iliopita. Kwa mantiki hii hizi sperms zitakuwa zimesafiri into the future kwa sababu wenzie waliorutubisha mayai watakuwa viumbe wenye miaka 50 wakati yenyewe bado ni mbegu. Hivyo hivyo teknolojia ikikamilika kumgandisha mtu, basi atakapokuja ganduliwa atakuwa na umri ule ule aliokuwa nao wakati anagandishwa wakati rafiki zake watakuwa wamezeeka kwa kiasi cha muda aliogandishwa.

Mfano, kama una miaka 20 na ukagandishwa cryogenically kwa miaka 50, ukiganduliwa utakuwa na miaka ileile 20 wakati pacha wako atakuwa na miaka 70. Utakuwa umesafiri into the future.

Sasa, kusafiri kwa kasi ya mwanga kuna athari sawa na kugandishwa cryogenically. Sijui kama utakuwa umenielewa.

Wana sayansi wamethibitisha huu uzorotaji wa kukua kwa wana anga (Astronauts kama Scott Kelly) wakifananishwa na mapacha wao waliowaacha hapa duniani.

Jibu la post # 223:

Mwezi ukipigwa dhoruba kuna vitu vinne vinavyoweza kutokea:
  1. Unaweza kuhimili hiyo dhaoruba na kuendelea kama sasa lakini ikiwa na mass kubwa zaidi. Hii inaweza kubadilisha kasi yake ya kuzunguuka dunia yetu.
  2. Unaweza kupasuka vipande vidogo vidogo sana na kuendelea kuizunguuka dunia lakini kama pete za Saturn.
  3. Unaweza kupasuka vipande vidogo vidogo sana na kuvutwa kuangukia duniani. Hicho kitakuwa ni kiama - mwisho wa dunia.
  4. Au inaweza kusukumwa na kutolewa kwenye mzunguuko wa dunia yetu. Hiki kikitokea pia itakuwa kiama chetu kwa sababu mwezi ndio unaotustabilize. Mwezi usipokuwepo, hakutakuwa na majira ya uhakika hivyo kilimo kitakuwa hakiwezekani na tutakufa kwa njaa.
Kuhusu sayari nyingine karibu na jua hizi hazipo kwa sasa. Pengine wakati solar system yetu inaaza kulikuwa na sayari zilizolikaribia jua na kumezwa lakini sio kwa sasa.

Ulimwengu unakuwa au unatanuka kila siku. Ukiangalia galaxies angani utaona zinakimbiana kwa kasi kubwa sana. Actually hizi galaxies hazikimbiani bali space kati yao ndiyo inayotanuka kwa kasi kubwa sana. Hii kwa sasa inaaminika ni kutokana na dark energy ambayo imegunduliwa hivi juzijuzi huko Switzerland.

Nguvu ya nyuklia inahusiana kabisa na kutokea ulimwengu na kuwepo kwetu sisi. Hii pia nimeielezea huko nyuma. Big Bang ilizalisha Hydrogen kwa wingi sana. Hydrogen ilijikusanya na gravity yake ilipokuwa kubwa ya kutosha, hydrogen atoms zili-fuse na kutengeneza Helium (Hii ndio nuclear reaction ya kwanza). Jua likawa limezaliwa.

Hydrogen ilipokwisha katika jua, helium ilifuse kutengeneza carbon, na hii chain reaction iliendelea mpaka iron (Chuma) ilipotengenezwa. Chuma kilitengenezwa tu basi ile nuclear reaction ilisimama na kuifanya gravity ishinde. Kila kitu kilianguka kwa mshindo mkubwa sana na kupasuka kama Super Nova. Katika huu mpasuko wa supernova, mineral nyingine nzito kuliko chuma zilitengenezwa. Vumbi lililobaki lilijikusanya na kutengeneza sayari kama dunia yetu. Sayari kama yetu yenye maji na joto la kiasi ilipitia evolutionary process na uhai ukawepo.

Asante sana kwa majibu mazuri, lakini naomba kuuliza tena, usichoke!
Mfano muda wa kwenda nyota X ni 4.4 light years, Then kikatengenezwa chombo kitakachotumia speed ya mwanga na kuweza kufika kule ndani ya miaka 4.4 na kurudi dunia kwa muda huo huo wa 4.4. Jumla hapo utakuwa miaka 8.8 ya hapa duniani?

Kama niliondoka na chombo hicho nikiwa na umli wa miaka 30, nikirudi pacha wangu atakuwa na miaka 38.8 na mimi nitakuwa bado na miaka 30? Kama ndio hivyo nimekuelewa otherwise nitakuwa bado sijaelewa.
 
Kuna nyota ni kubwa kuliko jua letu....ili tusichanganye watu. Our sun is also a star ikiwa na maana kama tutakuwa umbali wa zaidi ya 1 light year... basi jua letu litaonekana dogo sana kama tuonavyo nyota za mbali.
Asante mkuu ila nilishairekebisha hii
 
Ukitaka kuelewa vizuri time travel (yaani kusafiri kwenda in the future), na niliieleza hii hapo nyuma, fikiria hivi. Mtu akigandishwa (cryogenically) basi metabolism zake zote zinasimama. Ni kama ukigandisha mbegu za kiume au mayai ya wanawake (kutumia liquid Nitrogen) ili zitumike siku za usoni. Ukigandisha sperms kwa miaka 50, siku ukizigandua zinakuwa vilevile zilivyokuwa miaka 50 iliopita. Kwa mantiki hii hizi sperms zitakuwa zimesafiri into the future kwa sababu wenzie waliorutubisha mayai watakuwa viumbe wenye miaka 50 wakati yenyewe bado ni mbegu. Hivyo hivyo teknolojia ikikamilika kumgandisha mtu, basi atakapokuja ganduliwa atakuwa na umri ule ule aliokuwa nao wakati anagandishwa wakati rafiki zake watakuwa wamezeeka kwa kiasi cha muda aliogandishwa.

Mfano, kama una miaka 20 na ukagandishwa cryogenically kwa miaka 50, ukiganduliwa utakuwa na miaka ileile 20 wakati pacha wako atakuwa na miaka 70. Utakuwa umesafiri into the future.

Sasa, kusafiri kwa kasi ya mwanga kuna athari sawa na kugandishwa cryogenically. Sijui kama utakuwa umenielewa.

Wana sayansi wamethibitisha huu uzorotaji wa kukua kwa wana anga (Astronauts kama Scott Kelly) wakifananishwa na mapacha wao waliowaacha hapa duniani.

Jibu la post # 223:

Mwezi ukipigwa dhoruba kuna vitu vinne vinavyoweza kutokea:
  1. Unaweza kuhimili hiyo dhaoruba na kuendelea kama sasa lakini ikiwa na mass kubwa zaidi. Hii inaweza kubadilisha kasi yake ya kuzunguuka dunia yetu.
  2. Unaweza kupasuka vipande vidogo vidogo sana na kuendelea kuizunguuka dunia lakini kama pete za Saturn.
  3. Unaweza kupasuka vipande vidogo vidogo sana na kuvutwa kuangukia duniani. Hicho kitakuwa ni kiama - mwisho wa dunia.
  4. Au inaweza kusukumwa na kutolewa kwenye mzunguuko wa dunia yetu. Hiki kikitokea pia itakuwa kiama chetu kwa sababu mwezi ndio unaotustabilize. Mwezi usipokuwepo, hakutakuwa na majira ya uhakika hivyo kilimo kitakuwa hakiwezekani na tutakufa kwa njaa.
Kuhusu sayari nyingine karibu na jua hizi hazipo kwa sasa. Pengine wakati solar system yetu inaaza kulikuwa na sayari zilizolikaribia jua na kumezwa lakini sio kwa sasa.

Ulimwengu unakuwa au unatanuka kila siku. Ukiangalia galaxies angani utaona zinakimbiana kwa kasi kubwa sana. Actually hizi galaxies hazikimbiani bali space kati yao ndiyo inayotanuka kwa kasi kubwa sana. Hii kwa sasa inaaminika ni kutokana na dark energy ambayo imegunduliwa hivi juzijuzi huko Switzerland.

Nguvu ya nyuklia inahusiana kabisa na kutokea ulimwengu na kuwepo kwetu sisi. Hii pia nimeielezea huko nyuma. Big Bang ilizalisha Hydrogen kwa wingi sana. Hydrogen ilijikusanya na gravity yake ilipokuwa kubwa ya kutosha, hydrogen atoms zili-fuse na kutengeneza Helium (Hii ndio nuclear reaction ya kwanza). Jua likawa limezaliwa.

Hydrogen ilipokwisha katika jua, helium ilifuse kutengeneza carbon, na hii chain reaction iliendelea mpaka iron (Chuma) ilipotengenezwa. Chuma kilitengenezwa tu basi ile nuclear reaction ilisimama na kuifanya gravity ishinde. Kila kitu kilianguka kwa mshindo mkubwa sana na kupasuka kama Super Nova. Katika huu mpasuko wa supernova, mineral nyingine nzito kuliko chuma zilitengenezwa. Vumbi lililobaki lilijikusanya na kutengeneza sayari kama dunia yetu. Sayari kama yetu yenye maji na joto la kiasi ilipitia evolutionary process na uhai ukawepo.
Mkuu nashukuru sana kwa majibu yako japo yanaopya kiasi, labda tujuze dhoruba hii yaweza kutokea kizazi hiki au ni mamilioni ya miaka ijayo?
 
Asante sana kwa majibu mazuri, lakini naomba kuuliza tena, usichoke!
Mfano muda wa kwenda nyota X ni 4.4 light years, Then kikatengenezwa chombo kitakachotumia speed ya mwanga na kuweza kufika kule ndani ya miaka 4.4 na kurudi dunia kwa muda huo huo wa 4.4. Jumla hapo utakuwa miaka 8.8 ya hapa duniani?
Kama niliondoka na chombo hicho nikiwa na umli wa miaka 30, nikirudi pacha wangu atakuwa na miaka 38.8 na mimi nitakuwa bado na miaka 30?
Kama ndio hivyo nimekuelewa otherwise nitakuwa bado sijaelewa.
Sawa kabisa, hujakosea. Hii dhana ya kutoongezeka umri ukisafiri kwa kasi ya mwanga au ukuaji kuzorota ukisafiri katika kasi yoyote ile huwa unaleta ugumu sana kuuelewa au kuuamini lakini ni kweli mkuu. Sio dhana tena kama ilivyoletwa na Einstein bali imethibitishwa kisayansi sasa.
 
Mkuu nashukuru sana kwa majibu yako japo yanaopya kiasi, labda tujuze dhoruba hii yaweza kutokea kizazi hiki au ni mamilioni ya miaka ijayo?
Mpaka sasa hakuna dalili zozote za mwezi wetu kuja kupigwa dhoruba. Kwa hiyo usiwe na wasiwasi kwamba tukio hilo litatokea. Ni sawa na mtu awe na wasiwasi kuwa atapigwa na radi.
 
Asanteni wadau kwa kutujuza elimu ya anga .thanks
 
Kwa sasa sipo Tanzania lakini unaweza kuzipata kwenye internet. Telescope nzuri zinaanzia kama Tsh laki moja hivi. Lakini ukishop around kutoka China au India unaweza kupata bei nzuri.
Mkuu naomba jina ya telescope hizi ikiwezekana na specification. Mategemea kwenda China mwakani
 
Swali zuri sana mkuu na wala usiombe radhi. Niko tayari kukuingiza ndani ya ulimwengu wa Kifyatu. Nami nakuomba radhi kwa jibu refu.

Kuna makundi ya aina tatu ya watu:
  1. Wanaoamini uwepo wa Mungu - Theists
  2. Wasioamini uwepo wa Mungu - Atheists
  3. Wasiojua na wanatafuta ukweli uko wapi - Agnostics
Wana sayansi wengi wapo kwenye hili kundi la tatu - Agnostics. Mimi ni agnostic mmojawapo.

Universe:
Unajua, ukiangalia ukubwa wa, na complexity ya, huu uimwengu wetu bado huwezi kuuelezea, hata kwa kutumia sayansi, kuwa ulianzaje. Kulikuwa na nini kabla ya big bang? Je hii Higgs boson (wanaiita God particle) ni ishara ya kisayansi ya uwepo wa Mungu? Unaona. Kuna maswali mengi sana ambayo sayansi bado haiwezi kuyajibu. Kwa hiyo mwanasayansi yeyote yule anaesema yeye ana uhakika Mungu hayupo basi huyo ninamtilia mashaka na hiyo elimu yake.

Dini:
Mimi naziona dini kama vyama vile. Kila moja inavutia upande wake na kujigamba kuwa wao wanamuelewa Mungu kiundani kuliko wengine na kutoa masharti chungu tele ya kuwa muumini. Mimi nimeamua kutoyumbishwa na hizi dini mbalimbali na maelezo yao. Sasa ukiangalia composition ya dini unakuta ina sehemu mbili.

Dini = Spirituality (matumaini au hope au "ucha mungu") + Culture (mila na desturi)

Spirituality ni ile hali ya kuwa na matumaini kuwa utafanikiwa. Hata watu wasio na dini lakini wakiwa katika matatizo watategemea kuwa miujiza (mizimu, lady luck, n.k.) itatokea wasalimike. Watu hawa pia watanunua tiketi za bahati-nasibu wakitegemea watakuwa na bahati siku hiyo ya kushinda. Hii hali ya matumaini kuwa kuna kitu kitaiingilia kutatua matatizo yako ndio SPIRITUALITY.

Kwa wale wenye dini basi hii spirituality wanailinganisha na uwepo wa Mungu mwenye uwezo wote. Binadamu wote wanayo hii spirituality (awe na dini au sio). Ndio njia kuu ya sisi binaadamu tunayotumia kupambana na matatizo ya maisha kisaikolojia (coping mechanism).

Culture au mila/desturi ndiyo inayotengeneza dini.
  • Uislam = Spirituality + mila za kiarabu
  • Ukristo = Spirituality + mila za kizungu/kiyahudi
  • Judaism = Spirituality + mila za kiyahudi
  • Na kadhalika.
Kwa hiyo ukiondoa mila/desturi katika hizi dini basi dini zote zitafanana. Jaribu kufikiria.

Kwa mfano, kama wewe ni mwarabu basi mila/desturi za kabila lako ndio hizo hizo mila/desturi za dini yako. Ikiwa hivyo basi dini kwako ndio mwenendo wa maisha (a way of life) na hujilazimishi. Kwa wengine wote inabidi tujilazimishe tu (kuvaa hijab, kuswali ukielekea Makkah kwa kiarabu, kutokula nguruwe, n.k.) ili tuwe waislam.

Mara nyingi ufuasi wa dini unategemea ulivyokuzwa. Hata wanasayansi, kama wamekuwa katika familia zenye misimamo mikali wa kidini wataamini uwepo wa Mungu kufuatilia imani walizokuzwa nazo.

Mimi:
Hivyo basi mimi katika maisha yangu ni Spiritual lakini sio Religious. Hiki ndicho nilichomaanisha niliposema "sina dini".

Natumaini umenielewa.
Mkuu umegusia kitu kinachoitwa God partical, samahani naomba kukijua kwa kina maana naona ni kitu kigeni kwangu tangu mwanzo mwa uzi huu
 
Sasa hivi ikifika jioni wakati jua linazama ukiangalia magharibi utaona nyota inayowaka sana kabla ya nyota nyingine kutoka. Hii sio nyota bali ni sayari ya Venus. Na asubuhi kukipambazuka kuna nyota (ya mwisho kufifia) inayowaka sana mashariki, hii siyo nyota bali ni sayari ya Mercury.
Hii venus ndiyo inayowaka sana pamoja na kuwepo mbalamwezi kuanzia saa moja jioni hasa kwa tarehe ya leo?
 
Mkuu umegusia kitu kinachoitwa God partical, samahani naomba kukijua kwa kina maana naona ni kitu kigeni kwangu tangu mwanzo mwa uzi huu
Nenda kwenye mtandao halafu usome kuhusu HIGGS BOSON.

Hii particle ina uwezo wa kuweka matter (mass) kwenye energy fields. Inaaminika kuwa wakati wa Big Bang kulikuwa hakuna matter isipokuwa pure energy (nishati tupu). Katika huu mlipuko wa big-bang element nyepesi sana (Hydrogen) ilitengenezwa kwa wingi sana. Mechanism iliyowezesha hii nishati kubadilika kuwa Hydrogen ni hii sub-atomic particle iitwayo Higgs Boson. Hii ina maana kutoka utupu, Higgs Boson iliumba hydrogen.

Kwa kuwa waumini wa dini wanaamini kuwa uwezo wa kuumba ni wa Mungu pekee, sasa kama hii Higgs Boson ina uwezo huohuo basi itakuwa inafanya kazi ya mungu na ndio maana inaitwa (kiutani) GOD PARTICLE.
 
Back
Top Bottom